Kuna watu hawana adabu humu, anaandika kitu unamuonea huruma kabisa kumbe anadanganya kuinjoi watuπSio chai hii ndoa ubavu sio wake lazima umchome TU[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji4]
Hayo ni masiha ya kwenye sinema , a typical african men hawezi kuwa na muda wa kukaa jikoni kupika pika na mkewe, ipo hivo.Kwani mwanamke kutojua kupika ndiyo licence ya mume kula nje? Ukiona mwanaume anafanya hivi basi ujue ni mshamba fulani. Dunia ya sasa wakati mwingine unakaa na mkeo jikoni mnapika wote. Yale mambo ya mume kutoingia jikoni yamepitwa na wakati.
Wanaume huwa tunapiga Sana supu mtaaniHabari zenu wapendwa?
Naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine hali kabisa ukimuliza hana sababu.
Mwanzo nilijua labda napika vibaya lakini siyo maana watu wengine wakila hata wageni wanakifurahia sana chakula mpaka wananisifia najua kupika Ila mme wangu ndo tatizo anaweza akala hata vijiko 5 akasema ameshiba.
Hii hali kwakweli inaniumiza sana akili na uzuri ana mwili nahisi labda atakuwa anakula uko nje akija anakuwa labda ameshiba maana ka jinsi anavyokula hapa ndani alitakiwa awe hana hata afya yani kwa kifupi ni Kama tu hali Ila anagusagusa Kuna wakati hadi nawaza sijui kalogwa.
Ndo miss natafuta huyu au??Miss Chuga story za ndoa yake zipo Sana hii ndoa aliifosi Sasa inamrudia...
Atulie tu itakaa sawa huko mbeleni
And who are ''typical african men?''. Ndugu yangu unaishi karne mbili nyuma.Hayo ni masiha ya kwenye sinema , a typical african men hawezi kuwa na muda wa kukaa jikoni kupika pika na mkewe, ipo hivo.
Huwezi kupika nitakula wanakojua kupika
Nimeisoma itakua kuna tabia mbaya alizionyesha baada ya yy kutolewa mahari labda dharau...thats why mama mkwe akawa hataki tena...na kaka amefosi kuoa naona labda sasa na yy ndo anayaona...itakua huyu bi dada hana heshima ana mdomo mchafu...Imebidi nipitie nyuzi zake
Sina uhakika kama alifosi ndoa lakini ndoa yake ilikuwa inaonekana itakuwa chungu kabla hata haijafungwa
Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga
Habari zenu wapendwa? Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na Mungu ametujalia mwaka Jana mwezi wa 12 kapeleka mahari kwetu akanivalisha na Pete ya uchumba...www.jamiiforums.com
Umemaliza agiza Pepsi nitalipiaShida sio kula je unapika anachokipenda?
Na hataki kuachikaAnashiba small house.
Ila Dada inaonyesha kama hukua chaguo la huyo mumeo hiviπ€
Yani nyuzi zake hazikosi vitimbi vya mumewe.Na hataki kuachika
π€£π€£π€£ maana ana visanga Miss Chuga sijapata kuona
A typical africani men ni mimi ambaye nikitoka asubuhi nyumbani ninakuwa nimebeba majukumu matatu by defaultAnd who are ''typical african men?''. Ndugu yangu unaishi karne mbili nyuma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua kupika ? Inawezekana unamchemshia mchuzi , ilhali mwenzio keshakutana na madikodiko kwa mama k!
Mf binafsi wife anajua sana kupika na kaniteka kwa hilo , ila kuna siku nilikula chapati Tabata kiwango cha sgr , mara kadhaa nikikumbuka huwa nachochora kwenda huko kwa chai.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuachika sio rahisi jaman.Na hataki kuachika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana ana visanga Miss Chuga sijapata kuona
πππ hiyo ndoa yake ina flags nyingi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuachika sio rahisi jaman.
Tumuombeee.
Ni chakula gani hicho ambacho mumeo hula kwa kijiko?anaweza akala hata vijiko 5 akasema ameshiba.