Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kiukweli huyo.mumewe kama anapita Bar kunywa pombeee hili ni jambo la kawaidaa kabisaaa minyama choma na bia vinanenepesha sanaa...! Kingine walevii hawalii kabisaa vyakula vya kawaida vya nyumbani sijui walii.. ugali nyamaa mandizii ya kupikaa wao ni vya kurost rost ndo zao. So huyo jamaa kama sio mlevi bhasi kuna shida kingine mazoeaa labda usiku huwa halii au anaona ale kidogo ila apungue so mwanamke amuulize jamaahuyo asha zira kula chakula jitafakali ulikosea wapi,na anakuhis nini,maana sio kawaida .mtu anaweza kukuchapa kisaikolojia pasipo kutumia fimbo.hata kama anakula pengine lazma siku moja moja ale nyumbani.
Tell me about it🤣🤣🤣🤣🤣🤣Maisha ya ndoa kazi sana dadeq
Imajini anayewaziwa hali chakula cha nyumbani ni mtu mzima kabisa
Vip saivi anakupelekea Moto?Habari zenu wapendwa?
Naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine hali kabisa ukimuliza hana sababu.
Mwanzo nilijua labda napika vibaya lakini siyo maana watu wengine wakila hata wageni wanakifurahia sana chakula mpaka wananisifia najua kupika Ila mme wangu ndo tatizo anaweza akala hata vijiko 5 akasema ameshiba.
Hii hali kwakweli inaniumiza sana akili na uzuri ana mwili nahisi labda atakuwa anakula uko nje akija anakuwa labda ameshiba maana ka jinsi anavyokula hapa ndani alitakiwa awe hana hata afya yani kwa kifupi ni Kama tu hali Ila anagusagusa Kuna wakati hadi nawaza sijui kalogwa.
Imebidi nipitie nyuzi zakeMiss Chuga story za ndoa yake zipo Sana hii ndoa aliifosi Sasa inamrudia...
Atulie tu itakaa sawa huko mbeleni
I got nothing to tell aseeeeTell me about it🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hata kama mke hajui kupika vizuri, bado tu siyo sababu ya mume kutokula nyumbani. Mbona hili ni tatizo la kurekebishika?Hao wageni wanakula free meal lazima wakusifie tu hata kama kibaya. Chunguza ujue kama anakula nje ama la. Kwani huwa hamtoki OUT uone huko anakula vipi?
Kwenye sherehe mkienda ulaji wake upoje? Je wakati wa uchumba alikuwa anafurahia mapishi yako? Mbona kama vile humjui kabisa mumeo?
Ana nyumba ndogo huyo anakokula.anaonja onja tu ndo maana simuelewi hizi ndoa tunaolewa tu kuweka heshima Ila ni mateso tu Bora mtu ubaki single
Kwani mwanamke kutojua kupika ndiyo licence ya mume kula nje? Ukiona mwanaume anafanya hivi basi ujue ni mshamba fulani. Dunia ya sasa wakati mwingine unakaa na mkeo jikoni mnapika wote. Yale mambo ya mume kutoingia jikoni yamepitwa na wakati.Unajua kupika ? Inawezekana unamchemshia mchuzi , ilhali mwenzio keshakutana na madikodiko kwa mama k!
Mf binafsi wife anajua sana kupika na kaniteka kwa hilo , ila kuna siku nilikula chapati Tabata kiwango cha sgr , mara kadhaa nikikumbuka huwa nachochora kwenda huko kwa chai.