Mume wangu hapendi kula nyumbani

Mume wangu hapendi kula nyumbani

Rudi enzi za uchumba wenu anza kumfanyia mambo aliyokuwa anavutiwa nayo maana ni obviously huko nje kuna mwanamke kamvutia,,unaweza kuzani source ni chakula kumbe ni zaidi ya chakula.
 
Nimeisoma itakua kuna tabia mbaya alizionyesha baada ya yy kutolewa mahari labda dharau...thats why mama mkwe akawa hataki tena...na kaka amefosi kuoa naona labda sasa na yy ndo anayaona...itakua huyu bi dada hana heshima ana mdomo mchafu...
Kama ana tabia ulizosema basi ana haki ya kupata anachopata

Lakini kuna wakwe wana gubu naturally
 
Nimeisoma itakua kuna tabia mbaya alizionyesha baada ya yy kutolewa mahari labda dharau...thats why mama mkwe akawa hataki tena...na kaka amefosi kuoa naona labda sasa na yy ndo anayaona...itakua huyu bi dada hana heshima ana mdomo mchafu...
Aje ajitetee miss chuga
 
[emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]depal aje ajifunze nyama choma
Miss chuga Mungu ampe hekima na busara ktk hili
Nilisusiwa kula siku Moja Tena ilikua hivi katoka kachelewa kurudi akakuta nshakula(utaratibu ni kula pamoja)we akagoma kula kasusa,dogo nilitupa sahani na vyakula nikapiga teke bwana wee[emoji38][emoji38][emoji38]nilikumbatiwa Kwa nguvu nkaombwa msamaha na sikussusiwa Tena ht nitoe boko
Una bahatiii
Ungempata kama wa Ndugu yetu hapa ungejuta kujisusisha
 
Kwa hizi threads zako naukumbuka msemo wa Mondi hufukuzwi utapigwa matukio mpaka uondoke mwenyewe
 
anakunywa pombe??

siku akishinda home si huwa anakula vizuri tu?

kama huwa anapitia bar basi ndio sababu. Hata mimi nikishakunywa basi msosi kula ni sahau. nikijilazimisha nitagusagusa tu.
 
anaonja onja tu ndo maana simuelewi hizi ndoa tunaolewa tu kuweka heshima Ila ni mateso tu Bora mtu ubaki single
Mdogo wangu tatizo bado una wenge sana.
Nenda taratibu na usiwaze mabaya kila siku.
Kuna wakati ulaji hubadilika kutokana na mazingira.
Hilo tatizo hata mimi ninalo sana.
Ni mvivu sana wa kula na ninachagua chakula sana.
 
yani hakuna kitu kinaumiza Kama unapika akili yako yote unaiweka jikoni ili mmeo afurahie chakula alafu analambalamba anaacha na nina uhakika atakuwa anakula uko nje coz akija anakuwa na kitambi pia ana afya nzuri tu yani kwa jinsi anavyogusa gusa chakula angekuwa Hali nje angekuwa na afya ya mgogoro sana
Kwani unazungumzia chakula gani? Maana nyie wakubwa mnakuaga na macodes sana,mtu unaweza fikiri kinazungumziwa wali mandondo kumbe wakubwa mnamaanisha POPO KANYEA MBINGU
 
Kama ana tabia ulizosema basi ana haki ya kupata anachopata

Lakini kuna wakwe wana gubu naturally
Ndo maana nimesema "inaweza" pia ukute wala hayuko hivyo..mambo haya bana ni nyota zikiendana..unakuta nyotabinaendana na mam mkwe yani automatically na mume anakukubali zaidi
 
Back
Top Bottom