Mume wangu hapendi ndugu zangu

Mume wangu hapendi ndugu zangu

1. Kwa kutowapenda ndugu zake hapa sina ndugu wa mume anaekaa naona ndo tatizo pia maana mume angejifunza kwangu na ndo inbi kangu aje hata mmoja akae wiki tatu tu nimuonesehe mume kwa vitendo jinsi ndugu wanavyokaa. Na kuna mda wanapitaga tu kusalimia ila lazima wakute nimeandaa chakula. Ndugu wa mume wangu wana upendo sijawahi kuona. Midomo ya kawaida wanayo ila nnachofurahia ni kwamba ikija tukapata watoto basi watakua wamebahatika sana kupata upande wa baba wenye upendo hivi sina sababu hata robo ya kuwachukia na ndo sababu inayonifanya napambania ndo yangu pia. Nipo kwenye familia moja ya kiutu sana.
Kama hakuna sababu ya maana Sana mrudishe mdogo wako kwenu na kama Mungu atasaidia Fanya umzalie Mumeo.

Huenda ana stress tu
 
Lakini pia mkalishe mdogo wako uzungumze naye kwa upole na awe huru asikufiche chochote. Inawezekana kuna jambo hulijui lipo kati yako na mdogo wako.

Mara nyingi wanaume tunaweza tukaishi na mwanamke tukitarajia ipo siku tutapata kimpenyo kidogo tuingie, tukisubiri kwa muda mrefu bila mafanikio, ndipo hapo wengine huzua chuki. Inawezekana mumeo alisharusha chambo, mdogo wako akakwepa kwa heshima yako na hawezi akakuambia anaogopa kuvunja ndoa yako. Na jamaa anaona analisha ng'ombe ambaye hawezi kumkamua......ameamua kujaa hasira na chuki
Mdogo wangu ana akili sana huwa tunakaa tunapiga sana story na tuna viakili flani vinafanana. Ni mtu ambae ukimuuliza swali straight forward anajua unataka kumaanisha nini. Na hata mimi ndo nilivyo. Ukija ukiniuliza swali flani, ntajua unataka information gani au unanishutumu. Naona bora nisali tu Mungu ali sort
 
Yani ndugu yangu acha tu. Kuna tuvisa tudogo dogo hadi unaona aibu hata mtu wa nje akiskia. Anaweza tu akaamka akaanza kusema hivi kule ana mashuka mangapi kayachukue si ulimuazima siku moja tu. Nyie nachanganyikiwa naona kama hii roho inamuandama. Akili iliyonijia hapa ni kupiga maombi. Naona aibu kwakweli. Sio kawaida
Ongeza na maombi peke yako huwezi.
 
dada anajiamini eti mume wake hawez omba Tunda[emoji23][emoji23].

mimi mwenyew hapa nilishawahi omba tunda la mama mdogo wa wife, mbna ishue ni simple kama ni mzuri basi unaomba.

ila tunda nilinyimwa na nkapewa onyo, baada ya hapo nilimchukia na sitaki kumuona kwangu,

wife akiuuliza kwanini namchukia mama ake mdogo?
huwa sina majibu zaidi ya kufoka tu[emoji23]
mimi was reverse. mama mdogo alianza kuniapproach nilipomgiga chini alinichukia. wife akanijia juu kuwa namchukia mama yake mdogo. baada ya miaka zaidi ya mitano ndipo nikamwambia siwezi kuoa mtu na mama yake.....alichoka, hajarudia kuniuliza tena
 
Kama hakuna sababu ya maana Sana mrudishe mdogo wako kwenu na kama Mungu atasaidia Fanya umzalie Mumeo.

Huenda ana stress tu
Kuhusu kuzaa wala sio kikwazo tuko vizuri. Namrudishaje nyumbani mtoto sasa nawaambiaje? Wakati mimi ndo nilishadadia aje akae huku karibu na chuo. Leo nasema arudi kwasababu gani.

Na kingine mdogo wangu anaweka mambo yake sawa atarudi tu nyumbani ila huo mda wa miezi kadhaa mbona ntakoma mimi. Maana mume kila siku anaibuka na jipya naumia
 
Ku deal na mwanaume mwenye choyo ni kazi kweli.

Jaribu kumuelewesha tu kuwa yule ni mtoto asifanye hizo mishe za kishamba. Wanaume huwa wanaelewa sana ukitumia polite language.
Sijui nifanyeje awe wa kawaida. Hii ndo ugumu ulipo mengine yote mimi kama mke wala sioni kama ni kasoro.
 
mimi was reverse. mama mdogo alianza kuniapproach nilipomgiga chini alinichukia. wife akanijia juu kuwa namchukia mama yake mdogo. baada ya miaka zaidi ya mitano ndipo nikamwambia siwezi kuoa mtu na mama yake.....alichoka, hajarudia kuniuliza tena
daah mkuu ugemkula aiseee.

Afu ukampotezeaa,
 
Mdogo wangu ana akili sana huwa tunakaa tunapiga sana story na tuna viakili flani vinafanana. Ni mtu ambae ukimuuliza swali straight forward anajua unataka kumaanisha nini. Na hata mimi ndo nilivyo. Ukija ukiniuliza swali flani, ntajua unataka information gani au unanishutumu. Naona bora nisali tu Mungu ali sort
si kwa issue kama hii. she can never be straight. Omba Mungu akupe hekima kabla hujazungumza nao wote wawili kila mtu kwa wakati wake.
 
mimi was reverse. mama mdogo alianza kuniapproach nilipomgiga chini alinichukia. wife akanijia juu kuwa namchukia mama yake mdogo. baada ya miaka zaidi ya mitano ndipo nikamwambia siwezi kuoa mtu na mama yake.....alichoka, hajarudia kuniuliza tena
Shughuli pevu. Kitu kinachonicost mimi ni kwamba namuona mdogo wangu kama mwanangu, nimem shape kimalezi kama nimenoa kisu so namjua vizuri na ananijua vizuri sana. Siku akija kusema shemeji yake kamtongoza sitashangaa ila ntachoka mwili na akili.
 
Lazima uelewe, binadamu tumeumbwa tofauti, hata kimtazamo pia. Unachopenda wewe siyo mwingine apende.
Kuna watu kuishi na ndugu, wanaona ni mzigo usiobebeka. Huenda ni wachoyo, hawajawahi ishi familia kubwa.
Hebu mpeleke hostel huyo mdogo wako, awe anapita kuwasalimu tu.
 
Ku deal na mwanaume mwenye choyo ni kazi kweli. Sema huenda ni malezi aliyokulia hawakuwahi kuchangamana na kufanya sharing. Kila mtu ana kitu chake so hajazoea kutoa vya kwake.

Jaribu kumuelewesha tu kuwa yule ni mtoto asifanye hizo mishe za kishamba. Wanaume huwa wanaelewa sana ukitumia polite language.
Umeongea vyema sana kaka angu. Ntatafuta tena neno lenye busara nimwambie kwamba huyu ni mtoto. Amlee tu kama mwanae
 
Mtoe hapo nyumbani, mpangie chumba au mlipie hostel !

Usikute unalalama hapa ukute mdogo wako Ni type zile za vitoto vya chuo vimekaa kivivu vivu tu,,,, mda wote simu/tv , hapa muda na Kaz ndg ndg za hm mfano usafi,,,

Au ukute vile vi-slay queen kila weend ana birthday kwa rfk zake,,,,

Jaribu kum-shape vzr !

Mume hawezi kulalama ovyo Kuna shida, au alishamtaka akamnyima, dogo anaogopa kukuambia ili asivunje ndoa !

Best option mtoe hapo
 
Mkuu, amini maneno yangu. Ikitokea siku mumeo na mdogo wako wakaja kupatana na kucheka pamoja.

Elewa umeshachelewa. Ameshapigwa mtu tako 3000.

Mimi ni mwanaume na nimeshapitia yote hayo. Kuanzia kutongoza mashemeji na hata marafiki wa mke.
Hapo mumeo katoswa na mdogo wako hilo ndy tatizo. Hamisha mdogo wako, au kubali kushare mapenzi.

Ukweli mchungu.
Ukweli mchungu haswa. Kwa wanaume siwezi kuwabishia😂 Mungu anipe busara tu
 
daah mkuu ugemkula aiseee.

Afu ukampotezeaa,
Mbali na kumheshimu Kristo, ninamheshimu sana mama mkwe wangu. ningetenda kitendo hicho na akajua, angeumia sana. Na ingekuwa vigumu sana kwangu kujenga upya heshima iliyopo kati yangu mimi na yeye.
 
Shughuli pevu. Kitu kinachonicost mimi ni kwamba namuona mdogo wangu kama mwanangu, nimem shape kimalezi kama nimenoa kisu so namjua vizuri na ananijua vizuri sana. Siku akija kusema shemeji yake kamtongoza sitashangaa ila ntachoka mwili na akili.
expect that. mumeo amesubiri ufa kwa mdogo wako mpaka amechoka....the only solution ni kumchukia aondoke
 
Back
Top Bottom