Mume wangu hapendi ndugu zangu

Mume wangu hapendi ndugu zangu

Duh kwa hilo pole sana mkuu.

Kiukweli hiyo ni ngumu sana kumbadilisha huyo mtaalam hapo, sijui kama inawezekana kuibadili tabia ya mtu sina uhakika.
Kupenda na kuchukia ni vitu viwili vipo katika same line but different pole.

Labda kama kuna njia ipo ya kumfanya mtu kupenda kitu anacho kichukia tena anakichukia kitu unconditionally narudia ni ngumu sana.

Mkuu, najua feelings ulizonazo kwa mdogo wako( nina mdogo wangu pia huyu dogo sipendi ataseke kabisa hata nkiambiwa kafanya nini huwa najitahidi kumrekebisha kwa upole sana tofauti na wengine mpaka home wanajua). Lakini kama njia utakazopewa na members zikigoma njia nzuri ni kutowaweka pamoja.

Kutokukaa pamoja itakusaidia wewe zaidi kutokupata stress ndogondogo kama hizo.
 
Asante kwa ushauri,

naweza kuwapa benefit of doubt katika kugegedana, mdogo wangu amefata nyayo zangu na ananijua vizuri tu na kiukweli uhuni hana.

Mume wangu kusema anatembea nae naweza kumtetea kwa sasa, mimi ni mtu mfatiliaji sana wa hisia so kama kuna mahusiano kati yao ntakuwa wa kwanza kujua ila kwasasa ntakua natenda dhambi kumuhukumu mume wangu siku akinipa
Hiyo sababu ntajua tu.

Sababu ambayo nahisi ni kwamba mume wangu hajawahi kuishi na familia kubwa yenye ndugu mchanganyiko kama mimi nilivyokua wazazi wetu maisha yao yoye wamekua wakiishi na ndugu zao so nilijifunza huko kuwa kila mtu ni mwanadamu mwenye uwezo wa kukosea.

Kilichonileta natamani mume wangu awe na amani na mdogo wangu naumia kuwa katika position ya kumfukuza mdogo wangu wakati mimi ndo nilishadadia aje hapa ili awe karibu na chuo. Leo namwambiaje nenda nyumbani? Ni mbali sana kutokea nyumbani kwenda chuoni kwao. So kwa hapa kwangu anarahisisha.
mkuu nakuambia hivi " jambo usilokijua ni kama usiku wa giza" hapo mume wako anaomba mbususu ya mdogo wako ila mdogo wako anazingua, na anaogopa kukuambia,

mume wako analeta vitimbwi ili mdogo wako asepe sababu anaamini ipo siku atakueleza so anafanya juu chini asepe.

A window of opportunity ya dakika 2 inatosha mwanaume kutongoza na hata kugegeda kimoja cha chapu

USIJIAMINISHE SANA KUWA MUMEO HAJAOMBA TUNDA
 
Huyo ni mbinafsi aliyepitiliza,
Ukishamjua mtu hakusumbui Tena,
Anza kutomchukulia serious kweye hayo mambo yake ya uselfish, mpuuze na usiruhusu moyo wako uumie simply umeshamjua, act matured and normal anapokupa changamoto kama hii.

Akiona haujali atabadilika mwenyewe na kuacha ubinafsi japo itachukua muda ila matunda utayaona.

Yani ndugu yangu acha tu. Kuna tuvisa tudogo dogo hadi unaona aibu hata mtu wa nje akiskia. Anaweza tu akaamka akaanza kusema hivi kule ana mashuka mangapi kayachukue si ulimuazima siku moja tu. Nyie nachanganyikiwa naona kama hii roho inamuandama. Akili iliyonijia hapa ni kupiga maombi. Naona aibu kwakweli. Sio kawaida
 
mchukue uende naye mahali muulize kwa upole. Haiwezekani kama alikukuta na mdogo wako abadilike ghafla pasipo sababu, na usiache kuomba sana kuhusu hili. Shetani yuko kazini kila wakati. mapepo hayapendi kuona taasisi ya ndoa ikiwa katika amani
Aisee nashukuru sana kwa huu ushauri. Kweli naona dawa ni kuomba. Haiwezekani hii ikawa kasoro moja tu inayomfanya nimuone mume wangu tofauti. Ni mtu mwenye upendo sana kwa hili ntalitolea sadaka
 
Vipi kuhusu hao ndugu wengine wanaokuja hapo kusalimia na anawatosa? Mimi siamini kwamba binti kamkataa, hapo issue ni gubu la mwamba, hataki ndugu wa mke waishi hapo.
Kugegeda shemeji kunataka nafasi,,

Hao ndugu wengine wanavuruga timings za mumeo kumchombeza mdogo wako..

Mdogo wako hawezi kukwambiya chochote.
Ila siku ukiona wamepatana utaleta mrejesho humu..

Simba akiwa mawindoni hapendi uwepo wa fisi ,,
Anavuruga mawindo ya Simba.
 
Kuna observation kadhaa nazihisi;

✓Kuna uwezekano kwenye
mahusiano yenu ya Kukaa pamoja umewahi kumtesea ndugu zake/ umewahi kutowapenda walipokuja kuwatembelea.

✓Mumeo amemtongoza huyo mdogo wako ila amekataliwa kwahiyo anamfanyia visa ili ukubaliane naye kumrudisha kwenu

✓Maisha yamekuwa magumu, hivyo anadhani familia imemlemea kwahiyo anatafuta namna ipungue kwa kumwondoa huyo mdogo wako

✓Huenda ndiyo alivyo, Kuna watu wamezaliwa na hali ya uchoyo. Huenda Mume wako ni Mmoja wapo
 
Kwa mwanaume ni kweli huwezi kumlia yamini. Hata siku ikitokea ntaomba Mungu anipe busara tu ya kulikabili.
mkuu nakuambia hivi " jambo usilokijua ni kama usiku wa giza" hapo mume wako anaomba mbususu ya mdogo wako ila mdogo wako anazingua, na anaogopa kukuambia,

mume wako analeta vitimbwi ili mdogo wako asepe sababu anaamini ipo siku atakueleza so anafanya juu chini asepe.

A window of opportunity ya dakika 2 inatosha mwanaume kutongoza na hata kugegeda kimoja cha chapu

USIJIAMINISHE SANA KUWA MUMEO HAJAOMBA TUNDA
 
mkuu nakuambia hivi " jambo usilokijua ni kama usiku wa giza" hapo mume wako anaomba mbususu ya mdogo wako ila mdogo wako anazingua, na anaogopa kukuambia,

mume wako analeta vitimbwi ili mdogo wako asepe sababu anaamini ipo siku atakueleza so anafanya juu chini asepe.

A window of opportunity ya dakika 2 inatosha mwanaume kutongoza na hata kugegeda kimoja cha chapu

USIJIAMINISHE SANA KUWA MUMEO HAJAOMBA TUNDA
hili nalo ni sahihi
 
Kuna observation kadhaa nazihisi;

✓Kuna uwezekano kwewako
mahusiano yenu ya Kukaa pamoja umewahi kumtesea ndugu zake/ umewahi kutowapenda walipokuja kuwatembelea.

✓Mumeo amemtongoza huyo mdogo wako ila amekataliwa kwahiyo anamfanyia visa ili ukubaliane naye kumrudisha kwenu

✓Maisha yamekuwa magumu, hivyo anadhani familia imemlemea kwahiyo anatafuta namna ipungue kwa kumwondoa huyo mdogo wako

✓Huenda ndiyo alivyo, Kuna watu wamezaliwa na hali ya uchoyo. Huenda Mume wako ni Mmoja wapo
1. Kwa kutowapenda ndugu zake hapa sina ndugu wa mume anaekaa naona ndo tatizo pia maana mume angejifunza kwangu na ndo inbi kangu aje hata mmoja akae wiki tatu tu nimuonesehe mume kwa vitendo jinsi ndugu wanavyokaa.

Na kuna mda wanapitaga tu kusalimia ila lazima wakute nimeandaa chakula. Ndugu wa mume wangu wana upendo sijawahi kuona. Midomo ya kawaida wanayo ila nnachofurahia ni kwamba ikija tukapata watoto basi watakua wamebahatika sana kupata upande wa baba wenye upendo hivi sina sababu hata robo ya kuwachukia na ndo sababu inayonifanya napambania ndo yangu pia.

Nipo kwenye familia moja ya kiutu sana.
 
Yani ndugu yangu acha tu. Kuna tuvisa tudogo dogo hadi unaona aibu hata mtu wa nje akiskia. Anaweza tu akaamka akaanza kusema hivi kule ana mashuka mangapi kayachukue si ulimuazima siku moja tu. Nyie nachanganyikiwa naona kama hii roho inamuandama. Akili iliyonijia hapa ni kupiga maombi. Naona aibu kwakweli. Sio kawaida
Huyo jamaa yako roho ya ubinafsi ndio inamsumbua tu😂😂😂
 
Vipi kuhusu hao ndugu wengine wanaokuja hapo kusalimia na anawatosa? Mimi siamini kwamba binti kamkataa, hapo issue ni gubu la mwamba, hataki ndugu wa mke waishi hapo.
Wa kusalimia akija hamalizi masaa mawili wala matatu wanarudi nyumbani. Atawafurahia yaani hata ndugu zangu wanampenda sana tena sana na nimewaruhusu wanione mimi mkali kuliko yeye ili wampende zaidi. Sasa akiendelea hivi watakuja kujua ukweli na staki mume wangu aonekane mbaya sijui nifanyeje
 
hili nalo ni sahihi
dada anajiamini eti mume wake hawez omba Tunda[emoji23][emoji23].

mimi mwenyew hapa nilishawahi omba tunda la mama mdogo wa wife, mbna ishue ni simple kama ni mzuri basi unaomba.

ila tunda nilinyimwa na nkapewa onyo, baada ya hapo nilimchukia na sitaki kumuona kwangu,

wife akiuuliza kwanini namchukia mama ake mdogo?
huwa sina majibu zaidi ya kufoka tu[emoji23]
 
Aisee nashukuru sana kwa huu ushauri. Kweli naona dawa ni kuomba. Haiwezekani hii ikawa kasoro moja tu inayomfanya nimuone mume wangu tofauti. Ni mtu mwenye upendo sana kwa hili ntalitolea sadaka
Lakini pia mkalishe mdogo wako uzungumze naye kwa upole na awe huru asikufiche chochote. Inawezekana kuna jambo hulijui lipo kati ya mumeo na mdogo wako.

Mara nyingi wanaume tunaweza tukaishi na mwanamke tukitarajia ipo siku tutapata kimpenyo kidogo tuingie, tukisubiri kwa muda mrefu bila mafanikio, ndipo hapo wengine huzua chuki. Inawezekana mumeo alisharusha chambo, mdogo wako akakwepa kwa heshima yako na hawezi akakuambia anaogopa kuvunja ndoa yako. Na jamaa anaona analisha ng'ombe ambaye hawezi kumkamua......ameamua kujaa hasira na chuki
 
Back
Top Bottom