Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

Angesema yeye ndo kajazia simenti sawa. Kwa nini ang'ang'anie kuingiziwa? Kama kweli hakuwahi,iweje leo ndo awashwe! Kama anawashwa,ni fundi mzoefu
 
KASIMAME WEWE
 
Mwambie asimamishe yeye! Mambo ya ndani ni ya ndani au hakufunzwa huko kanisani?
 
Upo sahihi...ndoa hii ni halali Kuibatilisha...wala si dhambi
 
Napiga chini huyo mwanamke
 
Atafute mwanaume awe anamchachafya! masuara ya ngono ni ya muda 20’s had 50’s kuna muda watu wanaanza kuishi kama kaka na dada usije jua ndoa zote wanafanya hay matengo maisha yao yote
 
Sauwa
 
Copulation ni moja kati ya vigezo vinavyoitambua ndoa. Kama mwanamke anaona mumewe hasimamishi
Penis[\SPOILER] na anakosa tendo la ndoa ana haki ya kuachna naye
Du
 
sasa ni muhimu kwenye hospitali,umtafute urologist mzuri amchunguze kujua kama huko kutosimamisha ni congenital or induced,basi baada ya hapo ndipo huyo dada na mwenza wake watatafuta ufumbuzi
 
sasa ni muhimu kwenye hospitali,umtafute urologist mzuri amchunguze kujua kama huko kutosimamisha ni congenital or induced,basi baada ya hapo ndipo huyo dada na mwenza wake watatafuta ufumbuzi
washatoka huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…