Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

Angesema yeye ndo kajazia simenti sawa. Kwa nini ang'ang'anie kuingiziwa? Kama kweli hakuwahi,iweje leo ndo awashwe! Kama anawashwa,ni fundi mzoefu
 
Haya mje sasa
Naona kumekucha
Haya MALALAMIKO nimeyapata Kwa dada alieolewa miezi 6 iliopita, kaolewa huko Kwa walokole

Kisa kinaenda hivi

Mlokole: Money penny me naumia Sana, huwezi amini tangu tuoane hatujawahi tembea pamoja kama MKE na mume

Money penny: Nini mbaya mami??

Mlokole: Mume hasimamishi nanii yake

Money penny: Kivipi?

Mlokole: unajua Sisi kabla hamjaolewa hairuhusiwi kuzini wala kujuana sehemu zenu za siri, nikavumilia na kutii maagizo ya kanisa, lakini tulipoongea Tu yupo honey moon nikajuà mwanaume hasimamishi, sijui nafanyaje na huu NI mwezi wa 6

Money penny: Umeenda kwa Mchungaji au wasimamizi WA ndoa wakasemaje?

Mlokole: wote wanasema ndoa haivunjwi kwasababu mwanaume hasimamishi kitakachovunja ndoa NI kifo tu na Mungu wenyewe Sisi haturuhusiwi

Sasa nifany

Sasa nifanyaje?

Msaidieni binti WA watu afanyaje
KASIMAME WEWE
 
Mwambie asimamishe yeye! Mambo ya ndani ni ya ndani au hakufunzwa huko kanisani?
 
KWELI HATURUHUSIWI KUZINI WA KRISTO ILA KABLA YA NDOA YA KIKRISTO KUFUNGWA LAZIMA SWALA LA AFYA LA WAPENDANAO , PAMOJA NA UWEPO WA HAKI YA NDOA (TENDO) LINAZINGATIWA SANA NA MAFUNDISHO HUTOLEWA KWA WAPENDANAO ISIPO KUA SWALA LA KUPATA UZAO HILO NI LA MUNGU

KUMBUKA : NDOA YEYOTE YA KIKRISTO

Ndoa ya kikristo haifungwi kama mmoja wenu upande wa mwanaume au mwanamke ( mmoja kati yenu) amegundulika na changamoto nzito za kiafya baada ya tafiti za kitabibu kama UKIMWI AU UHANITHI AU USHOGA AU USAGAJI

Kwa upande wa mwanaume Hanithi au kwa upande wa mwanamke kichongeo hakipo kwa mantiki hiyo hawezi kutimiza fumbo la sakrament ya ndoa kwa vitendo vitakatifu

Huyo aliyefungisha ndoa ya aina hiyo nakusema hadi kifo basi hakua anajua alitendalo anapaswa kushitakiwa labda ukute tuu jamaa alianza tatizo la kutosimamisha akiwa teyari ndani ya ndoa ila kama alitoka nalo huko hiyo ndoa ni BATILI KIKRISTO

HIYO NDOA KIKRISTO NI BATILI NA INAVUNJIKA AKAE NA WATUMISHI VIZURI WANAIVUNJA NA KUFUTA AGANO HILO , WAKISHINDWA SERIKALI INAIVUNJA
Upo sahihi...ndoa hii ni halali Kuibatilisha...wala si dhambi
 
Kuna mfanyakazi wa serikali alikuja mkoani kwetu, akadanganyiwa binti Mwenye kichaa. Kanisani walikuwa wanafahamu vizuri na pastor anafahamu kuwa huyo binti ana tatizo la afya ya akili na kila baada ya miezi mitatu huwa anaenda clinic ya vichaa pale Lutindi hospitalini.

Mwanaume akafungishwa ndoa na baada ya miezi 3 dawa anazotumia binti kwa Siri zikaisha, akanza kuonyesha dalili ya ukichaa. Ndipo mwanaume akawajuza wasimamizi wa ndoa, jibu alilipewa ni hili: NDIYO ALIVYO TOKA UTOTONI, MPELEKE HOSPITALINI ATAPATA NAFUU.

jamaa akataka ndoa ivunjwe akaambiwa ndoa ya Kanisani huwa haivunjwi kwa sababu ni Agano.

Je, mwanaume angepaswa kuchukua uamuzi gani?
Napiga chini huyo mwanamke
 
Haya mje sasa
Naona kumekucha
Haya MALALAMIKO nimeyapata Kwa dada alieolewa miezi 6 iliopita, kaolewa huko Kwa walokole

Kisa kinaenda hivi

Mlokole: Money penny me naumia Sana, huwezi amini tangu tuoane hatujawahi tembea pamoja kama MKE na mume

Money penny: Nini mbaya mami??

Mlokole: Mume hasimamishi nanii yake

Money penny: Kivipi?

Mlokole: unajua Sisi kabla hamjaolewa hairuhusiwi kuzini wala kujuana sehemu zenu za siri, nikavumilia na kutii maagizo ya kanisa, lakini tulipoongea Tu yupo honey moon nikajuà mwanaume hasimamishi, sijui nafanyaje na huu NI mwezi wa 6

Money penny: Umeenda kwa Mchungaji au wasimamizi WA ndoa wakasemaje?

Mlokole: wote wanasema ndoa haivunjwi kwasababu mwanaume hasimamishi kitakachovunja ndoa NI kifo tu na Mungu wenyewe Sisi haturuhusiwi

Sasa nifanyaje?

Msaidieni binti WA watu afanyaje

Atafute mwanaume awe anamchachafya! masuara ya ngono ni ya muda 20’s had 50’s kuna muda watu wanaanza kuishi kama kaka na dada usije jua ndoa zote wanafanya hay matengo maisha yao yote
 
Yap, agano linawezwa vunjwa very clear. Kama wakati anaoa alijua anakutana na mtu sane na baadae akaja kutambua aliyemuoa ana shida kiakili ana haki ya kumuacha. Kiserikali unatafuta mwanasheria na mnaachana hivyo hivyo.

Kuna scenario moja mchungaji wa kanisa fulani la kiroho (jina kapuni) yeye alioa na mke wake akamzalia kijana wa kiume lakini baada ya miaka kama 10 yule mwanamke alichanganyikiwa ile ya kutojielewa kabisa. Mchungaji alivumilia kisha akaamua kumuacha mke wake na kumuoa mke mwingine . Mke wake wa kwanza alichanganyikiwa totally.

Sija'justify' kumuacha mwanamke kwakuwa aliwahi fanya mchungaji na wala kufanya kwa mchungaji haihibitishi kama hilo jambo ni haki kidini au la. Ila kisheria una'state' facts na unamuacha yule mke mazima
Sauwa
 
Copulation ni moja kati ya vigezo vinavyoitambua ndoa. Kama mwanamke anaona mumewe hasimamishi
Penis[\SPOILER] na anakosa tendo la ndoa ana haki ya kuachna naye
Du
 
Haya mje sasa
Naona kumekucha
Haya MALALAMIKO nimeyapata Kwa dada alieolewa miezi 6 iliopita, kaolewa huko Kwa walokole

Kisa kinaenda hivi

Mlokole: Money penny me naumia Sana, huwezi amini tangu tuoane hatujawahi tembea pamoja kama MKE na mume

Money penny: Nini mbaya mami??

Mlokole: Mume hasimamishi nanii yake

Money penny: Kivipi?

Mlokole: unajua Sisi kabla hamjaolewa hairuhusiwi kuzini wala kujuana sehemu zenu za siri, nikavumilia na kutii maagizo ya kanisa, lakini tulipoongea Tu yupo honey moon nikajuà mwanaume hasimamishi, sijui nafanyaje na huu NI mwezi wa 6

Money penny: Umeenda kwa Mchungaji au wasimamizi WA ndoa wakasemaje?

Mlokole: wote wanasema ndoa haivunjwi kwasababu mwanaume hasimamishi kitakachovunja ndoa NI kifo tu na Mungu wenyewe Sisi haturuhusiwi

Sasa nifanyaje?

Msaidieni binti WA watu afanyaje
sasa ni muhimu kwenye hospitali,umtafute urologist mzuri amchunguze kujua kama huko kutosimamisha ni congenital or induced,basi baada ya hapo ndipo huyo dada na mwenza wake watatafuta ufumbuzi
 
sasa ni muhimu kwenye hospitali,umtafute urologist mzuri amchunguze kujua kama huko kutosimamisha ni congenital or induced,basi baada ya hapo ndipo huyo dada na mwenza wake watatafuta ufumbuzi
washatoka huko
 
Back
Top Bottom