Mume wangu hataki msamaha wangu

Kwann ulifikia hatua yakupokonya simu? Na kwann umng'ate? Nionavyo ni kama mmechokana maana iyo style yakunyang'anyana simu kwa nguvu sijakuelewa!!!!! Na kama wewe ndo ulimpa hasira ni jukumu lako kumtuliza..... And usipende kubomoa nyumba yako kwa mikono yako mwenyewe mami mwanaume hachungwi" na unapoona kama penzi linaelekea kupotea tumia muda zaidi kutafakari ni nini tatizo na kama unaweza solve ila usiongeze tatizo!!!! Sasa hapo mlikuwa vizuri shida ikawa simu ukaona uwongeze tatizo na limekuwa tatizo sasa now upo wataka ushauri serious??? Mwanamke achoki anapokuwa anajenga nyumba yake na haijalishi atatumia muda gani kuijenga, usiwe mwanamke wa mjini wa kuiga iga mambo ona sasa yanakushinda ili mwanaume akuheshimu unapaswa kujiamini na hata kama anafanya baya juu yako trust me utajua tu bila kutumia izo effots na yeye atajutia makosa yake ila mkienda ivyo na sisi wanaume mnakosea....!!!! Sasa ayo mapanga na marungu ndo uyatupe na usichoke kuomba samahani then muulize taratibu kama unaona kuna mabadiliko ili ujue shida ni nini mami
 
Tatizo ni huyo mtoto uliyezaa amefanana na jamaa ambaye ulikuwa unachepuka nae,na mumeo alikuwa anahisi jamaa kuchepuka na wewe
 
Pole kwa hayo.. nilipoona uzi wako nikakumbuka ulikuwa na threads nyingi nyuma za drama ya mapenzi na uhusiano miaka ya nyuma.

Ila hii ya kwenda kwenu mkijifungua ni kosa kubwa.. muwe mnaleta Mama zenu au ndugu wa kike mtu mzima wakae nanyi makwenu kwa muda fulani.

Kuhusu msamaha kwani yeye hajakukosea.. unaogopa kuachwa!!!
Sali.
 
Mumeo ni Dracula, nenda kwa wazee wake fasta ukajisalimishe
 
Asijishushe kwani simu ya mtu si ni private! Baada ya kukaa mda mdrefu kwenye mahusiano moja ya vitu ambavyo nimejifunza kutojishughulisha navyo ni simu ya mpenzi wangu.

Hamna hasara yoyote niliopata tokea nimeamua kuipotezea! Simu ya mpenz inaumizaga sana hasa ukikuta anatongozwa tongozwa na watu. So niliamua kwa akili yangu kila mpenzi mpya sitamuwekea mazingira ya kugusa simu yangu.
 
Kuna siku mlilala njaa? Kuna siku alishindwa kutimiza mahitaji ya home? Achana na simu
Hv kwanini mnapenda kuongelea habari za mahitaji na chakula kwenye mada za usaliti na mapenzi?.

Kwani mke kwao alikua hali?..

Mke hajafata chakula kwako kafata mapenzi...usaliti ni mapenzi?.
 
Uko vizuri mdada! We una kichwa chepesi hadi raha
 
Hv kwanini mnapenda kuongelea habari za mahitaji na chakula kwenye mada za usaliti na mapenzi?.

Kwani mke kwao alikua hali?..

Mke hajafata chakula kwako kafata mapenzi...usaliti ni mapenzi?.
Usaliti ni upi hapo? Mbona sijaona ishu ya usaliti bali mapepe ya mwanamke tu
 
Thank you
Huwa sielewi mtu kwenda kujifungulia nyumbani kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…