ibramy
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 642
- 967
Kwann ulifikia hatua yakupokonya simu? Na kwann umng'ate? Nionavyo ni kama mmechokana maana iyo style yakunyang'anyana simu kwa nguvu sijakuelewa!!!!! Na kama wewe ndo ulimpa hasira ni jukumu lako kumtuliza..... And usipende kubomoa nyumba yako kwa mikono yako mwenyewe mami mwanaume hachungwi" na unapoona kama penzi linaelekea kupotea tumia muda zaidi kutafakari ni nini tatizo na kama unaweza solve ila usiongeze tatizo!!!! Sasa hapo mlikuwa vizuri shida ikawa simu ukaona uwongeze tatizo na limekuwa tatizo sasa now upo wataka ushauri serious??? Mwanamke achoki anapokuwa anajenga nyumba yake na haijalishi atatumia muda gani kuijenga, usiwe mwanamke wa mjini wa kuiga iga mambo ona sasa yanakushinda ili mwanaume akuheshimu unapaswa kujiamini na hata kama anafanya baya juu yako trust me utajua tu bila kutumia izo effots na yeye atajutia makosa yake ila mkienda ivyo na sisi wanaume mnakosea....!!!! Sasa ayo mapanga na marungu ndo uyatupe na usichoke kuomba samahani then muulize taratibu kama unaona kuna mabadiliko ili ujue shida ni nini mamiNaogopa Sana
Iko hivi Jana tulikua namaongezi na mzee sebulen mpaka saa 6 usiku sababu toka nimetoka nyumban kujifungua ni kama ananikwepa hivi.
Akitoka kazini anipita uwanjan kwenye mazoez mpaka saa 3 usiku akirudi anakaa seblen anaangalia mpira mpaka saa 7 ndio anakuja kulala na gafla ukija seblen unamkuta anachat na simu Sasa Jana nikaamua kumuuliza.
Tukiwa katika maongezi akapigiwa simu hakupokea ikarudia tena akaikata simu ikiwa vibration, Nikamwambia mbona hiyo simu unaikata? Nani anapiga akadai achana na simu bahati mbaya nikampokonya simu akaja juu achana na simu yangu akaninyonga mkono nikamng'ata mkono.
Uwiiii hapo ndio nilipoamsha mashetani sababu alinikimbiza anipige na rungu nikamtoroka nikajifungia chumbani namuomba msamaha hataki kunisikiliza.
Leo nimeamka namuomba msamaha hataki nifanyeje jamani.
Wasiwas wangu anaweza niua maana ana hasira Sana alafu chumban Kuna rungu na sime