mume wangu jamani

mume wangu jamani

Ahsante dear. Ila nakushauri endelea kuhudhuria ili Mungu azidishe ulinzi katika ndoa yako nawe pia ukuze imani yako kwa kulijua neno.
Siku zote nyumbani mwa Bwana ni pazuri kama nini!
Nakutakia baraka za Mungu pamoja na familia yako.
Stay blessed ma sister!

Ahsante nina imani nitakuwa imara katika hilo
 
duu?huu ni mtihani,mpeleke hospitali atakuwa ana tatizo la kisaikologia
 
mimi nimeolewa miaka mingi iliyopita nimeishi kwa amani na upendo na mume wangu,pia mungu katujalia watoto na mali lukuki, kwa kifupi sina shida.ila sasa matatizo yameingia ndani ya nyumba.
huu ni mwaka wa nne mume hawezi ku make love na mimi ila kukuta na msg za madem nakuta,moyoni najiuliza hivi hawa nao anatia nao story tu?nilivumilia sana nikaanza kutembea nje,wa kwanza mwanachuo mwenzangu yaani upuuzi mtupu mapenzi hamfikii hata robo mume wangu,wa pili mfanyakazi mwenzangu nae ndo kabisaa akicome anajipiga kichwa then analia kama mbuzi hee:frusty: mwisho nikaamua nitulie tu home.
mwaka mmoja nyuma nikabuni kamtindo ka kujiridhisha mwenyewe nikaona raha ajabu mpaka miezi minne nyuma nikambana mume akakubali NJE AKIENDA ANAPIGA MZIGO KAMA KAWA AKIJA KWANGU ANASHINDWA!!!!! jamani wana jf wenzangu nisaidieni mwanamke wake kamloga au mimi ndio nina matatizo? na kama ni mm mbona wale watu walipiga mzigo kama kawa?? na mbona akiwa anataka kufanya mapenz jogoo anawika akinigusa tu inasinyaa jamani duniani kuna mambo na mateso ya kila aina
kuna mtu kanishauri niende kwa mganga mwanamke wake wa nje kamloga.niende?kuna mtu tatizo kama hili lishampata?nifarijini na mnishauri mwenzenu nateseka sana.

Is this really you?I mean did this episode really happen to you?If it is please PM me.I think I have some sound,practical advise that can help you.Trust me.
 
Bibie suala hilo msingi wa tiba yake kuu ni kuongeza mapenzi na ukarimu kwa mumeo,taratibu hisia zake zitarudi kwako!
 
Rafiki yangu anilinihadhihia kwamba mke alipopata mimba jogoo aligoma kuwika na hamu ikawa imekwisha kwa wife hata alazimishe vipi. Kwa nje akigonga fresh hadi mtoto alipozaliwa akaruida kawaida.
 
Ahsante dear. Ila nakushauri endelea kuhudhuria ili Mungu azidishe ulinzi katika ndoa yako nawe pia ukuze imani yako kwa kulijua neno.
Siku zote nyumbani mwa Bwana ni pazuri kama nini!
Nakutakia baraka za Mungu pamoja na familia yako.
Stay blessed ma sister!

Annony haya ya mwenzetu ni makubwa sana natamani tu niendelee kumpa pole,na hapa ndio pa kupeana uzoefu hasa wenye kuishi na waume jamani wadada mko wapi tupeane mauzoefu
 
Thank for the feedbak. Sasa yule meeeeeh aliyekuwa akilia kama mbuzi wakati wa shughuli ukimuona unacheka au unafanyaje?
 
ungebadilisha hata jina lako coz Gaga kwa kweli sio jin azuri ukizingatia yanayofanywa na yule mwanamuziki,mkaribishe Mungu maishani mwako even through nick names,,congrats and stay blessed,usirudie tena kufanya uliyoyafanya chuo,kazini na nyumbani kipindi cha matatizo.....
 
Thank for the feedbak. Sasa yule meeeeeh aliyekuwa akilia kama mbuzi wakati wa shughuli ukimuona unacheka au unafanyaje?

Hahahahahaaa umenichekesha kweli, yupo anang'ang'ana tu anafikiri utani vile halafu yuko single, nikimuona namuonea huruma tu
 
ungebadilisha hata jina lako coz Gaga kwa kweli sio jin azuri ukizingatia yanayofanywa na yule mwanamuziki,mkaribishe Mungu maishani mwako even through nick names,,congrats and stay blessed,usirudie tena kufanya uliyoyafanya chuo,kazini na nyumbani kipindi cha matatizo.....

Jina langu la kinyumbani linaanzia na hivyo then linaengelea sio yule unaemjua ndugu yangu imetokea tu coincedence,Thanx kwa ushauri naomba mungu anisaidie
 
Ni vyema kumshukuru Mungu kwa yote. kikubwa ni kuendelea kumweka Mungu mbele kila unapokuwa na jambo lolote kumwita yeye muweza wa yote.
 
Rafiki yangu anilinihadhihia kwamba mke alipopata mimba jogoo aligoma kuwika na hamu ikawa imekwisha kwa wife hata alazimishe vipi. Kwa nje akigonga fresh hadi mtoto alipozaliwa akaruida kawaida.

Naona ni tatizo la kisaikolojia hilo
 
Annony haya ya mwenzetu ni makubwa sana natamani tu niendelee kumpa pole,na hapa ndio pa kupeana uzoefu hasa wenye kuishi na waume jamani wadada mko wapi tupeane mauzoefu

Embu nipe mauzoefu yako wewe shantel
 
Pole sana kwa yaliyokukuta sista dunia hi ina kila aina ya matatizo, afadhali yameisha muendelee kuishi kwa upendo. Achana kabisa na yale mambo uliyokuwa unafanya wakati wa matatizo. Nimependa ulivyorudi kutoa shukrani nimesoma thread zako nimeelewa ulikuwa na wakati mgumu sana.napenda nikujulishe huwa napenda sana posts zako dada gaga
 
Embu nipe mauzoefu yako wewe shantel

Yaani sina mauzoefu kama yako uliyopitia na sina hakika kama ningeweza vumilia miaka yote minne naishi na mwanaume hatufanyi kitu wakati namuona na wanawake wengine, bora hata nisingemfuma na mahusiano kama ulivosema vimsg vya hapa na pale uliviona. aisee ningeona hizo msg wakati huohuo ananilaza njaa ningesha anza siku nyingi, ningehisi hanipendi kabisa maana twende mbele turudi nyuma sexni kiungo muhimu kwenye mahusiano hasa ndoa
 
Thank for the feedbak. Sasa yule meeeeeh aliyekuwa akilia kama mbuzi wakati wa shughuli ukimuona unacheka au unafanyaje?

Meeeeeee meeeeeeeee hhahahahaha gaga bwana hii ilikuwa hivi kweli au umezidisha?
 
Rafiki yangu anilinihadhihia kwamba mke alipopata mimba jogoo aligoma kuwika na hamu ikawa imekwisha kwa wife hata alazimishe vipi. Kwa nje akigonga fresh hadi mtoto alipozaliwa akaruida kawaida.
Labda alihisi atamuumiza mkewe
 
Mumejaribu kwenda mbali na nyumbani yaani kama hotelini hivi kwa weekend. Maana wakati mwingine mazingira yamemchosha. Kupewa dawa na wa nje yawezekana ila kwa nini umeacha tatizo likaendelea kwa miaka minne yote? Inakuwa kama una halalisha yeye kuwa na mwanamke wa nje na wewe kutafuta pa kujipa raha.
Kaeni chini mjaribu kutafuta namna.
 
Back
Top Bottom