Mume wangu kaniambia kwa kuwa nina bima niende hospitali mwenyewe

Mume wangu kaniambia kwa kuwa nina bima niende hospitali mwenyewe

Ndio ila sio sana ila naivaaga tu ili ivalike ila usifananishe material things na mwanadamu tena sisi.
Unaona upendo unapungua... Hata yeye kakuzoea sasa, ukikizoea kitu unaanza kichukulia poa poa kidogo.
Au huenda yuko busy anasaka mapesa aje kukuzawadia bango pale barabarani
 
ilibidi uende kwa mguu hospital kbs ili sired yako inoge.

hapa naona mambo ya kisekondari kbs
 
ilibidi uende kwa mguu hospital kbs ili sired yako inoge.

hapa naona mambo ya kisekondari kbs
Alivyokuja nyumbani kukuposa alionyesha anakuhitaji, alipokuwa anaapa kanisani alisema kwa shida na raha atakuwa na mimi sasa naumwa hii ndio shida alipaswa kuwa na mimi.
 
Eti nauliza mtu akitaka kujua kuwa huyu mume nilie naye ananipenda first of all nini kinamfanya mtu adhibitishe kuwa anapendwa.

Kwa maana leo badala ya mume wangu kunipeleka hospitalini ananipa hela yakwenda hospitalini. Naharaka hela hiyo hapo nenda hospitali siuna BIMA.

Basi kaishia .........Mapenzi niliyozoea kwenye hii miaka alikuwa ananipeleka hospitali nakutaka kujua hali yangu..... Ila kwa siku hizi mapenzi kwetu nikudharauliana kama hivyoo. Seriously mimi mama JJ leo nimeachwa mataa. Naumwa hapa sana .

Ila mwenzenu yupo busy. Siuna Bima seriously anakupa hela kama mfanyakazi wake so nimemzalia watoto ndio kazi nilikuwa nafanya kwake. Hii imenikeraa.

Goodmorning soon to be afternoon
Achika hakupendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo papuchi ikiiva tu mnajiona mnatosha kuwa mke, kuna zaidi ya hivyo via vya uzazi.
 
Huwezi kupata kila kitu kwa mwenza wako. Furahia vinavyokufurahisha, vingine ujue kwake havipo. Kama ulimpendea pesa enjoy pesa yake mengine achana nayo, kama ulimpendea uhandsome enjoy uhandsome wake mengine achana nayo
 
S huwa kuna msemo wa waja husema, "tafuta hela".

Pesa s jawabu la mambo yote......
 
Alivyokuja nyumbani kukuposa alionyesha anakuhitaji, alipokuwa anaapa kanisani alisema kwa shida na raha atakuwa na mimi sasa naumwa hii ndio shida alipaswa kuwa na mimi.
una mimba kwani?
 
Kua na mwamamke kama huyu ni mzigo, hii ni dalili kuntu ya ubinafsi na ujinga.
Yaani kumpeleka bibie hospitali sio sawa aende mwenyewe wewe utakuwa ubinafsi mwanamke wako anayekutunza unamuacha hivyoo tu anaumwa hujigusi kumsaidia unampa hela hiyo hapo nenda kaangalie unaumwa nini ukifika hospitali wenzako wameletwa na wanaume zao
 
Mnadeka sana Nyie,Huenda mwenzio ndani hana pesa hiyo iliyopo amekuachia ameenda kukopa huko nje,Ila we unaona hakupendi Ukizidiwa huko hospital na ndani hakuna pesa mnafanya nn?
 
Back
Top Bottom