Unaona upendo unapungua... Hata yeye kakuzoea sasa, ukikizoea kitu unaanza kichukulia poa poa kidogo.Ndio ila sio sana ila naivaaga tu ili ivalike ila usifananishe material things na mwanadamu tena sisi.
Alivyokuja nyumbani kukuposa alionyesha anakuhitaji, alipokuwa anaapa kanisani alisema kwa shida na raha atakuwa na mimi sasa naumwa hii ndio shida alipaswa kuwa na mimi.ilibidi uende kwa mguu hospital kbs ili sired yako inoge.
hapa naona mambo ya kisekondari kbs
Kwanini nisiende lazima niende hospitaliKwahiyo hujenda hospitali, unatusimulia kwanza!!
Achika hakupendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti nauliza mtu akitaka kujua kuwa huyu mume nilie naye ananipenda first of all nini kinamfanya mtu adhibitishe kuwa anapendwa.
Kwa maana leo badala ya mume wangu kunipeleka hospitalini ananipa hela yakwenda hospitalini. Naharaka hela hiyo hapo nenda hospitali siuna BIMA.
Basi kaishia .........Mapenzi niliyozoea kwenye hii miaka alikuwa ananipeleka hospitali nakutaka kujua hali yangu..... Ila kwa siku hizi mapenzi kwetu nikudharauliana kama hivyoo. Seriously mimi mama JJ leo nimeachwa mataa. Naumwa hapa sana .
Ila mwenzenu yupo busy. Siuna Bima seriously anakupa hela kama mfanyakazi wake so nimemzalia watoto ndio kazi nilikuwa nafanya kwake. Hii imenikeraa.
Goodmorning soon to be afternoon
Jamanii mbona zamani alikuwa anajali kwanini sasa nanileo tu nisiende naye
Kua na mwamamke kama huyu ni mzigo, hii ni dalili kuntu ya ubinafsi na ujinga.Hapana bhana lazima aende namimi I am his wife acha kila kitu for 1 minute plz .
una mimba kwani?Alivyokuja nyumbani kukuposa alionyesha anakuhitaji, alipokuwa anaapa kanisani alisema kwa shida na raha atakuwa na mimi sasa naumwa hii ndio shida alipaswa kuwa na mimi.
Yaani kumpeleka bibie hospitali sio sawa aende mwenyewe wewe utakuwa ubinafsi mwanamke wako anayekutunza unamuacha hivyoo tu anaumwa hujigusi kumsaidia unampa hela hiyo hapo nenda kaangalie unaumwa nini ukifika hospitali wenzako wameletwa na wanaume zaoKua na mwamamke kama huyu ni mzigo, hii ni dalili kuntu ya ubinafsi na ujinga.
Hapanauna mimba kwani?
Mi mke sio mpenzi poleTatizo papuchi ikiiva tu mnajiona mnatosha kuwa mke, kuna zaidi ya hivyo via vya uzazi.
Mi mke sio mpenzi pole
Utatukana wenzako tutaitwa bibi soonHuna sifa za kuwa mke, sema una uke tu.