what kind friend say so cold words to his friends? tena kanitolea maneno Machafu bila hata ugomvi naamka usingizin nakuta maneno sumu kuwa namdanganya na pesa 😔 which I didn't doGily njoo umshauri rafiki ako huku
Eeeeh shoga yangu nimeishiwa pozi!hivi si aliesema ni member Sasa si atasoma huu Uzi?[emoji134][emoji134][emoji134]
Gily niaje!tuulize me na mdogo wangu Half american ndio tunaujua moto wake🤣🤣🤣what kind friend say so cold words to his friends? tena kanitolea maneno Macha funny bila hata ugomvi naamka usingizin nakuta maneno sumu juwa namdanganya na pesa 😔 which I didn't do
nimeumia sana moyoni kuwa rafiki ambae si wa kweli kichwan anawaz nataka kulala nae 😔 after all the fun and nice talking
it's very sad Katkit ila poa tu
rafiki yake ungepasw kumtag ni MonsterEnergy
friend dont insult friends 🙂
View attachment 2657865
Kwa ule uandishi wako umenitisha sana, Sio rahisi kwa mwanamke mnyekevu mbele za mungu na jamii yake pia hawezi tumia kauli kama zile...Namashaka sana kama sio wakiume wewe basi utakua umetumia kilevi sio siri yani maandiko yako yana ukakasi mwingi sana kwa Kweli...Lala salama na pole kwa yaliyo kukuta...Nakuheshimu.
Halafu kuna mtu nilikua namuheshimu ila kanishangaza anaongea kimafumbo eti mim ndo wewe.
Nahisi na yeye ndo wale wale.makaka poa wa humu
Shemeji wa miezi miwili nae shemeji bhana🤣🤣🤣🤣anatafuta mlezi wa twins wasogee. ......mi niliongea humu nikaonekana hater.....hebu amtaje tu huyo mkora😁Tumepanga kamati vzr mimi floor manager kumbe shem katili na yupo anatuchora [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shemeji wa miezi miwili nae shemeji bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]anatafuta mlezi wa twins wasogee. ......mi niliongea humu nikaonekana hater.....hebu amtaje tu huyo mkora[emoji16]
tatizo wewe unapenda violence😂what kind friend say so cold words to his friends? tena kanitolea maneno Macha funny bila hata ugomvi naamka usingizin nakuta maneno sumu juwa namdanganya na pesa 😔 which I didn't do
nimeumia sana moyoni kuwa rafiki ambae si wa kweli kichwan anawaz nataka kulala nae 😔 after all the fun and nice talking
it's very sad Katkit ila poa tu
rafiki yake ungepasw kumtag ni MonsterEnergy
friend dont insult friends 🙂
View attachment 2657865
Kikubwa umakini tu, na kujipa muda wa kumjua vizuri,Kuna wakora humu,lkn Kuna wema pia.Kagoma kumtaja katuchukia wenzio huku [emoji23][emoji23][emoji23] ila nimeogopa dada sijui na mimi nitatoboa na wanaume zetu wa jf
Kikubwa umakini tu, na kujipa muda wa kumjua vizuri,Kuna wakora humu,lkn Kuna wema pia.
Mbona ile fimbo iliyopinda mnaivumiliaga?🤣🤣🤣Kuvumilia fimbo mkuu🙏
Nimekutukana ujue😂Kwa mimi naona wakora wengi ni mabaka bolala tu
Kuwa makini,humu...utakuja kutana Hadi na walokole wakatili😝😝Kwa mimi naona wakora wengi ni mabaka bolala tu
Ndio utajua hujui, Tanzania Iko pembezoni mwa Indian ocean Ila haina bandar🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati hatuna bandari
Nimekutukana ujue[emoji23]
Kuwa makini,humu...utakuja kutana Hadi na walokole wakatili[emoji13][emoji13]
Ndio utajua hujui, Tanzania Iko pembezoni mwa Indian ocean Ila haina bandar[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]