Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Status
Not open for further replies.
Mitandao sehemu ya kupunguza stress sio kila kitu kina uhalisia! Humu kila mtu ana kazi nzuri lakini ilivyokuja sensa kila mtu anaulizia jina lake km limechaguliwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena wale waliokuwa wakurugenzi yaani full drama
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jirani acha tu nilicheka tena huyo mtu alisema pm yuko USA [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikajua changamoto ya afya ya akili imejaa bongoland
 
Mama yangu aliwai niunguza mdomo na kijiko cha moto mdomoni sababu kubwa nilitukana...na nilikoma na alikua ananibutua sababu tofaut nikichelewa kurudi nyumbani sijakula nyumbani nimekaidi nilichotumwa hakuna onyo kubwa ni kupigwa tu...na mwanangu atapitia haya niliopitia mimi yakaniweka kwenye mstari
 
Alifariki Kwa ugonjwa au kipigo?
Mimi/baba WA watoto wangu tunaishiaga kufinya tu au kakofi kamoja..Kwa mtoto
Mtu anaweza kupiga mtoto mda wooote huo ni MUUAJI
Wewe atakuua
Aliugua dear🙏
Lakini si akipata msaada wa kisaikolojia anaweza kukaa sawa?
 
sio mchezo,,,mtu anaona bora ajifariji tu kwa staili hiyo atafanyaje sasa[emoji2368][emoji2368][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndio aseme yuko USA wakati anakaa kwa mama kibonge [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Humu km una roho nyepesi unatelekeza I’d mimi nilikaza kwenye uzi wangu mpk wengine tumekuwa mabest ss hivi
yeah ni kweli,, ukiwaskiliza wanaJf mbona utashindwa kula maana akili zao zenyewe kama za jirani yangu hapa...hatueleweki tuko upande gani😂😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom