Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Status
Not open for further replies.
😂😂😂 pole mtoa mada ilikuwa hasira hata usiogope

Nje ya mada nakushauri usipende kutusimulia kila kitu hasa kinachohusu mahusiano yako nk kumejaa wachawi humu hakufai,

wengineo asanteni kwa kunichekesha aisee
Ulivyo na akili mingi hili umeamini?
 
😂😂😂 pole mtoa mada ilikuwa hasira hata usiogope

Nje ya mada nakushauri usipende kutusimulia kila kitu hasa kinachohusu mahusiano yako nk kumejaa wachawi humu hakufai,

wengineo asanteni kwa kunichekesha aisee
Asante dear🙏.

Nikirudia tena labda nimelogwa mkuu🤣.
Kweli kabisa usemavyo.Ni cocktail ya wachawi mixer wenye wivu plus kuna midume ya ID za kike niliitibua juzi fulu kuniwangia hapa🤣.
 
Asante dear🙏.

Nikirudia tena labda nimelogwa mkuu🤣.
Kweli kabisa usemavyo.Ni cocktail ya wachawi mixer wenye wivu plus kuna midume ya ID za kike niliitibua juzi fulu kuniwangia hapa🤣.
Nilikwambia juzi jiweke bize na kumuhudumia shem naona hukunielewa,
 
katuni sio nzuri maana kuna saa huwa anakua kama anabong'oa halafu anatikisa wowowo
Hapa hakuna mlokole wala msoma bible study na hiyo ndoa ni usanii hahahahaa
Hawa watoto ni mapacha, wa kike na wa kiume na ni watundu kishenzi
Kweli JF usichukulie serious unaweza kufa kabla ya siku zako...

NB: Ewe ndugu mwandishi kwa hali ya huu mwandiko wewe ni msanii tena unastahili Phd ya uandishi wa frictions stories kama hizi... IamBrianLeeSnr akirudi akukute umebadili hiyo avatar yako na Identity yako wewe ni wakiume sio kwa utunzi huu 🤣🤣🤣
 
Hapa hakuna mlokole wala msoma bible study na hiyo ndoa ni usanii hahahahaa

Kweli JF usichukulie serious unaweza kufa kabla ya siku zako...

NB: Ewe ndugu mwandishi kwa hali ya huu mwandiko wewe ni msanii tena unastahili Phd ya uandishi wa frictions stories kama hizi... IamBrianLeeSnr akirudi akukute umebadili hiyo avatar yako na Identity yako wewe ni wakiume sio kwa utunzi huu 🤣🤣🤣
Nakuheshimu.
Halafu kuna mtu nilikua namuheshimu ila kanishangaza anaongea kimafumbo eti mim ndo wewe.
Nahisi na yeye ndo wale wale.makaka poa wa humu
 
Nilikuambia mapema ulikosea kuleta ule uzi kia umepata mume hapa jf!!

Ulikaribisha vita kubwa SANA!!!

BADO unasafiri mama safari bado ndefu!!

Mungu akubariki!
Nimerudia kusoma hii coment yako mkuu.
Sijui kwanin nahisi Mbingu zimekutumia kuongea na mimi.

Barikiwa sana mkuu.
Nadhani ni wakati wa mim kujikita kwenye maombi.
Hata hivyo Mungu wetu halali wala hasinzii,tutavuka salama na mipango ya Mungu juu yetu lazima itatimia IJN.
 
Watu wametongozeana mtandaoni, wameachana mtandaoni, kesi za mahusiano mtandaoni. Dah! Is not fair

Mitandao sehemu ya kupunguza stress sio kila kitu kina uhalisia! Humu kila mtu ana kazi nzuri lakini ilivyokuja sensa kila mtu anaulizia jina lake km limechaguliwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena wale waliokuwa wakurugenzi yaani full drama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom