Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Status
Not open for further replies.
Ndugu zangu,
Ijumaa iliyopita mume wangu mtarajiwa alileta watoto wake(wetu) walale kwangu ili Jumamosi nikawafanyie shopping ya mavazi.

Jumamosi nikawawafanyia watoto wetu shopping hadi hela yote alonipa baba yao ikaaisha na baada ya kuridhika kuwa watoto wamepata nguo za kutosha nikaona sio mbaya na mimi nikitoa tu senti twangu kuwapeleka madogo wakale bata.

Hakika mim na wanangu tulikula bata tukafurahi na tukapata new friends from Canada na jioni ilipofika tukarudi zetu home (kwangu) tukalala wote tukiwa na nyuso za furaha.

Japo sio muda mrefu tokea watoto hawa waje katika maisha yangu ila wamekua baraka na darasa kubwa kwangu. Wamenikomaza.

My babies are so cutie and sweet na kila nikiwa nao najisikia huzuni vinapoondoka.

Hawa watoto ni mapacha, wa kike na wa kiume na ni watundu kishenzi na mwanzoni walikua wakiletwa kukaa na mimi nilikua nachanganyikiwa maana nilishazoea naishi mwenyewe hakuna wakunivurugia nyumba ila mara tu baada ya kuwa mama ndo nikaelewa maana ya kuzaa sio kazi bali kulea ndio kazi.

Hawa madogo walikua hawaoni tabu kuchukua jagi la maua na kuanza kurushiana kama mpira na mechi itaisha pale litakapovunjika.

Kuna siku nilikua chumbani nimejipumzisha mchana nikaamshwa na simu ya jiran ananambia kuna mtoto juu ya paa. Kutoka namkuta ni yule wa kiume kafata kitoto cha ndege walikikamata then kikarukia juu ya paa.

Siku nyingine wakaenda kuwapa mbwa Lunch yote kwenye sufuria kisa mlinzi aliwaambia mbwa wanampenda yeye sababu yeye ndo anawapa chakula kwa hiyo walitaka na wao mbwa wawapende.

Yaani ni mambo mengi ila pamoja na utundu wao wote sijawahi kuwaza kuwachapa sababu siamini katika kupiga watoto.

Watu walinishauri sana niwachape ila nilipuuza na nilichofanya ni kuongea nao na kuwaelewesha madhara ya kila kitu kibaya wanachofanya.

Mfano waliharibu blender kwa hiyo kila wakisema mom we want juice nawakumbusha kuwa wameharibu blender kwa hiyo dada hawezi tena kuwasagia juice.

Nikiona wanataka kuharibu remote namuuliza what is your favorite cartoon? Akinijibu namwambia sasa ukiharibu hiyo remote hutaweza tena kuangalia hiyo katuni yako. Unakuta anaacha bila kupigwa na anakua na uelewa.

Namshukuru Mungu mapacha wangu wamebadilika sana na wamepunguza utundu na hata wakija hawanivurugi tena kichwa changu .

Sasa Jumapili mchana wakati baba yao anakuja kuwachukua mimi nilikua chumbani na watoto walikua sebuleni wakiangalia katuni.

Kumbe katuni waliyokua wakiangalia ni katuni fulani hivi yenye character ambae ni katuni mtu mzima baunsa, juu mnene chini mwembamba. Sasa bwana kumbe hiyo katuni sio nzuri maana kuna saa huwa anakua kama anabong'oa halafu anatikisa wowowo ila sikua najua.(Wazazi kuweni makini kuna katuni nyingi mbaya).

Sasa nikiwa chumbani nikasikia yule wa kiume akisema neno "sitaki" halafu yule wa kike akasema huwezi. Wa kiume nikasikia akisema nikiamua naweza ila wanaume hawafanyagi hivyo. Yule wa kike akasema"Mbona huyo(akataja jina la huyo katuni) ni mwanaume na anafanya? Wa kiume akasema ni mwanaume mjinga mbona baba hafanyagi? Wa kike akamwambia "Kila kitu huwezi ndo mana shuleni walimu wananisifia mim sbb najua vitu vingi kuliko wewe, hata bibi anasema wewe unachoweza ni kuharibu tu vitu. Hilooo.
Yule wa kiume akasema kwa nguvu na hasira, Nawezaaa!

Wa kike akasema huwezi kitu. Wa kiume akasema kwa hasira na kwa sauti ya juu zaid" Nawezaaa! Wa kike akasema "Kama unaweza cheza kidogo nione!

Mpaka hapo nikataka nione kinachoendelea sebuleni sababu maongezi yao yalishanitia mashaka. Nkafungua mlango taratibu kisha nikawa naelekea sebuleni kwa kunyata.

Ile kufika usawa wa kuwaona yule wa kiume akiwa hanion maana alinigeuzia mgongo akasema kwa hasira "Naweza ila sitaki' kisha akaanza kukatika kama ile katuni.

Unaambiwa siku ukitembea uchi ndo siku utakutana na mkweo. Masikini dogo, ile anaanza tu kukatika na baba yake anafungua mlango na kumkuta mwanae wa kiume, jembe lake analolisifia likiwa limebong'oa linakata viuno.

Dogo alivyomuona tu baba yake akajua siku yake ishaharibika Ila hakupanga kufa kizembe. Akarukia kwenye meza. Baba ake akienda huku anakimbilia huku na macho ya dogo yalionyesha target yake ni kukimbilia mlangoni atoke nje lakini baada ya kusumbua kidogo baba yake akamdaka.

Ndugu zanguni. Baada ya huyu mume wangu mtarajiwa kumkamata mwanae ndio nilipoiona sura yake ya ukatili.

Alivyomkamata mwanae akamkaba shingo kwa mkono mmoja huku akimvuta kwa hasira akaenda mpaka iliko pasi yangu akaichukia.

Samahani wapendwa ,ila alivyochukua pasi tumkojo tulianza kunitoka maana nilijua anachotaka kukifanya. Kumchoma mtoto na pasi.Nikawa namuombea mtoto msamaha ila bwana yule ni kama vile alikua hanisikii, kabisa.

Baada ya kuchukua ile pasi akamburuta mtoto mpaka jikoni huku kamkaba shingo akachukua kisu then akamkandamiza dogo ukutani akakata waya wa ile pasi kwa kisu kisha akashika ule waya na mkono mmoja na mkono mmoja akamnyanyua dogo kichwa chini miguu juu akarudi nae sebuleni kisha akaanza kumchapa.

Hapo kidogo tumkojo tukakata.Bwana yule akikasirika macho yanakua mekkundu hadi anatisha na sura yake inakua kama kuna roho fulani ya giza imemuingia. Shindwaaa!

Basi dogo alichapwa kama mwizi. Dogo alichapwa hadi akaacha kulia na damu za puani zikaanza kumtoka.

Nikaona huu ni upuuzi siwezi kuangalia tu kiumbe cha watu kikiuliwa bila hatia hivyo nliivyoona hanisikilizi, nikapanda juu ya meza ili nimfikie vizuri maana ni supa tolu halafu nikamkaba kwa nyuma kwa nguvu zangu zote ili aishiwe pumzi amuachie dogo ila badala yakumuachia dogo akatupa ule waya halafu ule mkono alokua kashikia waya akaniminya kwa nguvu kwenye vidole hadi nikamuachia.

Nilivyomuachia akanishika kwenye shingo ya gauni halafu akaninnyanyua kutoka mezani akanishusha chini sakafuni halafu kwa hasira akaniuliza unafanya nini? nikamwambia muachie mtoto utamuua.

Akasema kwa hiyo wewe unaona ni sawa alichofanya, nikasema sio sawa ila ulivyompiga inatosha. Akasema kwa alichofanya nitampiga mpaka mimi nitakapoona inatosha na wala sitamuacha kisa wewe umesema nimuache.

Sijui hata ilikuaje ila nilijikuta tu nasema "Najuta kupenda jitu katili kama wewe!!"Akasema rudia ulichosema, nikanyamaza. Akanitizama kwa hasirakwa sekunde kadhaa na macho yake mekundu halafu akasema "Hata wewe ukileta upumbavu nakunyanyua miguu juu kichwa chini nakuchapa kama mtoto mdogo. Tumeelewana"
Nikanyamaza akarudia tena "Tumeelewana" nikaona nikiendelea kunyamaza na mimi nitachapwa nikajibu huku natetemeka "Ndio tumeelewana".

Akamchapa dogo viboko viwili vya nguvu kisha akatupa wapa akamsimamisha kawaida. Cha ajabu dogo alivyosimamishwa tu nilishangaa kapata wapi nguvu za kukimbia hadi chumbani kwangu na mimi nikakurupuka mbio nikamfuatia dogo nyuma nikakimbilia chumbani nikafunga mlango tukamuacha mwenyewe sebuleni. Yule wa kike tulimkuta keshatangulia mvunguni.

Kila akisema nifungue nimpe watoto waondoke watoto wanalia huku wamenikumbatia miguuni wakiomba nisiwatoe na sikuwatoa akaondoka zake akawaacha wakafuatwa siku nyingine.

Sasa ndugu zanguni naombeni mnisaidie jamani. Huyu mtu kaniambia tayari kuwa atanichapa kama mtoto mdogo. Je ni hasira tu hakumaanisha alichosema au nikiolewa ndo nitakua nimeingia maisha ya kuchapwa kama mtoto mdogo.?

Bado nampenda ila namuogopa. Kaniomba msamaha na kasema eti hapigagi wanawake ila kwa nilivyomuona anavyokua akikasirika nahisi kabisa atakua ananichapa huyu.

KWAKO YESU NASIMAMA
NDIO MWAMBA NI SALAMA,
NDIO MWAMBA NI SALAMA.🙏
Nilikuambia mapema ulikosea kuleta ule uzi kia umepata mume hapa jf!!

Ulikaribisha vita kubwa SANA!!!

BADO unasafiri mama safari bado ndefu!!

Mungu akubariki!
 
pole sana aisee 😃😃😃,, ndo jf hiii 😊
Najuta kuweka huu uzi.🤣🤣
Sikujua mashoga wana hasira hivi.
Naona walikua wananisubiri kwa hamu.
Ila hata sijuti ninarudia kusema.WANAUME MNAOJIFANYA WANAWAKE MMELAANIWA na hata mkinitukana sijali
 
NDIO MWAMBA NI SALAMA.[emoji120]
[emoji1][emoji1]! Bila shaka huyo mume wako ni mtu mkimya muda mwingi! Au nasema uongo? Usiogope lakini uwe makini.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Nilikuambia mapema ulikosea kuleta ule uzi kia umepata mume hapa jf!!

Ulikaribisha vita kubwa SANA!!!

BADO unasafiri mama safari bado ndefu!!

Mungu akubariki!
Amina mkuu.
Ila juzi niliweka uzi wa kuwasema wanaume wanaotumia ID za kike naona wamenivamia hapa wananitukana na kunishambulia sana aisee.
Sijazoea kushambuliwa hivi aisee nataman kulia ila sijuti kuwasema wajinga hawa.Wamejazana hapa kunishambulia😭😭😭
 
[emoji1][emoji1]! Bila shaka huyo mume wako ni mtu mkimya muda mwingi! Au nasema uongo? Usiogope lakini uwe makini.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Sio mkimya kihivyo ila ana upendo sana kwangu na kila mtu ila kwenye hilo tukio ndio niliiona sura yake akiwa kakasirika.Alibadilika kabisa na kuwa mtu mwingine
 
Ndugu zangu,
Ijumaa iliyopita mume wangu mtarajiwa alileta watoto wake(wetu) walale kwangu ili Jumamosi nikawafanyie shopping ya mavazi.

Jumamosi nikawawafanyia watoto wetu shopping hadi hela yote alonipa baba yao ikaaisha na baada ya kuridhika kuwa watoto wamepata nguo za kutosha nikaona sio mbaya na mimi nikitoa tu senti twangu kuwapeleka madogo wakale bata.

Hakika mim na wanangu tulikula bata tukafurahi na tukapata new friends from Canada na jioni ilipofika tukarudi zetu home (kwangu) tukalala wote tukiwa na nyuso za furaha.

Japo sio muda mrefu tokea watoto hawa waje katika maisha yangu ila wamekua baraka na darasa kubwa kwangu. Wamenikomaza.

My babies are so cutie and sweet na kila nikiwa nao najisikia huzuni vinapoondoka.

Hawa watoto ni mapacha, wa kike na wa kiume na ni watundu kishenzi na mwanzoni walikua wakiletwa kukaa na mimi nilikua nachanganyikiwa maana nilishazoea naishi mwenyewe hakuna wakunivurugia nyumba ila mara tu baada ya kuwa mama ndo nikaelewa maana ya kuzaa sio kazi bali kulea ndio kazi.

Hawa madogo walikua hawaoni tabu kuchukua jagi la maua na kuanza kurushiana kama mpira na mechi itaisha pale litakapovunjika.

Kuna siku nilikua chumbani nimejipumzisha mchana nikaamshwa na simu ya jiran ananambia kuna mtoto juu ya paa. Kutoka namkuta ni yule wa kiume kafata kitoto cha ndege walikikamata then kikarukia juu ya paa.

Siku nyingine wakaenda kuwapa mbwa Lunch yote kwenye sufuria kisa mlinzi aliwaambia mbwa wanampenda yeye sababu yeye ndo anawapa chakula kwa hiyo walitaka na wao mbwa wawapende.

Yaani ni mambo mengi ila pamoja na utundu wao wote sijawahi kuwaza kuwachapa sababu siamini katika kupiga watoto.

Watu walinishauri sana niwachape ila nilipuuza na nilichofanya ni kuongea nao na kuwaelewesha madhara ya kila kitu kibaya wanachofanya.

Mfano waliharibu blender kwa hiyo kila wakisema mom we want juice nawakumbusha kuwa wameharibu blender kwa hiyo dada hawezi tena kuwasagia juice.

Nikiona wanataka kuharibu remote namuuliza what is your favorite cartoon? Akinijibu namwambia sasa ukiharibu hiyo remote hutaweza tena kuangalia hiyo katuni yako. Unakuta anaacha bila kupigwa na anakua na uelewa.

Namshukuru Mungu mapacha wangu wamebadilika sana na wamepunguza utundu na hata wakija hawanivurugi tena kichwa changu .

Sasa Jumapili mchana wakati baba yao anakuja kuwachukua mimi nilikua chumbani na watoto walikua sebuleni wakiangalia katuni.

Kumbe katuni waliyokua wakiangalia ni katuni fulani hivi yenye character ambae ni katuni mtu mzima baunsa, juu mnene chini mwembamba. Sasa bwana kumbe hiyo katuni sio nzuri maana kuna saa huwa anakua kama anabong'oa halafu anatikisa wowowo ila sikua najua.(Wazazi kuweni makini kuna katuni nyingi mbaya).

Sasa nikiwa chumbani nikasikia yule wa kiume akisema neno "sitaki" halafu yule wa kike akasema huwezi. Wa kiume nikasikia akisema nikiamua naweza ila wanaume hawafanyagi hivyo. Yule wa kike akasema"Mbona huyo(akataja jina la huyo katuni) ni mwanaume na anafanya? Wa kiume akasema ni mwanaume mjinga mbona baba hafanyagi? Wa kike akamwambia "Kila kitu huwezi ndo mana shuleni walimu wananisifia mim sbb najua vitu vingi kuliko wewe, hata bibi anasema wewe unachoweza ni kuharibu tu vitu. Hilooo.
Yule wa kiume akasema kwa nguvu na hasira, Nawezaaa!

Wa kike akasema huwezi kitu. Wa kiume akasema kwa hasira na kwa sauti ya juu zaid" Nawezaaa! Wa kike akasema "Kama unaweza cheza kidogo nione!

Mpaka hapo nikataka nione kinachoendelea sebuleni sababu maongezi yao yalishanitia mashaka. Nkafungua mlango taratibu kisha nikawa naelekea sebuleni kwa kunyata.

Ile kufika usawa wa kuwaona yule wa kiume akiwa hanion maana alinigeuzia mgongo akasema kwa hasira "Naweza ila sitaki' kisha akaanza kukatika kama ile katuni.

Unaambiwa siku ukitembea uchi ndo siku utakutana na mkweo. Masikini dogo, ile anaanza tu kukatika na baba yake anafungua mlango na kumkuta mwanae wa kiume, jembe lake analolisifia likiwa limebong'oa linakata viuno.

Dogo alivyomuona tu baba yake akajua siku yake ishaharibika Ila hakupanga kufa kizembe. Akarukia kwenye meza. Baba ake akienda huku anakimbilia huku na macho ya dogo yalionyesha target yake ni kukimbilia mlangoni atoke nje lakini baada ya kusumbua kidogo baba yake akamdaka.

Ndugu zanguni. Baada ya huyu mume wangu mtarajiwa kumkamata mwanae ndio nilipoiona sura yake ya ukatili.

Alivyomkamata mwanae akamkaba shingo kwa mkono mmoja huku akimvuta kwa hasira akaenda mpaka iliko pasi yangu akaichukia.

Samahani wapendwa ,ila alivyochukua pasi tumkojo tulianza kunitoka maana nilijua anachotaka kukifanya. Kumchoma mtoto na pasi.Nikawa namuombea mtoto msamaha ila bwana yule ni kama vile alikua hanisikii, kabisa.

Baada ya kuchukua ile pasi akamburuta mtoto mpaka jikoni huku kamkaba shingo akachukua kisu then akamkandamiza dogo ukutani akakata waya wa ile pasi kwa kisu kisha akashika ule waya na mkono mmoja na mkono mmoja akamnyanyua dogo kichwa chini miguu juu akarudi nae sebuleni kisha akaanza kumchapa.

Hapo kidogo tumkojo tukakata.Bwana yule akikasirika macho yanakua mekkundu hadi anatisha na sura yake inakua kama kuna roho fulani ya giza imemuingia. Shindwaaa!

Basi dogo alichapwa kama mwizi. Dogo alichapwa hadi akaacha kulia na damu za puani zikaanza kumtoka.

Nikaona huu ni upuuzi siwezi kuangalia tu kiumbe cha watu kikiuliwa bila hatia hivyo nliivyoona hanisikilizi, nikapanda juu ya meza ili nimfikie vizuri maana ni supa tolu halafu nikamkaba kwa nyuma kwa nguvu zangu zote ili aishiwe pumzi amuachie dogo ila badala yakumuachia dogo akatupa ule waya halafu ule mkono alokua kashikia waya akaniminya kwa nguvu kwenye vidole hadi nikamuachia.

Nilivyomuachia akanishika kwenye shingo ya gauni halafu akaninnyanyua kutoka mezani akanishusha chini sakafuni halafu kwa hasira akaniuliza unafanya nini? nikamwambia muachie mtoto utamuua.

Akasema kwa hiyo wewe unaona ni sawa alichofanya, nikasema sio sawa ila ulivyompiga inatosha. Akasema kwa alichofanya nitampiga mpaka mimi nitakapoona inatosha na wala sitamuacha kisa wewe umesema nimuache.

Sijui hata ilikuaje ila nilijikuta tu nasema "Najuta kupenda jitu katili kama wewe!!"Akasema rudia ulichosema, nikanyamaza. Akanitizama kwa hasirakwa sekunde kadhaa na macho yake mekundu halafu akasema "Hata wewe ukileta upumbavu nakunyanyua miguu juu kichwa chini nakuchapa kama mtoto mdogo. Tumeelewana"
Nikanyamaza akarudia tena "Tumeelewana" nikaona nikiendelea kunyamaza na mimi nitachapwa nikajibu huku natetemeka "Ndio tumeelewana".

Akamchapa dogo viboko viwili vya nguvu kisha akatupa wapa akamsimamisha kawaida. Cha ajabu dogo alivyosimamishwa tu nilishangaa kapata wapi nguvu za kukimbia hadi chumbani kwangu na mimi nikakurupuka mbio nikamfuatia dogo nyuma nikakimbilia chumbani nikafunga mlango tukamuacha mwenyewe sebuleni. Yule wa kike tulimkuta keshatangulia mvunguni.

Kila akisema nifungue nimpe watoto waondoke watoto wanalia huku wamenikumbatia miguuni wakiomba nisiwatoe na sikuwatoa akaondoka zake akawaacha wakafuatwa siku nyingine.

Sasa ndugu zanguni naombeni mnisaidie jamani. Huyu mtu kaniambia tayari kuwa atanichapa kama mtoto mdogo. Je ni hasira tu hakumaanisha alichosema au nikiolewa ndo nitakua nimeingia maisha ya kuchapwa kama mtoto mdogo.?

Bado nampenda ila namuogopa. Kaniomba msamaha na kasema eti hapigagi wanawake ila kwa nilivyomuona anavyokua akikasirika nahisi kabisa atakua ananichapa huyu.

KWAKO YESU NASIMAMA
NDIO MWAMBA NI SALAMA,
NDIO MWAMBA NI SALAMA.🙏

Baba anaeleweka sana
Wewe ndio utasaidia kusimamia familia ili hizo hasira zisimfikishe huko kwa kupiga kiasi hicho. Uwezo unao
 
😂😂😂 pole mtoa mada ilikuwa hasira hata usiogope

Nje ya mada nakushauri usipende kutusimulia kila kitu hasa kinachohusu mahusiano yako nk kumejaa wachawi humu hakufai,

wengineo asanteni kwa kunichekesha aisee
 
Achana nao!

Mumeo hatofautiani sana na mimi,tatizo la hasira za ghafula yaani jamaa ni short tempered!
N BADO ana internal stress that means hajapona trauma iliyopita!hiyo HALI haiondolewi KWA maombi hiyo!!

Risk further wale mabinti wa massage wale ndio huchukua credit eneo hilo!!ukizubaa jamaa gone for Good au hata pona kabisa atakuacha mapema sana KWA pressure ya kupanda!!

Mfumo wa neva una stress sana!

Mrudishe !!
Naona majaribu yameanza kwangu mapema.

Nimekuelewa mkuu nitatafuta wataalamu wa hilo eneo wanisaidie kujua kwa kina namna ya kumsaidia.

asante kwa ushauri mkuu🙏
 
Ndugu zangu,
Ijumaa iliyopita mume wangu mtarajiwa alileta watoto wake(wetu) walale kwangu ili Jumamosi nikawafanyie shopping ya mavazi.

Jumamosi nikawawafanyia watoto wetu shopping hadi hela yote alonipa baba yao ikaaisha na baada ya kuridhika kuwa watoto wamepata nguo za kutosha nikaona sio mbaya na mimi nikitoa tu senti twangu kuwapeleka madogo wakale bata.

Hakika mim na wanangu tulikula bata tukafurahi na tukapata new friends from Canada na jioni ilipofika tukarudi zetu home (kwangu) tukalala wote tukiwa na nyuso za furaha.

Japo sio muda mrefu tokea watoto hawa waje katika maisha yangu ila wamekua baraka na darasa kubwa kwangu. Wamenikomaza.

My babies are so cutie and sweet na kila nikiwa nao najisikia huzuni vinapoondoka.

Hawa watoto ni mapacha, wa kike na wa kiume na ni watundu kishenzi na mwanzoni walikua wakiletwa kukaa na mimi nilikua nachanganyikiwa maana nilishazoea naishi mwenyewe hakuna wakunivurugia nyumba ila mara tu baada ya kuwa mama ndo nikaelewa maana ya kuzaa sio kazi bali kulea ndio kazi.

Hawa madogo walikua hawaoni tabu kuchukua jagi la maua na kuanza kurushiana kama mpira na mechi itaisha pale litakapovunjika.

Kuna siku nilikua chumbani nimejipumzisha mchana nikaamshwa na simu ya jiran ananambia kuna mtoto juu ya paa. Kutoka namkuta ni yule wa kiume kafata kitoto cha ndege walikikamata then kikarukia juu ya paa.

Siku nyingine wakaenda kuwapa mbwa Lunch yote kwenye sufuria kisa mlinzi aliwaambia mbwa wanampenda yeye sababu yeye ndo anawapa chakula kwa hiyo walitaka na wao mbwa wawapende.

Yaani ni mambo mengi ila pamoja na utundu wao wote sijawahi kuwaza kuwachapa sababu siamini katika kupiga watoto.

Watu walinishauri sana niwachape ila nilipuuza na nilichofanya ni kuongea nao na kuwaelewesha madhara ya kila kitu kibaya wanachofanya.

Mfano waliharibu blender kwa hiyo kila wakisema mom we want juice nawakumbusha kuwa wameharibu blender kwa hiyo dada hawezi tena kuwasagia juice.

Nikiona wanataka kuharibu remote namuuliza what is your favorite cartoon? Akinijibu namwambia sasa ukiharibu hiyo remote hutaweza tena kuangalia hiyo katuni yako. Unakuta anaacha bila kupigwa na anakua na uelewa.

Namshukuru Mungu mapacha wangu wamebadilika sana na wamepunguza utundu na hata wakija hawanivurugi tena kichwa changu .

Sasa Jumapili mchana wakati baba yao anakuja kuwachukua mimi nilikua chumbani na watoto walikua sebuleni wakiangalia katuni.

Kumbe katuni waliyokua wakiangalia ni katuni fulani hivi yenye character ambae ni katuni mtu mzima baunsa, juu mnene chini mwembamba. Sasa bwana kumbe hiyo katuni sio nzuri maana kuna saa huwa anakua kama anabong'oa halafu anatikisa wowowo ila sikua najua.(Wazazi kuweni makini kuna katuni nyingi mbaya).

Sasa nikiwa chumbani nikasikia yule wa kiume akisema neno "sitaki" halafu yule wa kike akasema huwezi. Wa kiume nikasikia akisema nikiamua naweza ila wanaume hawafanyagi hivyo. Yule wa kike akasema"Mbona huyo(akataja jina la huyo katuni) ni mwanaume na anafanya? Wa kiume akasema ni mwanaume mjinga mbona baba hafanyagi? Wa kike akamwambia "Kila kitu huwezi ndo mana shuleni walimu wananisifia mim sbb najua vitu vingi kuliko wewe, hata bibi anasema wewe unachoweza ni kuharibu tu vitu. Hilooo.
Yule wa kiume akasema kwa nguvu na hasira, Nawezaaa!

Wa kike akasema huwezi kitu. Wa kiume akasema kwa hasira na kwa sauti ya juu zaid" Nawezaaa! Wa kike akasema "Kama unaweza cheza kidogo nione!

Mpaka hapo nikataka nione kinachoendelea sebuleni sababu maongezi yao yalishanitia mashaka. Nkafungua mlango taratibu kisha nikawa naelekea sebuleni kwa kunyata.

Ile kufika usawa wa kuwaona yule wa kiume akiwa hanion maana alinigeuzia mgongo akasema kwa hasira "Naweza ila sitaki' kisha akaanza kukatika kama ile katuni.

Unaambiwa siku ukitembea uchi ndo siku utakutana na mkweo. Masikini dogo, ile anaanza tu kukatika na baba yake anafungua mlango na kumkuta mwanae wa kiume, jembe lake analolisifia likiwa limebong'oa linakata viuno.

Dogo alivyomuona tu baba yake akajua siku yake ishaharibika Ila hakupanga kufa kizembe. Akarukia kwenye meza. Baba ake akienda huku anakimbilia huku na macho ya dogo yalionyesha target yake ni kukimbilia mlangoni atoke nje lakini baada ya kusumbua kidogo baba yake akamdaka.

Ndugu zanguni. Baada ya huyu mume wangu mtarajiwa kumkamata mwanae ndio nilipoiona sura yake ya ukatili.

Alivyomkamata mwanae akamkaba shingo kwa mkono mmoja huku akimvuta kwa hasira akaenda mpaka iliko pasi yangu akaichukia.

Samahani wapendwa ,ila alivyochukua pasi tumkojo tulianza kunitoka maana nilijua anachotaka kukifanya. Kumchoma mtoto na pasi.Nikawa namuombea mtoto msamaha ila bwana yule ni kama vile alikua hanisikii, kabisa.

Baada ya kuchukua ile pasi akamburuta mtoto mpaka jikoni huku kamkaba shingo akachukua kisu then akamkandamiza dogo ukutani akakata waya wa ile pasi kwa kisu kisha akashika ule waya na mkono mmoja na mkono mmoja akamnyanyua dogo kichwa chini miguu juu akarudi nae sebuleni kisha akaanza kumchapa.

Hapo kidogo tumkojo tukakata.Bwana yule akikasirika macho yanakua mekkundu hadi anatisha na sura yake inakua kama kuna roho fulani ya giza imemuingia. Shindwaaa!

Basi dogo alichapwa kama mwizi. Dogo alichapwa hadi akaacha kulia na damu za puani zikaanza kumtoka.

Nikaona huu ni upuuzi siwezi kuangalia tu kiumbe cha watu kikiuliwa bila hatia hivyo nliivyoona hanisikilizi, nikapanda juu ya meza ili nimfikie vizuri maana ni supa tolu halafu nikamkaba kwa nyuma kwa nguvu zangu zote ili aishiwe pumzi amuachie dogo ila badala yakumuachia dogo akatupa ule waya halafu ule mkono alokua kashikia waya akaniminya kwa nguvu kwenye vidole hadi nikamuachia.

Nilivyomuachia akanishika kwenye shingo ya gauni halafu akaninnyanyua kutoka mezani akanishusha chini sakafuni halafu kwa hasira akaniuliza unafanya nini? nikamwambia muachie mtoto utamuua.

Akasema kwa hiyo wewe unaona ni sawa alichofanya, nikasema sio sawa ila ulivyompiga inatosha. Akasema kwa alichofanya nitampiga mpaka mimi nitakapoona inatosha na wala sitamuacha kisa wewe umesema nimuache.

Sijui hata ilikuaje ila nilijikuta tu nasema "Najuta kupenda jitu katili kama wewe!!"Akasema rudia ulichosema, nikanyamaza. Akanitizama kwa hasirakwa sekunde kadhaa na macho yake mekundu halafu akasema "Hata wewe ukileta upumbavu nakunyanyua miguu juu kichwa chini nakuchapa kama mtoto mdogo. Tumeelewana"
Nikanyamaza akarudia tena "Tumeelewana" nikaona nikiendelea kunyamaza na mimi nitachapwa nikajibu huku natetemeka "Ndio tumeelewana".

Akamchapa dogo viboko viwili vya nguvu kisha akatupa wapa akamsimamisha kawaida. Cha ajabu dogo alivyosimamishwa tu nilishangaa kapata wapi nguvu za kukimbia hadi chumbani kwangu na mimi nikakurupuka mbio nikamfuatia dogo nyuma nikakimbilia chumbani nikafunga mlango tukamuacha mwenyewe sebuleni. Yule wa kike tulimkuta keshatangulia mvunguni.

Kila akisema nifungue nimpe watoto waondoke watoto wanalia huku wamenikumbatia miguuni wakiomba nisiwatoe na sikuwatoa akaondoka zake akawaacha wakafuatwa siku nyingine.

Sasa ndugu zanguni naombeni mnisaidie jamani. Huyu mtu kaniambia tayari kuwa atanichapa kama mtoto mdogo. Je ni hasira tu hakumaanisha alichosema au nikiolewa ndo nitakua nimeingia maisha ya kuchapwa kama mtoto mdogo.?

Bado nampenda ila namuogopa. Kaniomba msamaha na kasema eti hapigagi wanawake ila kwa nilivyomuona anavyokua akikasirika nahisi kabisa atakua ananichapa huyu.

KWAKO YESU NASIMAMA
NDIO MWAMBA NI SALAMA,
NDIO MWAMBA NI SALAMA.🙏
Broo kwani unajinsia ngapi au hao watoto uliwazalia huko makalioni?kwasababu siku ile tulibishana ukasema wewe ni mwanaume sasa leo imekuwaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom