Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Status
Not open for further replies.
Nadhani mnaelewa sasa kipi kilichopo nyuma ya katuni,msiruhusu watoto wenu kuangalia katuni Kuna ushetani mwingi sana ikiwemo ushoga hawa mbwa wameweka.
Block channel zote za katuni Kama unakipenda kizazi chako au wadownlodie katuni zifaazo kwenye flash.
Katuni nyingi zimebeba uharibifu mfano spider man, superman,nk
 
Hivi kwanini nyie wanaume mtumiao Ids za kike mwisho wake mtaleta vitu vyenye elements za ushoga?

Mnakua mnawashwa washwa pia au ni hizo Ids zinawashawishi kupumuliwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eeeeh shoga yangu nimeishiwa pozi!hivi si aliesema ni member Sasa si atasoma huu Uzi?πŸ™†πŸ™†πŸ™†
Anasoma ndio.
Na lengo ni kupata ushauri.
Nashukuru Mungu wapo wana JF wenye hekima wamebariki uzi wangu kwa ushauri wenye hekima.

Wapo wanaosema ni mkatili ataniua na wapo wanaoniambia hivyo ndivyo ambavyo mwanaume imara anapaswa kuwa.

Naamini Mungu aliyetuunganisha atampa mwenzangu ambae ndie kichwa na kiongozi wa familia yetu hekima ya kutuongoza na kuturekebisha kwa njia zilizo salama.πŸ™
 
Nashukuru wew umeshamshtukia. Wapo group akiwemo Gily, IamBrianLeeSnr na yule wa uzi wa kustaafu wote wapo humu strategically
Kuna kitu kimenichekesha sana kwenye hii comment yako mkuu🀣🀣🀣🀣🀣

Kuna mtu sijui atajinasuaje kwenye hii kashfa ya kuunganishwa na mimi🀣🀣🀣.

Nadhani sasa mtajifunza madhara ya kuwa stalker🀣🀣🀣🀣🀣.

Asante sana Mkuu wangu kwa kunipa kicheko asubuhi ya leoπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜¬

AiseeeπŸ˜¬πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ€£
 
Huyo ndio mwanaume halisi haijalishi ulokole,unalea watoto wako kisengesenge eti huwachapi hakuna baba mwenye utimamu atavungia upumbavu,ndio maana biblia inasema matoto mapumbavu yanakuaga mzigo wa mama
Mchango mzuri mkuu ila hukuwa na haja yakutukana mkuu.

Anyhow.Asante kwa kujali na kunipa ushauri wako.
Barikiwa mkuu
 
Hebu mtag,Mimi na wanakamati wenzangu tumchambe hapa live Bila chenga,mtu nne tu tutamnyoosha hapa@amehlo Shunie Cute Wife
πŸ€£πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜¬πŸ˜‚

Eti "Hebu mtag"

πŸ˜‚πŸ˜¬πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ€£

Sawa "dada" nitamtag πŸ€£πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜¬πŸ˜‚ na utakua wa kwanza kuona hiyo tag mana hakuna sekunde unakosekana hapa "dada" yangu kipenziπŸ˜‚πŸ˜¬πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ€£
 
Gusa unase
Wengi wanaoni attack humu nawapuuza kwa vile ni wale niliowasema juzi kwenye uzi wangu wa wanaume wenye ID za kike.So naelewa wana hasira na mimi na wanachofanya ni wanajaribu kuninywesha nilicho wanyeshwa.

Sema kuna watu wachache humu nawaheshimu sana na kuwapenda,na wewe ukiwa mmoja wapo mkuu na hao ndio wameniuma kuona na wao wananifikiria vibaya mkuu.

Im innocent mkuu Iam a lady ,wanachofanya ni kama mfano umuite mtu mwizi halafu mwizi akukomeshe kwa kusema wewe ndio mwizi ili kama kuveshwa tairi mveshwe wote.

Angalia nimewadharau wote wanaonisema vibaya na wala sijisumbui kuwajibu ila wewe imebidi tu nikueleweshe coz I real do respect you mkuuπŸ™
 
Nitajaribu kufanya hivyo dear.πŸ™
Halafu Mungu akitoa kibali cha ndoa nitamuomba Mr. aniruhusu tulete mtoto mwingine wa kiume ili wawe wawili mana nahisi hii kucheza na huyu pacha wake wa kike kila mara labda sio nzuri sana.
 
Sikutetegemea unaweza kufanya huu utoto bila kupata ruhusa yangu.
Kama lengo lako ni kuniharibia jaribu tena nina Mungu asiyelala bestie.Na hata nikiachika nadhani msimamo wangu unaujua.

Najua lengo lako sio kumuonesha Gily ila ASANTEπŸ™πŸ™.πŸ™πŸ™
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…