Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Status
Not open for further replies.
Honestly uko sahihi mkuu.
Na kama.mtu anataka kuijua midume jike ya hapa afatilie vizuri huu uzi wangu kwa kutulia.
[emoji1787][emoji38][emoji2][emoji51][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ungekuwa hujawai kulala naye yaani kuingiliana kimwili na kua mwili mmoja ndio ingekuja maana halisi ya mumeo mtarajiwa kinyume na hapo maelezo yako ni null
 
Chai yako imekosa mdarasini tu.
 
Tushazuia watoto wasitizame TV.
Ni flash za carton za zamani tu mana ukizembea unaweza shangaa mtoto kawa upinde hivi hivi Mungu tusaidie sisi na.vzazi vyetu.
Hivi Kuna namna ya kuziondoa channel za katuni kwenye packing ya vifurushi
 

Relax Clepatina JF tupo kupiga zogo tu wakati mwingine...hata mimi nakupenda sana tu! ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
 
Nimescrow tu mkuu,hata sijasoma.
Ni nime scroll mkuu๐Ÿ™.

Afu nyie wa nimeishia "kuscrow" huwa mnakua mmesoma uzi wote zaid ya mara sita ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜‚

Asante kwa kushiriki.
 
Clepatina
My dear usichukulie serious kila kitu hapa JF, wee ingia swampaa ukichoka una log out, ila ukisema eti uwekee u serious mbna utaona JF sio salamaa.

Mie najuaga kukupendaaa tyuuh, [emoji8][emoji8]
sikia kaka yangu.
Iam a very very smart lady.
What I can see while laying flat on my bell,thousands of ordinary people won't see while standing on the top of Mt. Kilimanjaro.

Pigo za mtu kuning'ata na ID moja kisha kuja kunipuliza na ID nyingine nazijua hata kabla sijaja Dar na fuso la viazi.

Usijali udugu,JF haiwezi kunipa stress.Stress wanapata wenye kujiongelesha na kujijibu wenyewe kwa ID tofauti tofauti.

Barikiwa๐Ÿ™
 
Duuuh kumbe mnajuanaa, bas sawa dear, mie nilisema tyuuh hivyoo, km ushaurii.
[emoji120][emoji120][emoji120] amani amanii.
 
Duuuh kumbe mnajuanaa, bas sawa dear, mie nilisema tyuuh hivyoo, km ushaurii.
[emoji120][emoji120][emoji120] amani amanii.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ