Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Status
Not open for further replies.
Mjinga kweli wewe mshenzy uniite mimi Mpendwa, sina upendwa na watu washenzy.

Wewe ni wa kike kweli? Nahisi wewe ni fungu la kukosa

Dj walete [emoji23][emoji23][emoji23] napenda majibu ya papo kwa papo
 
kuna mtu anazungukazunguka juu huko na yeye,,, Kwani hujamuona bestie πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Sijamuona bestie.
Hapa nishavirugwa michoko niloisema juzi imevamia uzi wangu inanipopoa kulipiza kisasi.
Ni wana hasira na mimi balaa🀣🀣🀣
 
Sijamuona bestie.
Hapa nishavirugwa michoko niloisema juzi imevamia uzi wangu inanipopoa kulipiza kisasi.
Ni wana hasira na mimi balaa🀣🀣🀣
pole sana aisee πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ,, ndo jf hiii 😊
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…