Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Status
Not open for further replies.
Nilikuambia mapema ulikosea kuleta ule uzi kia umepata mume hapa jf!!

Ulikaribisha vita kubwa SANA!!!

BADO unasafiri mama safari bado ndefu!!

Mungu akubariki!
 
 
pole sana aisee πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ,, ndo jf hiii 😊
Najuta kuweka huu uzi.🀣🀣
Sikujua mashoga wana hasira hivi.
Naona walikua wananisubiri kwa hamu.
Ila hata sijuti ninarudia kusema.WANAUME MNAOJIFANYA WANAWAKE MMELAANIWA na hata mkinitukana sijali
 
Najuta kuweka huu uzi.🀣🀣
Sikujua mashoga wana hasira hivi.
Naona walikua wananisubiri kwa hamu.
Ila hata sijuti ninarudia kusema.WANAUME MNAOJIFANYA WANAWAKE MMELAANIWA na hata mkinitukana sijali
 
[emoji1][emoji1]! Bila shaka huyo mume wako ni mtu mkimya muda mwingi! Au nasema uongo? Usiogope lakini uwe makini.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Nilikuambia mapema ulikosea kuleta ule uzi kia umepata mume hapa jf!!

Ulikaribisha vita kubwa SANA!!!

BADO unasafiri mama safari bado ndefu!!

Mungu akubariki!
Amina mkuu.
Ila juzi niliweka uzi wa kuwasema wanaume wanaotumia ID za kike naona wamenivamia hapa wananitukana na kunishambulia sana aisee.
Sijazoea kushambuliwa hivi aisee nataman kulia ila sijuti kuwasema wajinga hawa.Wamejazana hapa kunishambulia😭😭😭
 
[emoji1][emoji1]! Bila shaka huyo mume wako ni mtu mkimya muda mwingi! Au nasema uongo? Usiogope lakini uwe makini.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Sio mkimya kihivyo ila ana upendo sana kwangu na kila mtu ila kwenye hilo tukio ndio niliiona sura yake akiwa kakasirika.Alibadilika kabisa na kuwa mtu mwingine
 

Baba anaeleweka sana
Wewe ndio utasaidia kusimamia familia ili hizo hasira zisimfikishe huko kwa kupiga kiasi hicho. Uwezo unao
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pole mtoa mada ilikuwa hasira hata usiogope

Nje ya mada nakushauri usipende kutusimulia kila kitu hasa kinachohusu mahusiano yako nk kumejaa wachawi humu hakufai,

wengineo asanteni kwa kunichekesha aisee
 
Naona majaribu yameanza kwangu mapema.

Nimekuelewa mkuu nitatafuta wataalamu wa hilo eneo wanisaidie kujua kwa kina namna ya kumsaidia.

asante kwa ushauri mkuuπŸ™
 
Broo kwani unajinsia ngapi au hao watoto uliwazalia huko makalioni?kwasababu siku ile tulibishana ukasema wewe ni mwanaume sasa leo imekuwaje?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…