Mume...your wife is calling you!

Kakope mkopo nipe nifanye biashara
Mume umepata[emoji23][emoji23][emoji23].
Baba wa mtoto yupo hai au amefariki..


NB:mke wa mtu ni sumu
 
najipunguzaje kaka? ndo my age hiyo
 
Kakope mkopo nipe nifanye biashara
Mume umepata[emoji23][emoji23][emoji23].
Baba wa mtoto yupo hai au amefariki..


NB:mke wa mtu ni sumu
ha ha haaaa....Mkuu umetisha aiseee...Afariki???
 
nimependa vurugu nyingnyingi ila bahati mbaya siishi kwenye mikoa tajwa
 
hongera zako b'dada, but umekuja kwa mkwara balaa, lakini umeeleweka ni nini unacho na jinsi ulivyoo, anyway , waalimu huwanga na mapenzi ya dhati na hupenda kama anavyopenda student wake
 
Sifa zote hizo ninazo + 1

Na mie nina mtoto... Utakubali
 
Mimi nimekidhi vigezo na masharti kasoro kimoja umri(age is just a number)naomba nafasi mtoto nitamtunza kama blood yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…