Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha haaaa....Mkuu umetisha aiseee...Afariki???
Tuma inbox,usimwage mchelesubiri kidogo ...I 'll
Atakuwa alizaa na mume wa mtuPole mwaya. Ilikuwaje ba mtoto akapotea kwenye rada?
Tafran tuu naona hapo..nn tena mpendwa
Unamwambia tu "It wasn`t me" simple atakuelewababa atajua nimetafutia humu aisee....
Vipi la moyo wako,limeshapatikana?Mungu akupe hitaji la moyo wako
Inshaalah.Vipi la moyo wako,limeshapatikana?
Sifa zote hizo ninazo + 1baada ya kuchoka usingle mother....Nimeona is not funny....Nahitaji mume jaman.....
08/09...Natimiza 29..Kimo f 5.5....Primary teacher...Mtoto mmoja....am blackbeauty......Mcheshi na vurugu nyinginyingi....Ha ha haaa.
Ninayemwitaji....Awe mwajiriwa...Aliyejiajiri au mfanyabiashara na mwenye uhitaji wa kuoa kweli.Umri...29...40.azidi f5.5....Anyngoz.......Akiwa anaishi...Mbeya,Iringa,morogoro...Dsm....Itakuwa kheri coz huko nauli naziwezea kipind hki cha magu.
Nina mtoto....So ukipenda ua na boga lake mpendwa.