Mume...your wife is calling you!

Mume...your wife is calling you!

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu ina maana huko kwenu nyaya za umeme mnaanikia nguo vizuri tu.

Maana naona mnakimbizana na nguzo kama wewe ndo 'mshort' kwenu.
aisee...Mwenyewe nimeogopa mkuu
 
dah any way hongera kwa uthubutu...utapata ila kama unahisi kuna mtu unampenda na ana sifa pendwa yupo eneo lako..just tell him kabla ya hawa wa mitandaoni maana hawakawii kukujua na kukukimbia then!
 
Mi nipo tayar kulea boga, maua pamoja na mizizi yake njoo kwangu blackbeauty
 
Afu nyie tatz bei yenu ipo juu zana ya umri.....wee sema kuanzia 25..... na kupanda uone PM itakavyo kuwa full.....punguza punguza asee.....hata me natafuta teacher aseee...
 
Kila anayehitaji kuolewa anataka mume mrefu. Sijui kuna siri gani hapo na sijui wafupi nyundo kama akina Harmorappa inakuaje. Kila la kheri bi dada!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wanataka wa kuwasaidia kuanika nguo juu ya Kamba.
 
which-celebrity-shares-your-height-2-8112-1450274560-6_dblbig.jpg

F 5.5 Ngoja narudi...
 
baada ya kuchoka usingle mother....Nimeona is not funny....Nahitaji mume jaman.....

08/09...Natimiza 29..Kimo f 5.5....Primary teacher...Mtoto mmoja....am blackbeauty......Mcheshi na vurugu nyinginyingi....Ha ha haaa.
Ninayemwitaji....Awe mwajiriwa...Aliyejiajiri au mfanyabiashara na mwenye uhitaji wa kuoa kweli.Umri...29...40.azidi f5.5....Anyngoz.......Akiwa anaishi...Mbeya,Iringa,morogoro...Dsm....Itakuwa kheri coz huko nauli naziwezea kipind hki cha magu.

Nina mtoto....So ukipenda ua na boga lake mpendwa.
Vp dini ?
 
Back
Top Bottom