sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 3,334
- 7,651
ha haaa,haya mkuu
Njoo pm[emoji6]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha haaa,haya mkuu
Mbona mkali hivyo?? AiseePm kitu gani weka ubuyu hadharani kwani kuzaa ni mkosi?? Au kusema alipo mzazi mwenzio ni kosa au siri?
Pm plzBaada ya kuchoka usingle mother nimeona is not funny nahitaji mume jamani.
08/09 natimiza 29, kimo f 5.5 primary teacher, mtoto mmoja, am black beauty, mcheshi na vurugu nyinginyingi ha ha haaa!.
Ninayemwitaji awe mwajiriwa, aliyejiajiri au mfanyabiashara na mwenye uhitaji wa kuoa kweli. Umri miaka 29, 40 azidi futi 5.5, ngozi yeyote, akiwa anaishi Mbeya, Iringa, Morogoro, Dsm itakuwa kheri coz huko nauli naziwezea kipindi hiki cha Magu.
Nina mtoto so ukipenda ua na boga lake mpendwa.