Mumeo akiku-cheat na wewe m-cheat

Mumeo akiku-cheat na wewe m-cheat

MUMEO AKIKU-CHEAT NA WEWE M-CHEAT

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Najua wapo wanaume watanimaindi kwenye hii mada lakini hiyo ndio namna Watibeli tunavyofanya mambo yetu.
Hatuna msamaha kwa mtu anayefanya jambo kwa kudhamiria. Hiyo hatuna.

Kitu cha kwanza niliwaambia binti zangu kuwa hakikisha unajiweza, upo huru, unajitegemea na unaweza kujilisha wewe na watoto na mumeo(ikiwa mumeo ataumwa au itatokea dharura ya kimaisha). Niliwaambia msipende kuhudumiwa, wala kupenda vya bure ili muilinde furaha yenu.

Mwanaume kabla hajakuoa. Mpe misimamo yako. Mwambie mimi nipo tayari kujisalimisha kwako kama mkeo. Na nitakutii na kukusikiliza kwa kila jambo lililokuwa. Kwenye shida na raha tutakuwa wote lakini sio kwenye uovu na uasi.

Mwambie kabisa unamoyo mzuri lakini haimaanishi huwezi kutenda mambo mabaya na yakutisha kwa Watu wasiokuheshimu.

Mwambie siku atakayo-cheat ndio siku hiyohiyo ambayo utaandaa mipango kabambe ya kum-cheat. Mwambie kabisa kuwa hutamsamehe pasipo kumpa adhabu hiyo.
Ili aonje ule utamu alioufanya juu yako.

Mwambie yeye a-cheat kwa bahati mbaya lakini wewe utafanya makusudi. Mwambie yeye a-cheat kwa kujificha na kwa siri lakini wewe utafanya waziwazi bila kificho.

Mwambie kama anahitaji uaminifu wako itampasa naye awe mwaminifu.

Mwambie ndoa za Watibeli sio za kitapeli (dhulma) utakachokifanya ndicho utakachofanyiwa. Haki bin haki.

Akikuletea porojo sijui huwezi mkomoa Mwanaume zaidi ya kujikomoa mwenyewe mwambia naye hawezi kukukomoa wewe zaidi ya kujikomoa yeye mwenyewe.

Usikubali akuzalishe watoto ambao hautakuwa na uwezo wa kuwatunza hata siku asipokuwepo( iwe kwa kuachana au Kufariki) zaa watoto kulingana na uwezo wako wa kuwatunza. Kulingana na kipato chako.

Binti za Tibeli sio Wajinga. Usidai pesa za matumizi ikiwa mwanaume hataki kukupa hizo pesa huko ni kujishushia heshima na kujidhalilisha. Ikiwa ataichukulia hiyo kama faida au kuvuja kwa pakacha. Badilisha majina ya mtoto na mpe majina ya Watibeli.

Usiwe na moyo safi kwa mtu mwenye moto mchafu dhidi yako.
Usiwe na upendo kwa mtu mwenye chuki na wewe.
Usiwe na heshima kwa mtu mwenye kukudharau.
Usimpe mtu kipaombele ikiwa yeye anakuona wa ziada.

Ikiwa mumeo au mwanaume anapenda ndugu au wazazi wake kuliko wewe. Anakuweka nafasi ya pili au ya tatu. Wewe mweke nafasi hiyohiyo aliyokuweka. Hiyo ndio HAKI.
Ikiwa mwanaume amekuweka nafasi ya kwanza nawe muweke nafasi ya kwanza.

Usiwe mtumwa wa yeyote. Hivyo ndivyo Watibeli tulivyo.

Usifikirie maisha yatakuwaje ikiwa mtu anataka kukuacha iwe kwa kusema au kwa matendo yake. Huo ni utumwa.

Binti zangu msijesema Baba yenu sikuwaambia namna ya ku-deal na wanaume. Hivyo ndivyo mtakavyoishi kwa furaha. Kamwe usiwe mtumwa wa mtu mwingine hasa asiyemtumwa wako.
Kama mume au mwanaume anajitumikisha kwaajili yako nawe jitumikishe kwaajili yake.
Mpe kile alichopanda. Nawe usione shida kulipwa kile ulichopanda. Hivyo ndivyo mambo yalivyo.

Usiogope kuwa sijui atakupiga au atakuua. Usiwe mwoga kama nilivyokufundisha. Woga utakufanya uonewe. Ni bora akuue kuliko akufanye kuwa mtumwa wake.
Akikufanyia uhalifu wapo Watu wa haki watakaodili naye ikiwemo sisi Watibeli.

Acha Baba yenu nipumzike.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kwa sasa wewe sio tena TAIKON,

wewe ni muathirika wa chanjo ya corona

Na kwa post zako sikuizi, zinaony3sha akili yako ishaanza kuathirka
 
KATAA NDOA NDOA NI MAUMIVU
NDOA NI UCHAFU, NDOA NI MATESO
NDOA NI Au bhasi
😂😂😂
 
Mkuu ukiambiiwa supu ya maharage jero, achana nayo, .... ona sasa sijui umekula maharage ya wapi!
 
Sema mkuu una chamba unge kua mwanamke wewe ungekuwa mtamu sana..
 
Wanawake wote wakiwa kama Watibeli hakuna mwanaume atakayecheat dunia ingalipo.
Kwa sababu wanaume sisi ndio tunaumia zaidi moyoni wake zetu waki-cheat.
Lakini tunawachukulia wanawake rahisi kwa sababu ya porojo kama hizo za usafi.

Huwezi kuwa msafi kwa wanaume wachafu. Labda ujidanganye
"UWEZI KUWA MSAFI KWA MWANAUME MCHAFU"..Na tuione kwenye faili hii...
 
kuna wanandoa wenyewe wameamua isiwe taabu kugombana, kila mmoja ana michepuko ya wazi hakuna kuoneana wivi na wanaishi pamoja. Mama kamchanganyia hybrid mume wake analea watoto si wake. Jamaa naye kazaa nje na michepuko yake waziwazi na mke anajua. Ni ndoa ya ajbu sana, wako huru kujipatia wapenzi wapya waziwazi huku wanaishi pamoja nyumba moja
Hatari hii mkuu
 
Mimi takwimu ninazozijua haziruhusu kila mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja, ndio maana nikakuambia ulete wewe takwimu yawezekana unazo nyingine ambazo sisi hatuzijui, tatizo mnapotosha sana
Haziruhusu wanaume wote, ila wachache wenye uwezo wa kufanya hivyo
 
Na Mimi ukinichiti tu na nikijua Adhabu nitakayokupa ni kukuambia uchague nikufanyie kati ya yafuatayo na ukikataa nakuambia ubebe Virago vyako uondoke kabla sijakuchukulia Maamuzi mengine ya Kimedani na Kishalubela ( Kikatili )

1. Nipite njia yako ya Buza kwa Mpalange
2. Nikungoe Jino bila Ganzi
3. Ningoe Filimbi yako ya Kibaiolojia na Meno
4. Nikubandue kwa Hasira kuanzia Asubuhi hadi Kesho bila Mapumziko ya kuomba kunywa Maji
5. Nimlete Hawara yangu Chumbani kwetu na niwe Nambandua Mubashara huku Ukishuhudia
6. Unichagulie Rafiki yako wa Kike unayemuona ni Mrembo kukuzidi ili Nimbandue na Nizae nae
7. Nikupeleke Kijijini Kwetu ukalime Mihogo, Mtama, Ulezi, Uwele na Mahindi kwa muda wa Miezi Mitatu

Kudadadeki....!!
Bora namba 7 maana baada ya hapo atapata Faida ya mazao na pia itakuwa ni gia ya kuachana mazima.
 
Mbna inafahamika wazi
Tiba ya usaliti, ni KISASIIII
ukute mwanaume ndiye kasalitiwa na hana pa kwenda kulipiza kisasi, mademu hawamtaki. Njia kuu ni kumfukuzilia mbali mwanamke msaliti ili akakutane na mwanaume asiyesalitiwa apigwe pini la maisha, akitoa adhabu kali ataipata
 
Back
Top Bottom