Mumeo akiku-cheat na wewe m-cheat

Mumeo akiku-cheat na wewe m-cheat

Doesnt go around like that man. We live experience may be that is we dont talk or write too much.. tatizo ni kwamba vijana mkoo too theoretical..
Street ina namnza zake.

Wanaotombewa hata hawatombei wenzao. Na unakuta wanaotombea wenzao wao hata hawakamuliwi wake zao

Ndio utapeli wenyewe huo.
Na wanaofanya usaliti ndio huwa wakali kuliko wasiofanya.
Ndio maana hapa unaona Watu wamekuwa Wakali. Wakati hakukuwa na sababu ya ukali kama mtu anajua yeye ni mwaminifu hawezi kuishangaa hii mada.
Watu waaminifu kwa wema huwa waaminifu pia kwa mabaya
W
 
Wanawake wote wakiwa kama Watibeli hakuna mwanaume atakayecheat dunia ingalipo.
Kwa sababu wanaume sisi ndio tunaumia zaidi moyoni wake zetu waki-cheat.
Lakini tunawachukulia wanawake rahisi kwa sababu ya porojo kama hizo za usafi.

Huwezi kuwa msafi kwa wanaume wachafu. Labda ujidanganye
Tatizo ni mimi kutumia kiungo changu kumkomoa mwingine, do you see what i see????

Mi naona bora tujifunze judo, karate, na mieleka ili tuwabonde 😂😂😂😂
 
Na Mimi ukinichiti tu na nikijua Adhabu nitakayokupa ni kukuambia uchague nikufanyie kati ya yafuatayo na ukikataa nakuambia ubebe Virago vyako uondoke kabla sijakuchukulia Maamuzi mengine ya Kimedani na Kishalubela ( Kikatili )

1. Nipite njia yako ya Buza kwa Mpalange
2. Nikungoe Jino bila Ganzi
3. Ningoe Filimbi yako ya Kibaiolojia na Meno
4. Nikubandue kwa Hasira kuanzia Asubuhi hadi Kesho bila Mapumziko ya kuomba kunywa Maji
5. Nimlete Hawara yangu Chumbani kwetu na niwe Nambandua Mubashara huku Ukishuhudia
6. Unichagulie Rafiki yako wa Kike unayemuona ni Mrembo kukuzidi ili Nimbandue na Nizae nae
7. Nikupeleke Kijijini Kwetu ukalime Mihogo, Mtama, Ulezi, Uwele na Mahindi kwa muda wa Miezi Mitatu

Kudadadeki....!!

😂😂😂

Hizi hasira zote kisa amekucheat?
Sasa mbona wewe hutaki kupewa malipo ukifanya hivyo?
 
Tatizo ni mimi kutumia kiungo changu kumkomoa mwingine, do you see what i see????

Mi naona bora tujifunze judo, karate, na mieleka ili tuwabonde 😂😂😂😂
Exactly..yan utumbie kiungo chako wakakitwaaange il umkomoe mwingine ..

Na bora bas ungefanyia hadharani ili kumuumiza umayemkoa, unaenda kufanyia sirin halaf unataka pia asijue..what a nonsense??

Ujue ndio maana Mwenyez Mungu alipoamua kumpa adhab mfalme Daudi kwa sababu ya uzinzi wake akamwambia " mtu wa karibu wa nyumba yako anawatomba wake zako woote halaf atawaombea hadharani ili ujue maumivu ya kusaliti".

Na kwel, mwanae wa kumzaa kabisaa akaja akampindua madarakani halaf akachukua wake za baba yake akawatomba hadharani kabisaaaaa juu ya mnala mbele za wananchi woote wakiona wake za mfalme wao wakigongwa na mwanae..

Huu sasa ndio utibelu, sio huo unaousema wewe
 
Unajua maneno ya wasaliti huwa matamu lakini sisi tunasema. Ukishafanya jambo la lazima ulipe kwa gharama ileile.

Hayo mambo ya kusema sijui papuchi ndio inaumizwa ni porojo za wanaume kuwa brainwash Wanawake wajinga.
Lazima ulipwe
 
Tatizo ni mimi kutumia kiungo changu kumkomoa mwingine, do you see what i see????

Mi naona bora tujifunze judo, karate, na mieleka ili tuwabonde [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti jamani...nika -expose kiungo changu kumkomoa mtoto wa mama mkwe?
 
Unataka kuongeza idadi ya talaka, hakuna mwanaume hapa sizungumzii vivulana Bali wanaume hakuna anayeweza kuvumilia usaliti wa mwanamke.

Halikadhalika kwa wanawake Watibeli wanaojielewa kamwe hawawezi kuishi na mwanaume msaliti. Na kabla hawajaachana lazima wamuonjeshe utamu wa alichokifanya
 
😂😂😂

Hizi hasira zote kisa amekucheat?
Sasa mbona wewe hutaki kupewa malipo ukifanya hivyo?
Mwanaume Kumchiti Mkewe ni takwa la Kimila, Kidesturi na Kiutamaduni na pia ni Ushujaa sasa Wewe Mke wangu jichanganye Unichiti halafu GENTAMYCINE nijue ndipo utajua kwanini natokea Kanda Maalum ya Mkoa wa Mara ( Musoma ) na kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna Kolabo na kwanini Nyoka hana Ugoko.

Kudadadeki....!!
 
Kuna baadhi ya mambo uko sahihi ila sio katika cheating kwa cheating.
Mapenzi sio vita kwamba piga nikupige, hayaendi namna hiyo. Na ukiona uko kwenye mapenzi ya aina hiyo basi hayo yenu sio mapenzi bali vita.

Anapaswa ajue kwamba akicheat atapoteza imani yangu juu yake, na kuirudisha sio rahisi. Na imani kwangu ndio mapenzi yenyewe, kiwango cha juu cha imani ndicho kiwango cha juu cha mapenzi.
 
Unajua maneno ya wasaliti huwa matamu lakini sisi tunasema. Ukishafanya jambo la lazima ulipe kwa gharama ileile.

Hayo mambo ya kusema sijui papuchi ndio inaumizwa ni porojo za wanaume kuwa brainwash Wanawake wajinga.
Lazima ulipwe
tunaita sin retribution.
Ukifanya dhambi utaikuta tu mbele, hilo hatukatai.

Ila wewe unawapa solution imperfect kwamba wao nao wajiingize kwenye uchaf pia nao waje waendelee kulipa gharama..

Yan unatengeneza catastrophic reaction which is endless but every action taken, triggers counter effect
 
Kuna baadhi ya mambo uko sahihi ila sio katika cheating kwa cheating.
Mapenzi sio vita kwamba piga nikupige, hayaendi namna hiyo. Na ukiona uko kwenye mapenzi ya aina hiyo basi hayo yenu sio mapenzi bali vita.

Anapaswa ajue kwamba akicheat atapoteza imani yangu juu yake, na kuirudisha sio rahisi. Na imani kwangu ndio mapenzi yenyewe, kiwango cha juu cha imani ndicho kiwango cha juu cha mapenzi.
Una akili sana wewe mwanamke. Aliyekupata wewe kapata mke.
 
Mwanaume Kumchiti Mkewe ni takwa la Kimila, Kidesturi na Kiutamaduni na pia ni Ushujaa sasa Wewe Mke wangu jichanganye Unichiti halafu GENTAMYCINE nijue ndipo utajua kwanini natokea Kanda Maalum ya Mkoa wa Mara ( Musoma ) na kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna Kolabo na kwanini Nyoka hana Ugoko.

Kudadadeki....!!
Kama ni takwa la kimila, kidesturi na kiutamaduni basi hilo neno "CHEAT" halitakiwi kutumika.

Cheating is deceiving/lying. So kama kitu kina baraka kukifanya basi sio cheating.

Do you get the point Genta?
 
Kuna baadhi ya mambo uko sahihi ila sio katika cheating kwa cheating.
Mapenzi sio vita kwamba piga nikupige, hayaendi namna hiyo. Na ukiona uko kwenye mapenzi ya aina hiyo basi hayo yenu sio mapenzi bali vita.

Anapaswa ajue kwamba akicheat atapoteza imani yangu juu yake, na kuirudisha sio rahisi. Na imani kwangu ndio mapenzi yenyewe, kiwango cha juu cha imani ndicho kiwango cha juu cha mapenzi.
Kwahiyo ze bolidi alikuchiti ndio ukamuacha au?
 
Back
Top Bottom