Mumewe hawezi kusimamisha tena

Mwanamke anakimbia kwa kukosa Hela akimbii kwa kukosa mjegeje
 
Kuvunjika kwa uume huweza KUTOKEA pale ambapo tendo la ndoa linafanywa huku mwanamke akiwa juu ya mwanaume
Soma uwele ndio ujibu...usisome kujibu. Kwa alivyoeleza yeye ameeleza Kwa Kuifahamu zaidi ya wewe ulivyoileta. Ndio amekuuliza je Kuna parts umeziruka au ndivyo ilivyoenda Moja Kwa Moja kama ulivyoihadithia!? Ungeelewa hicho ..usingemjibu hivyo....
 
Soma uwele ndio ujibu...usisome kujibu. Kwa alivyoeleza yeye ameeleza Kwa Kuifahamu zaidi ya wewe ulivyoileta. Ndio amekuuliza je Kuna parts umeziruka au ndivyo ilivyoenda Moja Kwa Moja kama ulivyoihadithia!? Ungeelewa hicho ..usingemjibu hivyo....
Sijaruka.Hata wewe unajua kuwa penis huweza kuvunjika inaposimama kwa staili hiyooo
 
Hii chai imepoa
Hakuna mwanaume wa hivyo wewe , yaani kizembe alivyoulizwa eti akakiri mwenyewe alikua kwa mchepuko ndo alipovunjikia ?
Hajaenda hospital ?,hajauliza wanaume wenzake ?
Sio kweli !
 
Nyie wazee angalieni hao chipukizi mnao wataka,litawakuta jambo,halafu uzee uzidi kuwa mbaya🤣🤣🤣 ERoni
 
Uo mshipa baada ya kukatika hautoi ata damu!
 
Ester505 soma hii ,
A fracture can also injure the urethra. The urethra is the channel in the penis that urine flows through. Common causes of penile fracture include: forceful bending of the penis during vaginal intercourse.

A penis fracture differs from other fractures in the body because the penis has no bones.
 
kupona kwake mpaka afanyiwe upasuaji,ila ina shauliwa uume unapovunjia aweke barafu afu huduma nyingine zita fuata sababu nyingine inayopelekea uume kuvunjika ni kupiga nyeto wakati utamu umezidi unaibinya kama wanawake wanavyoifinyia kwa ndani unaweza sababisha mjegeje kuvunjika,dalili za kuvunjika uume 1 maumivu makali ya uume,maumivu makali wakati wa kukojoa,uume kushindwa kusimama kabisa.jaman tuepuke ngona hatarish kama stail ya kulukia na kujipimia afu ile ya wanawake kuifinyia kwa ndani sio salama kwa mjegeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…