Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Hebu niambie mama hana haki na mwanae,?kwanini mnagandamiza sana muna kosa gani kafanya mpaka mumuone peter yuko sahihi ,hiyo maiti au itafufuka jamani

Shoga angu jf leo wanichamba jamani
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
 
Mambo mengine kujitafutia laana tu. Wampumzishe mtoto jamani kwani nini hasa wanaficha
 
Umeongea pumba sana mkuu.
 
Hivi nyie kinawauma nini wakuu? Nyie ni ndugu zake Muna???? Punguzeni mihemko isiyo na maana..mtu hamumjui na wala hamna undugu nae lkn mnalalamika weee. Dah mi nashangaa sana.
 
Eeeheee wakuchambe na wewe waone moto wake wameona mi nimepoa wananirarua hasa zechris
 
Wanichambe tu kwa kweli mi sijali. Mi siwezi kujadili kitu nisichokielewa vzr kisa tu nimekisikia kwenye hizi teams za mtandaoni. Muna ana maisha yake na changamoto zake kifamilia ambazo wengi hatuzijui vzr lkn watu wanajudge tu hata muna mwenyewe hawamjui. Nonsense!
 
Hivi nyie kinawauma nini wakuu? Nyie ni ndugu zake Muna???? Punguzeni mihemko isiyo na maana..mtu hamumjui na wala hamna undugu nae lkn mnalalamika weee. Dah mi nashangaa sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]stress free zone!

Tunamaliza hasira zetu za kuachwa na chuki kwa mtu[emoji3][emoji3][emoji3]kujifanya sisi ndo watimilifu..na jeneza mama kashaweka
 
Hapana aisee. Kila mtu anampangia cha kufanya..acha tu awaumize vichwa..mmeenda airport holaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji2] [emoji2] hii ndo jf always mwanamke ni mkosefu dear!

Muna kawanyoosha mtu...huko hawana hamu!yaani huyu Dada sikutegemea kwa kweli kaahhh!!
Ngoja tubaki kutukana tu!hatuna namna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…