Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Hakunaga mlokole hapo huyo ni muuza kwa kujificha kwenye imani hiyo,na wengi wa imani hiyo wameshindikana kwa tabia n matendo
Sijui kulikua na lipi mpk kufikia hatua anakatazia maiti hvyo...kama mangi mtoto hakuwa wake angesema mapema sio kumchuna weee...Leo anagoma mtoto asizikwe na baba mlezi
 
Huyo mangi itakua nae anashida zke mtu anasema mtoto sio wko,bdo unalumbana nae mwachie msiba wke apambane nao ...huyo mwanamke huo msiba anasiri nao
Changamoto hata ndugu wa damu wa Muna wapo upande wa Mangi hivyo inabidi akomae tu hasa ukizingatia ametumia fedha zake nyingi kumhudumia mtoto hivyo hakuna namna nyingine zaidi ya kukomaa (ili kama Muna anakomaa yule sio baba yake mtoto basi sheria ichukue mkondo wake ikiwa pamoja na kumrudishia gharama, kama vile anavyokombolewa mtoto aliezaliwa nje alafu amelelewa ujombani - huyo Mangi kuna kitu anakitafuta na ndio maana amekomaa)
 
Sijui kulikua na lipi mpk kufikia hatua anakatazia maiti hvyo...kama mangi mtoto hakuwa wake angesema mapema sio kumchuna weee...Leo anagoma mtoto asizikwe na baba mlezi
Mangi nae hajielewi analialia tu,mimi ningemwachia msiba wke azike mana nimeambiwa sio wng
 
Changamoto hata ndugu wa damu wa Muna wapo upande wa Mangi hivyo inabidi akomae tu hasa ukizingatia ametumia fedha zake nyingi kumhudumia mtoto hivyo hakuna namna nyingine zaidi ya kukomaa (ili kama Muna anakomaa yule sio baba yake mtoto basi sheria ichukue mkondo wake ikiwa pamoja na kumrudishia gharama, kama vile anavyokombolewa mtoto aliezaliwa nje alafu amelelewa ujombani - huyo Mangi kuna kitu anakitafuta na ndio maana amekomaa)
Dawa ziko mbili kufungua kesi ili mwenye haki apate,au kusubiria wkt misa inaendelea kwa hao walokole avamie n wahuni watembeze kibano na kuchukua maiti ndio dawa nzuri
 
kapiga hela za ramba ramba sasa kaanza drama kucheza na saikolojia zetu hadi tutasahau. yaani upande ndege na kurudi bila ulichofata na watu umewakalisha msibani tena miwili....mmmh watu wana roho kwenye hela kwakweli. huenda mtoto yupo chobingo anacheki FIFA cup.....Muna hana tofauti na Stara
Badae watoe ushuhuda mchungaji kamfufua,,,kanisa lijae. Heheee,,,yaniii
 
Huyu Muna ni mwanamke mpumbavu sana kwani anafanya huu ujinga
 
Dawa ziko mbili kufungua kesi ili mwenye haki apate,au kusubiria wkt misa inaendelea kwa hao walokole avamie n wahuni watembeze kibano na kuchukua maiti ndio dawa nzuri
Hakuna wokovu hapo...kwanza kama kweli aliokoka na anajua kwamba yule jamaa sio baba mzazi wa huyo mtoto, alitakiwa atubu na kumwomba msamaha yule Mangi kwa kile kilichotokea badala yake Mtumishi wa Bwana anaendelea kuvuna ela tu na kumhadaa jamaa kwamba ni mtoto wake mpaka hapo mwishoni amepewa 2 million za nauli ya ndege ajabu amepanda Bus mpaka Nairobi na bado anamlipia ada (vijamaa vinavyoitwa baba vyenyewe ni kumpost mtoto tu ndio kazi inayojua na kugharamia kula bata tu)
 
Back
Top Bottom