tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hakunaga mlokole hapo huyo ni muuza kwa kujificha kwenye imani hiyo,na wengi wa imani hiyo wameshindikana kwa tabia n matendoHajielewi muna sijui hata ana nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakunaga mlokole hapo huyo ni muuza kwa kujificha kwenye imani hiyo,na wengi wa imani hiyo wameshindikana kwa tabia n matendoHajielewi muna sijui hata ana nini
Sijui kulikua na lipi mpk kufikia hatua anakatazia maiti hvyo...kama mangi mtoto hakuwa wake angesema mapema sio kumchuna weee...Leo anagoma mtoto asizikwe na baba mleziHakunaga mlokole hapo huyo ni muuza kwa kujificha kwenye imani hiyo,na wengi wa imani hiyo wameshindikana kwa tabia n matendo
His blood will haunt them for the rest of their lives!Huyu mtoto hawakumtendea haki kabisa.. Walimnyima haki yake ya kuwa mtoto.. Shame on them..!
Changamoto hata ndugu wa damu wa Muna wapo upande wa Mangi hivyo inabidi akomae tu hasa ukizingatia ametumia fedha zake nyingi kumhudumia mtoto hivyo hakuna namna nyingine zaidi ya kukomaa (ili kama Muna anakomaa yule sio baba yake mtoto basi sheria ichukue mkondo wake ikiwa pamoja na kumrudishia gharama, kama vile anavyokombolewa mtoto aliezaliwa nje alafu amelelewa ujombani - huyo Mangi kuna kitu anakitafuta na ndio maana amekomaa)Huyo mangi itakua nae anashida zke mtu anasema mtoto sio wko,bdo unalumbana nae mwachie msiba wke apambane nao ...huyo mwanamke huo msiba anasiri nao
Mangi nae hajielewi analialia tu,mimi ningemwachia msiba wke azike mana nimeambiwa sio wngSijui kulikua na lipi mpk kufikia hatua anakatazia maiti hvyo...kama mangi mtoto hakuwa wake angesema mapema sio kumchuna weee...Leo anagoma mtoto asizikwe na baba mlezi
Yani hii story ntamsimulia hadi bibi yangu alieko vwawa aijue,,,mana naona maajabu,,,Drama zinaendelea yaani tafrani tupu,mpk huruma jamani...!!! Hivi kuna nini kikubwa kinachosababisha yote
Mbona mambo ya hovyo hovyo!!
Dawa ziko mbili kufungua kesi ili mwenye haki apate,au kusubiria wkt misa inaendelea kwa hao walokole avamie n wahuni watembeze kibano na kuchukua maiti ndio dawa nzuriChangamoto hata ndugu wa damu wa Muna wapo upande wa Mangi hivyo inabidi akomae tu hasa ukizingatia ametumia fedha zake nyingi kumhudumia mtoto hivyo hakuna namna nyingine zaidi ya kukomaa (ili kama Muna anakomaa yule sio baba yake mtoto basi sheria ichukue mkondo wake ikiwa pamoja na kumrudishia gharama, kama vile anavyokombolewa mtoto aliezaliwa nje alafu amelelewa ujombani - huyo Mangi kuna kitu anakitafuta na ndio maana amekomaa)
Badae watoe ushuhuda mchungaji kamfufua,,,kanisa lijae. Heheee,,,yaniiikapiga hela za ramba ramba sasa kaanza drama kucheza na saikolojia zetu hadi tutasahau. yaani upande ndege na kurudi bila ulichofata na watu umewakalisha msibani tena miwili....mmmh watu wana roho kwenye hela kwakweli. huenda mtoto yupo chobingo anacheki FIFA cup.....Muna hana tofauti na Stara
hihiiiiii watu hawatamuaminiBadae watoe ushuhuda mchungaji kamfufua,,,kanisa lijae. Heheee,,,yaniii
Ni kafara tu hakuna kingine.Huyo mangi itakua nae anashida zke mtu anasema mtoto sio wko,bdo unalumbana nae mwachie msiba wke apambane nao ...huyo mwanamke huo msiba anasiri nao
Mungu anawaonaNliambiwa na baba yangu mwanamke au mwanaume mfupi akichumbia au kuchumbiwa kwenu mfukuzeni,akasema huwa wakorofi,wajuaji,kiburi type hizo
Mkuu kafara apate pesa?atakua na akili za lemutuz unaweza kukuta ndio mbegu yko ya mwisho ya uzazi usipate watoto tenaNi kafara tu hakuna kingine.
Dada huo ni ukweli japo mchunguMungu anawaona
Ila fikra sahihi ni mtoto kuwa na baba wawili?fikra potofu
Usicheze na tamaaa,Mkuu kafara apate pesa?atakua na akili za lemutuz unaweza kukuta ndio mbegu yko ya mwisho ya uzazi usipate watoto tena
sijasema hvyo mmIla fikra sahihi ni mtoto kuwa na baba wawili?
Ndivyo hivyoNi maelekezo ya mganga.
Huyu dada inawezekana alimuua mwanae
Hakuna wokovu hapo...kwanza kama kweli aliokoka na anajua kwamba yule jamaa sio baba mzazi wa huyo mtoto, alitakiwa atubu na kumwomba msamaha yule Mangi kwa kile kilichotokea badala yake Mtumishi wa Bwana anaendelea kuvuna ela tu na kumhadaa jamaa kwamba ni mtoto wake mpaka hapo mwishoni amepewa 2 million za nauli ya ndege ajabu amepanda Bus mpaka Nairobi na bado anamlipia ada (vijamaa vinavyoitwa baba vyenyewe ni kumpost mtoto tu ndio kazi inayojua na kugharamia kula bata tu)Dawa ziko mbili kufungua kesi ili mwenye haki apate,au kusubiria wkt misa inaendelea kwa hao walokole avamie n wahuni watembeze kibano na kuchukua maiti ndio dawa nzuri