scalethat
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,063
- 1,898
N
Na hizo lenz sjui nini anazoeka uko machoni basi ndo full tafrani.sure,angepaka polite make up angependeza.Kuna watu wakipaka makeup hawapendezi hata kidogoo [emoji23][emoji23][emoji23] muna hajawahi nadhani sijui ni kwaajili anajipaka mengi mno hapendezei kabisa