Muna Love: Nilikuwa naenda kwa waganga kila wiki na marafiki zangu

Muna Love: Nilikuwa naenda kwa waganga kila wiki na marafiki zangu

N
Kuna watu wakipaka makeup hawapendezi hata kidogoo [emoji23][emoji23][emoji23] muna hajawahi nadhani sijui ni kwaajili anajipaka mengi mno hapendezei kabisa
Na hizo lenz sjui nini anazoeka uko machoni basi ndo full tafrani.sure,angepaka polite make up angependeza.
 
Akiulizwa swali la kumbana anadai anamuachia Muncgu, Muna mtoto aliepo Moshi anaesemekana ni wako kweli ni wako, namuachia Mungu kama ni wangu wamlete, mimi nina watoto wengi, ni kweli ulimzaa yeye namuachia Mungu, mama ako mnawasiliana sijamuona tangu siku 3 baada ya kumzika mwanangu, mna ugomvi , namuachia Mungu. Mungu ameniokoa, ameniheshimisha sana sasa hivi nahojiwa BBC, nimeokoka na siongei na mama angu nimmuachia Mungu aamue. Ulokole wa kisulisuli.
Na hapo unakuta kashauriwa na baba ake wa kiroho hatari Sana.
 
Asiwe anafanya interview. Huwa haeleweki. Akiitwa interview awe anasema tu namuachia Mungu, waandishi watatutaarif. Interview mpaka inaboa....Mungu this Mungu that. Mungu na shetani huwa wanasingiziwa sana
 
Huyu dada ana shida sema anajifanya kujificha kwenye kivuli cha ulokole
Kabisa yaani ili apate amani inabidi aende kumuomba mamaha mama ayake, aende Moshi akachukue mtoto wake (kama atapewa) na asipo pewa aombe msamaha kwa mwamanae, akiri usupastaa ulimponza aliishi maisha ya kujiona family yake ni ya kiwango cha chini haimstahili, aombe radhi maisha yaende. Hii ya kujificha kwenye ulokole na kusaidia watoto yatima haiwezi kumpa amani kabisa, anajizungusha tu.
 
Siku hizihizi, huyo mlokole, kafanikiwa kuchukua talaka kafanya shangwe, walokole wanavunja ndoa zao, sie mashetani wanatufundisha nini? Ndomana watu wanasema walokole wana roho mbaya.
 
Back
Top Bottom