Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe ajikute tu na hilo jina ndo linampa ugali[emoji23][emoji23][emoji23]kwanza ana laana ya Peter yule mumewe. Alimfanya akatelekeza familia(kirogo kilikolea)Mwanaume akawa ndodocha Muna akawa anatembea na kalala jr anamfanyia party na kumuhonga magariKwa kuwa ameokoka kwa nini asibadilishe jina? Sijawah kuona walokole wana ma aka kwa kwel mmh
hahahaaaAhaha mshenzi wewe , dau langu utaliweza? Wateja wangu wakina mopha na kina ginimbi, kama dau lako kubwa utafuraia show nakwambia
Na laana ya baba ake mkuu maana alimtorosha muhimbili akampeleka hospital za vichochoroni yeye na Kalala JR mzee wa watu akafa, huyu Muna ana mengi.Hehehe ajikute tu na hilo jina ndo linampa ugali[emoji23][emoji23][emoji23]kwanza ana laana ya Peter yule mumewe. Alimfanya akatelekeza familia(kirogo kilikolea)Mwanaume akawa ndodocha Muna akawa anatembea na kalala jr anamfanyia party na kumuhonga magari
Bado machozi ya mamake,Machozi ya mke wa Seth(marehemu)maana yy ndo alikuwa anampeleka ANDUNJE LULU kwa makalumanzila
Na laana ya baba ake mkuu maana alimtorosha muhimbili akampeleka hospital za vichochoroni yeye na Kalala JR mzee wa watu akafa, huyu Muna ana mengi.
Hat nipotee miaka mia nikirud lazima niwashe moto , Ahahah ahsante binamu , I love you [emoji173]️
Nakumbukaga msemo wa Mange ...education is sexy!
Na mi makeupe yake kilo 10
Asiwe anafanya interview. Huwa haeleweki. Akiitwa interview awe anasema tu namuachia Mungu, waandishi watatutaarif. Interview mpaka inaboa....Mungu this Mungu that. Mungu na shetani huwa wanasingiziwa sana
Kila siku nauliza hivi huko daslamu watu wore mnajuana!? Maana Leo utasikia mwijaku kesho menona. Hujakaa sawa Mina yani hata sijawahi kupata kuwasikia. Daslamu nasema hivi mbona kazi nzito.
Hehehe ajikute tu na hilo jina ndo linampa ugali[emoji23][emoji23][emoji23]kwanza ana laana ya Peter yule mumewe. Alimfanya akatelekeza familia(kirogo kilikolea)Mwanaume akawa ndodocha Muna akawa anatembea na kalala jr anamfanyia party na kumuhonga magari
Bado machozi ya mamake,Machozi ya mke wa Seth(marehemu)maana yy ndo alikuwa anampeleka ANDUNJE LULU kwa makalumanzila