Mtu gani asiejuwa kusamehe mwenye chuki na mwenye kuhifadhi vitu moyoni mpaka leo miaka yote hiyo bado anasema amemkiri yesuI see. Habari ya muda hata mie nimekumiss. Ndio maana tunaambiwa baada ya msamaha enenda zako usitende dhambi tena. Sasa unaita hadi waandishi wa habari daahh
kumbe ""!?...hapo ni mwendo wa pochi nene tu " kama zimeisha lazima ukimbiweMsimsahau huyo ni mchaga, Joyce kiria
Umeongea maneno matamu sana ingawa yana huzuni ndani yake, can you imagine biological father kamkataa mtoto however he came another man declare atafanya kila kitu kumchukua mtoto na kumlea na kumpa matunzo mtoto haijalishi eti leo in public unamkana tena na maneno juu ya kumkashifu peter hivi muna ana akili iliyotimia kweli? Casto tulimuona akipiga picha tu na mtoto kwenye mitandao lakini hamtunzi mtoto thats too selfishHe took you and your unborn child in when no one else did.
He gave you and your child his last name. Provided for the child until The Angel of Death took him to heaven.
.... Am lost for words. 🙁🙁
Muna sio binti ni mbibi na ndio alikuwa analazimisha ndoa kwa peterKesho tulikuwa tuende kumpa pole majirani hata siendi tena.hana adabu yule
Yule peter nae alichelewa kuoa ,kumuona huyo binti ndani ya mwezi ndoa wala hakumchangisha mtu.alikuwa na hela balaa.
Sasa inasaidia nini kutangaza siri za ndoa yake?!
Kama ameokoka ukweli wake akatubu huko kanisani.
Hapa anampa nani faida?!
Kuishi na mwanamke kama huyu inataka ujitoe akili kweli kweliMuigiza Maarufu Bongo, Muna Love, amezungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam na kuweka wazi jinsi ambavyo alikutana na Peter Zakaria Komu, mwanaume ambaye hivi karibuni ilisemekana kuwa ndiye baba wa mtoto wake Marehemu Patrick.
“Nilikutana na Peter jijini Mbeya tukiwa tunafanya kazi Safari Pool Table, tulikaa kwenye mahusiano kwa miezi miwili tukaingia kwenye ndoa, lakini kuna vitu nilivyokutana navyo kwenye ndoa hiyo nikaamua kuachika.
“Wakati naingia kwenye mahusiano na Peter nilikuwa nina mimba ya Casto ya miezi miwili, Casto aliikana mimba hiyo. Baadaye alirudi wakati mtoto Patrick akiwa na miaka mitatu. Kwa sababu nilizaa nikiwa kwenye ndoa na Peter ndiye alisimamia hata ubatizo ndizo picha zilizosabaa, lakini hata yeye Peter anaujua ukweli kuhusu mtoto huyo.
“Tulifanya taratubu na Casto za kubadilisha jina la mtoto pale RITA lakini kuna ugumu uliotokea, lakini tulikuwa tunaendelea kufuatilia,” amesema Muna.
hongera gani mwanamke analaana huyo huwezi kudanganya mtoto baba yake mpka ndugu wanaenda kumzika wakijua ni damu yao kumbe la...halafu anadiriki kuanika mambo hadhalani vile...akilini hamnazo yule...hata ajifanye kaokoka dhambi itamtafuna hio yeye na malaya mwenzie castrol sijui...safi Muna na hongera kwa kuutua mzigo Patric atakuwa na amani huko aliko
hana akili anaolopoka kama toto hv..yani mademu wa bongo bana..mnh,kuna kitu kinaitwa assertive tactics in impression management..
msimcheke muna, labda na nyie mngekua kama yeye,mngefanya the same...
desperate need to repair image ambayo imekua tarnished,
pole Muna,mie nakuelewa unachofanya,
ila ,
iwe mwisho kuwasiliana na waandishi,
unamwaga petrol kwenye moto tayari…
wataendelea kukusema tu..
wanadamu wabaya..
watavunja ndoa yako for real
nafikiri wengi tunachoshindwa kuelewa ni kwamba Peter alikuwa anajua kuwa yule si mtoto wake si kwamba slidanganywa kosa la Muna lilikuwa kukubali mtoto apewe ubini wa Peter hilo tu ndo lililomfikisha Muna hapa.hongera gani mwanamke analaana huyo huwezi kudanganya mtoto baba yake mpka ndugu wanaenda kumzika wakijua ni damu yao kumbe la...halafu anadiriki kuanika mambo hadhalani vile...akilini hamnazo yule...hata ajifanye kaokoka dhambi itamtafuna hio yeye na malaya mwenzie castrol sijui...
Mtoto wa nje ya ndoa anahesabika kuwa ni mtoto wa mama na si mtoto wa baba, ni hayo nkoi..
risiti za nini wewemsiamini kila linalotamkwa kwenye mdomo wa kiumbe kinachoitwa binaadam hususan kama ana ajenda,alete risiti hapa sio blabla.