Muna Love: Wakati naolewa na Peter nilikuwa na mimba ya Casto ya miezi miwili

Muna Love: Wakati naolewa na Peter nilikuwa na mimba ya Casto ya miezi miwili

Kweli unajidhalilisha zaidi pale unapotaka kuonewa huruma kwa uchafu uliofanya. Unaolewa na bwana mwengine ukiwa na mimba ya miezi 2 ya mwanaume mwingine. Huyo dada hana hata chembe ya aibu sijui ndugu zake wanajisikiaje wanvyosikia habari kama hizi.
Leo kaonyesha udhaifu wake mkubwa...
 
Aibu tupu ,hata watu wakiniona natoka huko naonekana akili sina.
Ameongea ili iweje eti.hivi peter akimshtaki kwa fraud atamlaumu nani maana alikuwa anatumia hadi bima ya kazini kwake huku Rita anabadili jina
Nimejaribu kumtafakari huyo dada nashindwa kumwelewa. Kufanya kosa la kwanza angalau halihesabiki kururdia jambo mara kadha hapo unaonekana una kosa. Hata urafiki naye unaonekana nawe walewale
 
Hayo mambo yapo,unakutana na Demu unampenda anakwambia ukweli mie "Nina mimba" kwakuwa unampenda na hautaki atoe kiumbe maana ni laana(Mikosi) unaamua kulea mimba na kumlea mtoto,nafahamu watu wengi waliofanya hizo issue,kwahiyo kama Muna alimwambia Peter basi hana Kosa hata kidogo.
Tutajie japo mmoja mkuu kama sio chai ya mdalasini hii
 
Wadau Muna ni Binadamu si malaika,yeyote hasio na dhambi awe wa kwanza kumtupia MUNA mawe,Tumpe faraja kwa maneno mazuri,bado hajakaa sawa,amepitia mitihani mikubwa sana,tumpe moyo tusimdhihaki,kama binaadamu yeyote ana mapungufu yake lakini isiwe kigezo cha kuzidi kumtia machungu.

Ndio amepitia stage za kidunia huko nyuma ila kwa sasa ,she is born again(Kaokoka),tumpe support katika kipindi hiki kigumu,hata haya anayoongea bado akili haijakaa sawa,anahitaji faraja asahau machungu,tunapozidi kumtupia mawe tunamuongezea machungu.

Mwache atoe ya moyoni ili awe free,huenda kuna vitu vilikuwa vinamyong'onyeza labda baada ya kutoa ya moyoni kwake ni relief,tusimbeze,hata angefanya press baada ya 40,tungesema hata mwaka haujapita? Kwa yeye wiki mbili ameona sawa kutoa ya moyoni.

Ni Hayo tu.
Pale unapotambua ulifanya kosa dhambi ukaeleza kuna haja gani kurudia kama alichokifanya ni sifa
Binadamu tunatenda dhambi lakini ukigundua dhambi hiyo unatakiwa kuacha na kujifunza zaidi
 
Hii story inafanana na ile Joseph na Maria.
 
You what? Desperate can not be repaired through press conference in public what a shame vitu vya ndani ya ndoa unavileta in public kweli wanawake mna matatizo sana na ndiyo maana ndoa zenu zipo in bad shape
 
sijui watu wanaokotaga wapi wanawake wa aina hii
 
Naendelea kumpa Pole MunaLuv kwa mitihani aliyopitia,kwasisi watu tuliopitia mafunzo ya saikolojia/forensic na ubashiri uliotukuka kwa maelezo ya muna ambayo hajaweka wazi,inaonekana Peter Zakaria alikuwa anakula Ndugu wa Muna na ndio kisa kilichomfanya atengane nae.
Family disputes can not be resolute in public conferences only few men can side with this ongoing foolish kiki ya muna
 
Hayo mambo yapo,unakutana na Demu unampenda anakwambia ukweli mie "Nina mimba" kwakuwa unampenda na hautaki atoe kiumbe maana ni laana(Mikosi) unaamua kulea mimba na kumlea mtoto,nafahamu watu wengi waliofanya hizo issue,kwahiyo kama Muna alimwambia Peter basi hana Kosa hata kidogo.
Muna hakumpenda peter it was short term relationship
 
Hakuna mwanamke mjinga kama huyo muna,
Kwanza tu kitendo cha kumgeuza mtoto superstar bila kupenda ni ujinga uliovuka mpaka na haki za mtoto,
No wonder mungu akaamua mtoto apumzike
It is all true... Hii kitu nilishaambiwaga na mtumishi wa Mungu alisema mtoto akipitia mengi magumu basi Mungu baba atamchukua
 
Pale unapotambua ulifanya kosa dhambi ukaeleza kuna haja gani kurudia kama alichokifanya ni sifa
Binadamu tunatenda dhambi lakini ukigundua dhambi hiyo unatakiwa kuacha na kujifunza zaidi
Hhahahaa dah mtu wangu i mic u, umeongea point ndiyo maana nimekuona haraka
 
Back
Top Bottom