Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Kweli unajidhalilisha zaidi pale unapotaka kuonewa huruma kwa uchafu uliofanya. Unaolewa na bwana mwengine ukiwa na mimba ya miezi 2 ya mwanaume mwingine. Huyo dada hana hata chembe ya aibu sijui ndugu zake wanajisikiaje wanvyosikia habari kama hizi.Kimya kina maana pia