Muna Love: Wakati naolewa na Peter nilikuwa na mimba ya Casto ya miezi miwili

Muna Love: Wakati naolewa na Peter nilikuwa na mimba ya Casto ya miezi miwili

Mara ya kwanza kusikia hili jina MUNALOVE ni wakati anasemwa kuwa kaiba chupi za Wema Sepetu sijui Muna alitaka kumvalia nani chupi za Wema kwanza zingemtosha?

Nadhani ni mwizi mwizi flani hivi amazing anaiba hadi sperms za casto kamgawia Peter tena kaiba mtoto kamgawia Casto akawaacha wote kaambatana na Joel kwenye bus hadi Nairobi kwenye matibabu ya mtoto wakati huo kumbe kapewa nauli ya ndege mara pesa za matibabu ya mtoto ndefu ndefu tuu amepiga piga pasi mtonyo wa matibabu yaani mwizi mwizi hadi kwenye sauti yake ukiaksililza kajizi kajanja janja haka kamama kumbe?...
Khaaa, aisee!
 
Ndio maana nasema mwanaume mwenye akili hawezi kuoa mwanamke used, huoa bikra, sasa vipi una mimba ya mtu mwingine halafu unaolewa nayo, huu ni upumbavu wa kiwango cha juu kabisa
 
Na kama Castor aliikataa mimba ya wiki mbili! ilikuwaje tena akubali mtoto wa miaka mitatu? Hapa picha sijaipata!
Kwa vyovyote Peter alimfaa Muna wakati ametendwa! Mungu awape Amani wote watatu na wamwache Patrick apumzike kwa Amani pia.
 
Wanawake sio wa kuwaamini kabisa....ni madudu kabisa. Njaa zinawabadilisha kwakweli😀😀
 
Muigiza Maarufu Bongo, Muna Love, amezungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam na kuweka wazi jinsi ambavyo alikutana na Peter Zakaria Komu, mwanaume ambaye hivi karibuni ilisemekana kuwa ndiye baba wa mtoto wake Marehemu Patrick.

“Nilikutana na Peter jijini Mbeya tukiwa tunafanya kazi Safari Pool Table, tulikaa kwenye mahusiano kwa miezi miwili tukaingia kwenye ndoa, lakini kuna vitu nilivyokutana navyo kwenye ndoa hiyo nikaamua kuachika.

“Wakati naingia kwenye mahusiano na Peter nilikuwa nina mimba ya Casto ya miezi miwili, Casto aliikana mimba hiyo. Baadaye alirudi wakati mtoto Patrick akiwa na miaka mitatu. Kwa sababu nilizaa nikiwa kwenye ndoa na Peter ndiye alisimamia hata ubatizo ndizo picha zilizosabaa, lakini hata yeye Peter anaujua ukweli kuhusu mtoto huyo.

“Tulifanya taratubu na Casto za kubadilisha jina la mtoto pale RITA lakini kuna ugumu uliotokea, lakini tulikuwa tunaendelea kufuatilia,” amesema Muna.

Bongo Movie, Bongo Lala fofoooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Muigiza Maarufu Bongo, Muna Love, amezungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam na kuweka wazi jinsi ambavyo alikutana na Peter Zakaria Komu, mwanaume ambaye hivi karibuni ilisemekana kuwa ndiye baba wa mtoto wake Marehemu Patrick.

“Nilikutana na Peter jijini Mbeya tukiwa tunafanya kazi Safari Pool Table, tulikaa kwenye mahusiano kwa miezi miwili tukaingia kwenye ndoa, lakini kuna vitu nilivyokutana navyo kwenye ndoa hiyo nikaamua kuachika.

“Wakati naingia kwenye mahusiano na Peter nilikuwa nina mimba ya Casto ya miezi miwili, Casto aliikana mimba hiyo. Baadaye alirudi wakati mtoto Patrick akiwa na miaka mitatu. Kwa sababu nilizaa nikiwa kwenye ndoa na Peter ndiye alisimamia hata ubatizo ndizo picha zilizosabaa, lakini hata yeye Peter anaujua ukweli kuhusu mtoto huyo.

“Tulifanya taratubu na Casto za kubadilisha jina la mtoto pale RITA lakini kuna ugumu uliotokea, lakini tulikuwa tunaendelea kufuatilia,” amesema Muna.

Once a Prostitute.................Always a Prostitute.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
wanajua kuwashika watu huko Instagram,sijui mtu akicheat kwenye ndoa mtu mwigine inakuhusu nini?,wengine wamelelewa ukute sio na wazazi ambao ni wazazi wao biologically...
Kwa hiyo alichofanya ni sawa?

Kwani hua mnalazimishwa ndoa kwa nini unazaa nje ya ndoa?
 
Hayo mambo yapo,unakutana na Demu unampenda anakwambia ukweli mie "Nina mimba" kwakuwa unampenda na hautaki atoe kiumbe maana ni laana(Mikosi) unaamua kulea mimba na kumlea mtoto,nafahamu watu wengi waliofanya hizo issue,kwahiyo kama Muna alimwambia Peter basi hana Kosa hata kidogo.
Hiyo huwa ni siri ya wanandoa
 
Kwani muna si anafaa kuitwa bongo movie ama?

Maana kila kitu kwake ni sanaa..
 
Back
Top Bottom