Munalove, salamu zako hizi, kama hutaki potezea

Mhh inabidi tumpigie mizinga 21 baada ya kula ban bcz ya ule Uzi wa wema hahahah jaman kiboko huyu Dada ,tunasubiri siku ya mange
Na Dida pia.
Dida kanichosha hadi kichefuchefu,atafute mizee menzie awaachie vijana wadogo zetu.
Maana sisi wasichana wetu wakaka,yeye na uzee ule kubambia vijana aache.
 
Daah yaaan da jeni unataka kusema pia mzee mzima mzitoo kabwela kapita hapo mmmmmh mbona hata mm nilipitaga kimya kimya na manzi mwenyewe hata havutii ni ziro work kwa kiwanja
Ati wasema?
Mimi nikadhani performance yake itakuwa ya heshima kumbe ziro?
Sasa kujishaua kote kule....loooh!
 
yani nasubiri tu petit atavyomuacha huyu mtu mfupi ka stuli....malipo hapahapa duniani
 
Duh wewe sasa ndio mbea grade A aseeee maana siamini kua umeandika yote na ushahidi wa picha hakuna ku-copy habari.
 
Treat ur man as u would like ur son to be treated.....as well treat ur wife as u would like ur dauta to be treated!!

Yanaweza kumrudia hata mtoto wake,au hata kizazi cha 3 na cha NNE....ukiwa na ufahamu Mungu yupo huwez kumuumiza mwenzako
Kabisa
 
Ataachaje kufanana nae wakati ni mtoto wake?
Swaga za kinyamwezi.
View attachment 335755


Soma btw the lines....
View attachment 335754

Mjini tunanyimana chakula, lakini umbea.....walaaaaa
halafu huyu mtoto muna anamuharibu....wenzie wapo kusoma kitoto kitaacha shule mapema hiki yangu macho...ukizaliwa kwa mama asiye na akili ndio basi tena anakuharibia maisha..
 
Kupenda usupastaa bongo shida sanaaaa.wanaiga kina kadashian wale wana mkwanja mrefu sio nyie mnauunga maisha mwisho mnaadhirika mnakufa kifo cha mende miguu juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…