Munalove, salamu zako hizi, kama hutaki potezea

wache waendelee kuporana mabwana tu na umri nao unawatupa mkono
 
aje nimpeleke kwetu nikamzindue hahaha nikimpa papuche yangu tu ni dawa tosha awe tu hajayakwaa mawaya maee
 
s
Hata mimi najua ivoo
asa huyu peter mratibu mzima anangangania nini wakati mtoto si wake na muna anamlaza chini kisa na maana nini haswa cha numngangania mwanamke ana nn cha ziada ni hii rangi ya karilait za jik na maji ya battery ama nn lol hana wazazi wakamsaidia
 
yan mchambo kama huu ilikua bado kuvaa madela na matalumbeta juu
lakin duuuh!! nomaa
 
hahaha hahaha everhurt uko wapi mtulize huyu mtu wako ananitia majaribuni buana ukimuachaia akaja kwangu simuachii pumzi kabisa atazinduka usibeep
Unaharibu mapema sasa, atakaza uzi nikose raha za dunia mimi everhurt usije huku nipo chumbani nimelala tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…