Munalove, salamu zako hizi, kama hutaki potezea

Hahaha hahaha eti kakomaa kama goti ka kilema.....kapauka kama na alkuwa ananuka vumbi dah....wadada wa mjin bhana
 
hahaha hahaha everhurt uko wapi mtulize huyu mtu wako ananitia majaribuni buana ukimuachaia akaja kwangu simuachii pumzi kabisa atazinduka usibeep

Wala sina presha, najua hata akija kwako ataishia kucheka cheka tu na mtalimbo utakua umelala doroooo.
 
Hiyo ni intressant

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
http://s09.jamiiforums.com/mini/h96A/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
Amepigwa juju kaliii hawazi mwengn zaid ya ever hurt, ndio mana hawez kupiga mechi ugenini hata kwa kafara.
loh nacheka balaa haya nhana asante maana nadhani na mimi ungeniunganisha katika majangatehetehetehe
 
Hehehehehe halooooooo,
Na bado, jina lako nimelitundika kwenye kisiwa kimoja hiviii kila upepo uvumapo akili yote kwangu.
Jamani kuwa na huruma basi! Mchezo wenyewe kwa mwezi unanipa mara moja tena kwa mbinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…