Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
😎😎😎😎😎😎😎😎😎Unaharibu mapema sasa, atakaza uzi nikose raha za dunia mimi everhurt usije huku nipo chumbani nimelala tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😎😎😎😎😎😎😎😎😎Unaharibu mapema sasa, atakaza uzi nikose raha za dunia mimi everhurt usije huku nipo chumbani nimelala tu
Njoo pm basi, humu baridi imezidi😎😎😎😎😎😎😎😎😎
njoo mwenyewee wanaume ndo watongozaji mi namtaka peter ananitosha bhanaNjoo pm basi, humu baridi imezidi
Ndo umeamua kunifungia mlango?njoo mwenyewee wanaume ndo watongozaji mi namtaka peter ananitosha bhana
Diary of a Mad Man hili ni jina la movie?Ndo umeamua kunifungia mlango?
hahaha hahaha everhurt uko wapi mtulize huyu mtu wako ananitia majaribuni buana ukimuachaia akaja kwangu simuachii pumzi kabisa atazinduka usibeep
hahahahahahahahahahah kisa cha kulala?Wala sina presha, najua hata akija kwako ataishia kucheka cheka tu na mtalimbo utakua umelala doroooo.
hahahahahahahahahahah kisa cha kulala?
loh nacheka balaa haya nhana asante maana nadhani na mimi ungeniunganisha katika majangateheteheteheAmepigwa juju kaliii hawazi mwengn zaid ya ever hurt, ndio mana hawez kupiga mechi ugenini hata kwa kafara.
loh nacheka balaa haya nhana asante maana nadhani na mimi ungeniunganisha katika majangatehetehetehe
Hapana ni jina la album ya msanii Tank wa huko mbeleDiary of a Mad Man hili ni jina la movie?
Jamani kuwa na huruma basi! Mchezo wenyewe kwa mwezi unanipa mara moja tena kwa mbindeHehehehehe halooooooo,
Na bado, jina lako nimelitundika kwenye kisiwa kimoja hiviii kila upepo uvumapo akili yote kwangu.
Hakyanan we mwanamkeee nizike kabisa kama pita zakariaWala sina presha, najua hata akija kwako ataishia kucheka cheka tu na mtalimbo utakua umelala doroooo.
Mwanamke katili wewe! Waswahili wanasema kidogo kula na wenzioTeh teh teh yani kama angekuja kwako na akaigusa tu,
Ningeihamishia kwenye paji la uso.:-D
Mwanamke katili wewe! Waswahili wanasema kidogo kula na wenzio
Jamani kuwa na huruma basi! Mchezo wenyewe kwa mwezi unanipa mara moja tena kwa mbinde