Kwa sisi waumini wa Mungu tunaamini kutenda mema kwa vitendo na kupinga uonevu kwa mtu yeyote. Kwa wale wa umini tujiulize je leo ukienda mbele ya haki na kuilizwa na Mungu maswali haya utajibu nini
1. Kwa muda na nafasi niliyokupa duniani je umetumia akili yako na nguvu zako zote kupigania haki za watu, maendeleo ya watu na kupinga unyanyasaji?
2. Je muda wako umetumia kutetea walarushwa na wantanyanyasaji au umetumia muda wako kutetea wanyonge?
3. Kwa machawa. Je ni kwanini umetetea watu ambao ulijua kuwa ni walarushwa na hawapendi wala kutaka haki za watu wengine zaidi ya manufaa yao na family zao