Pre GE2025 Mungu akimshukia Rais Samia na kumuonesha hali itakavyokuwa muhula mwingine huenda ataghairi kugombea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama Mungu anaweza mshukia Mama
Achana na mama kwanza,huyu mwamba ulimnanga sana kwamba MOSSAD,CIA, MI6 wana jambo nae! Vipi hujapata za ndani??

12 Feb, 2025 16:57


12 Feb 2025



Unajifanyaga unajua mambo ya kiusalama ya ndani na unapenda kutisha watu!
 
Achaneni na Hizi Biashara za hafiki July hafiki wapi. Kama Kuna Zuri Moja alotenda litamtetea. Na huyo anaewaonesha hayo maono Anamlinda Aingiapo na atokapo.

Hata mchubuko hautompata. Watu wamelishwa sumu hawakufa ,wengine wamepigwa risasi chungu mbovu, hawakufa basi nae huyu HAFI maana Huyo Mungu Haangalii sura Wala Hana upendeleo, hunyesha mvua mpaka baharini, pumzi wakavuta wote wachawi na wenye Moyo safi, kwake uko msamaha na kughairi mabaya ili aogopwe.

Narudia Tena NENDENI FANYENI BIASHARA NYINGINE. msijilaani humu Bure.🙇🧘🙅
 
Uwajui wanawake wewe hasa wanapo pata uongozi wa juu kabisa kwa wanaume ...nibora taifa liangamie kuliko mwanamke kuachia kiti ...nakuakikishia hata watz 200000 wakifa samia awezi kuachia kiti labda nguvu kubwa itumike kumuondoa kwa nguvu
 
Hahaha......umemkamia ccm mwenzio.

Anyway ni kutesa kwa zamu.

Huyo mpiga ramli enzi zile ilikuwa zamu yake. Sasa ni Zamu Yenu.
 
Haha haaa 🤣🤣
Putin siyo Assad, Ghadaf, Sadam Hussein au raisi wa Iran.
Putin siyo Patrice Lumumba, Thomas Sankara, au Mobutu.
Za ndani namkubali anapatia, za nje hasa Russia hapana na nilimpinga wakati ule. Propaganda za NATO zilimponza
 
Si aachie tu naye?
Maana kama ni sifa ya Urais tayari anayo.
 
Mumuombee sana kazungukwa na watu wabaya mno yaani hapo kwenye kampeni tuu kazi ipo.naomba niishie hapo
 
JK,Saa100, mkaza mwana wa Rufiji, Rizi, Abdul, mwinyi, Rosta. Hili kundi lisipokata moto,nchi haitatulia.
 
Kwani kuna mtu kasema sio mpango wa Mungu? Kumbuka hatuwezi fanana ndio maana kuna waona mbali. Hata Magu alionywa humu humu kwenye mtandao na sote tuna juwa nn kilitokea.
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu,pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
 
We umeona nini kuhusu hatima ya ufukara wa ukoo wako
 
Wachawi wote washakufa na wazuri hawafi nini tena cha kumtia hofu huyu form four failure aliyekuwa na ndoto za kuwa mgawa kashata kwenye ndege na sasa analindwa na majini.
We uliyefaulu form four ni wapi unapiga miayo ya njaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…