figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Una tatizo, Afya ya akili.Salaam Wakuu,
Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa na Uchafuzi
Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.
Watu wenye maduka ya kubafilishia fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.
Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.
Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.
Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.
Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.
Magufuli alihakikisha Maalim seif wa ACT anakufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.
Sababu alikufa bila kutubu dhambi, kwa sada yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
wewe ndiye una tatizo la akili kutotambua maovu ya Jiwe. Kamfuate umbusuUna tatizo, Afya ya akili.
Bado anasubiri hukumu ya Kifo anyongwe mpaka afe!Sababu alikufa bila kutubu dhambi, kwa sada yupo na moto ulao
Kwangu mimi katika post za mwaka huu hii inaongoza. asante sana kutukumbusha shetani muovuSalaam Wakuu,
Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa na Uchafuzi
Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.
Watu wenye maduka ya kubafilishia fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.
Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.
Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.
Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.
Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.
Magufuli alihakikisha Maalim seif wa ACT anakufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.
Sababu alikufa bila kutubu dhambi, kwa sada yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
Wewe NDIO mwenye hitilafu nchi nzima ililipuka yule mwovu ibilisi alipolamba mchangaUnahitilafu mahali
Liko linasubiri kuhukumiwa adhabu ya kifo mpaka kunyongwa kufaKwani vyeti fake hamjapewa mafao yenu mpaka saa hii?inaonekana mna stress sana
Andiko la kijinga sana hili inawezekana kabisa una upungufu wa akili na 'trauma' ya kupanga njama za kumwua zinakuandama mpaka utakuja kutaja tu.Salaam Wakuu,
Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa na Uchafuzi
Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.
Watu wenye maduka ya kubafilishia fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.
Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.
Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.
Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.
Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.
Magufuli alihakikisha Maalim seif wa ACT anakufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.
Sababu alikufa bila kutubu dhambi, kwa sada yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
Jiwe alikuwa shetani, acha Mungu aliulie kwa mbali! Where is Be, Mawazo, Azory, and mamny many others! Andiko lako ndilo la kijinga tangu mwaka uanze. Jiwe hakuna mtu kabisa, aliwatesa wengi! aliwaua wengi etc etcAndiko la kijinga sana hili inawezekana kabisa una upungufu wa akili na 'trauma' ya kupanga njama za kumwua zinakuandama mpaka utakuja kutaja tu.
Kwa hiyo unataka kuwaaminisha wananchi kwamba mliktoa kafara kutengua maagano ya kuvurugikiwa uharifu uliokuwa unaofanya?
Mlikuwa wangapi mlipopanga njama za kumwua?
Nani alitekeleza?
Hata shetani naye hujiita mungu wa kuzimu kama wewe ulivyo wakala
Wanaotenda mema kwa manufaa ya wengi huwa hawadumu kwa sababu maalum na ili matokeo ya kuota mimea yenye afya yatokee ni sharti mbegu izikwe, ioze kisha iote kwa matunda yenye uwezo mpana zaidi.
Mmelamba asali sasa mmeshavimbiwa mnaropoka kufuru.....................
Laiti kama JPM angekuwepo sasa hivi ujinga unaoendelea hapo Tanzania usingekuwepo kabisa na ikiwezekana wewe ungekuwa umeshahukumiwa kunyongwa na wenzako kadhaa
Aah kumbe we ni chademaSalaam Wakuu,
Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa na Uchafuzi
Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.
Watu wenye maduka ya kubafilishia fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.
Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.
Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.
Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.
Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.
Magufuli alihakikisha Maalim seif wa ACT anakufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.
Sababu alikufa bila kutubu dhambi, kwa sada yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
View attachment 2418769View attachment 2418770
Pole sana Tundu Lissu, Watesi wako hatutawasahu wao na vizazi vyao. Watanzania cheo dhamana, usimtendee ubaya binadamu kisa cheo chako. Hili ni fundisho
Pia soma;
Thread 'Shinyanga: Viongozi wa CHADEMA Simiyu waliofungwa maisha waachiwa huru' Shinyanga: Viongozi wa CHADEMA Simiyu waliofungwa maisha waachiwa huru
View attachment 2418776
Asante Mungu kwa kumuongezea Uhai Tundu Lissu, sasa yu mzima anatabasamu