Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Tupo wengi sana tunaounga mkono hojaNaunga mkono hoja
Tupo wengi sana tunaounga mkono hojaNaunga mkono hoja
Utawala wake hao chawa walijazanaChawa promax ...Magufuli ndio kakutwa na dhahabu india.
Wapinzani wa mchongo what if walikuwa wanatumiwa kuvuruga utawala wa Magufuli?mbona sasa hivi wamenyamaza na mengi ya ovyo yanaendelea?ALIYOYAFANYA MAGUFULI KWA WAPINZANI HAKIKA N CHUKIZO KWA MUNGU NAWAPONGEZA CHADEMA KWA KUANZA NA SALA KILA WANAPOKUTANA NA KUMKABIDHI MUNGU MALALAMIKO YAO DHIDI YA UONEVU WALIOTENDEWA.
Una uhakika?Utawala wake hao chawa walijazana
Tulishangilia utadhani yanga kafuzu makundiIlikuwa ni shangwe kwa kweli