Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

Salaam Wakuu,

Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi

Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.

Watu wenye maduka ya kubadilisha fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.

Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.

Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia Nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.

Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.

Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya kubambikiza ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.

Magufuli alitabasamu Maalim seif wa ACT alipokufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.

Sababu Mzilankende alikufa bila kutubu dhambi, kwa sasa yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
View attachment 2418769View attachment 2418770
Pole sana Tundu Lissu, Watesi wako hatutawasahu wao na vizazi vyao. Watanzania cheo dhamana, usimtendee ubaya binadamu kisa cheo chako. Hili ni fundisho
Pia soma;
Shinyanga: Viongozi wa CHADEMA Simiyu waliofungwa maisha waachiwa huru
View attachment 2418776
Asante Mungu kwa kumuongezea Uhai Tundu Lissu, sasa yu mzima anatabasamu
View attachment 2418790
Wananchi wakimuombea Tundu Lissu apone baada ya kukatazwa kwenda kuchangia damu alipo pigwa risasi bila kosa, kisa kakataa kujiunga CCM. Sijaona picha ya Wananchi wakimuombea jamaa yule Magufuli apone.
View attachment 2418796
Polisi walielekezwa kuwazuia watu wanaomuombea Tundu Lissu apone. Wakileta jeuri wabambikiziwe kesi. Hata walioenda kuchangia damu walikamatwa. Hii thread ni kumbukumbu kwa miaka mingi ijayo kwa vizazi vya Tanzania kwamba tulikuwa na Magufuli na wafuasi wake wenye vitendo kama vyake
View attachment 2419094
Huyu ndo Hayati John Pombe Magufuli ambaye Wafuasi wake wanadai hajafa. Eti atafufuka🤣🤣. Wengine wanadai eti ameuliwa wengine wanadai eti hakuwa Fisadi, Mbaguzi na alikuwa hapendelei kwao Usukumani. Wengjne wanasema hajanyang'anya watu pesa zao, wengine wanadai aliwapenda matajiri. Hakika Mungu ni Mkuu, hakuna asilo liweza. Ukiomba kwa bidii yote yanawezekana
 
yanayoendelea ndio yanafanya JPM aonekane alikuwa wa muhimu sana katika nchi hii na bila kujua Watawala kwa utendaji wao mbovu wanadhidi kumpa credit marehemu.

Njia rahisi ya kuonyesha marehemu JPM hakuwa lolote wala chochote ni kuonyesha utendaji uliotukuka zaidi yake, lakini kwa huu utopolo unaoendelea tutaendelea kumuona JPM alikuwa wa maana sana.
Mistake watu binafsi, shida imeletwa na CCM,HIKI Chama kipishe na wengine tuwaone, toka uhuru wao tu na Sasa wanaeekeana kinga mpaka spika, kwa kinga hizi kiburi kimezidi, bunge linapitisha mkataba wa Kimangungo wizi mtu, kisa spika hatashitakiwa. Nuksi kubwa kwa Sasa ni Chama Cha Mapinduzi, kiondolewe wake wengine tuone.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
1695976237059.png
 
Salaam Wakuu,

Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi

Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.

Watu wenye maduka ya kubadilisha fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.

Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.

Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia Nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.

Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.

Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya kubambikiza ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.

Magufuli alitabasamu Maalim seif wa ACT alipokufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.

Sababu Mzilankende alikufa bila kutubu dhambi, kwa sasa yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
View attachment 2418769View attachment 2418770
Pole sana Tundu Lissu, Watesi wako hatutawasahu wao na vizazi vyao. Watanzania cheo dhamana, usimtendee ubaya binadamu kisa cheo chako. Hili ni fundisho
Pia soma;
Shinyanga: Viongozi wa CHADEMA Simiyu waliofungwa maisha waachiwa huru
View attachment 2418776
Asante Mungu kwa kumuongezea Uhai Tundu Lissu, sasa yu mzima anatabasamu
View attachment 2418790
Wananchi wakimuombea Tundu Lissu apone baada ya kukatazwa kwenda kuchangia damu alipo pigwa risasi bila kosa, kisa kakataa kujiunga CCM. Sijaona picha ya Wananchi wakimuombea jamaa yule Magufuli apone.
View attachment 2418796
Polisi walielekezwa kuwazuia watu wanaomuombea Tundu Lissu apone. Wakileta jeuri wabambikiziwe kesi. Hata walioenda kuchangia damu walikamatwa. Hii thread ni kumbukumbu kwa miaka mingi ijayo kwa vizazi vya Tanzania kwamba tulikuwa na Magufuli na wafuasi wake wenye vitendo kama vyake
View attachment 2419094
Huyu ndo Hayati John Pombe Magufuli ambaye Wafuasi wake wanadai hajafa. Eti atafufuka🤣🤣. Wengine wanadai eti ameuliwa wengine wanadai eti hakuwa Fisadi, Mbaguzi na alikuwa hapendelei kwao Usukumani. Wengjne wanasema hajanyang'anya watu pesa zao, wengine wanadai aliwapenda matajiri. Hakika Mungu ni Mkuu, hakuna asilo liweza. Ukiomba kwa bidii yote yanawezekana
Kwa hiyo kwa sasa umepona wapi?
1695977166617.png
 
aliyempiga risasi lissu sio magufuli wala ccm ni chadema wenyewe
Hao Chadema sio watu wazuri waliamua kuwatoa Lindoni askari waliokuwa zamu kulinda hizo blocks ambazo alikuwa anakaa pia waziri wa nishati wa enzi hizo bwana Kalemani na naibu spika wa enzi hizo Tulia Mwansasu.Kibaya zaidi wakang'oa na cctv camera zilizowekwa kwa ajili ya usalama .Hii michadema haifai
 
Ila mulimpenda sana.. watanzania wengi.. maandishi mitandaoni.. mioyo upendo mwingi.. ila tuhuma bado hamuziachi.. kwaweza kufungua kesi mupate ukweli mutulie kwa amani..

Hivi kwabanini munamkumbuka sana sana sana.. munasutwa kwa roho.. maandishi garasha..

Tuendelee kuombea na uzima tuone na tekinologia mpya na mengi yajayo.. Tuwaombee Marehemu wote waendelee kupumzika kwa Amani.. wengi hawapo hapa kujitetea.. tusonge.. kama hamusongi.. mukafungue kesi..

Kazi iendeleee
Baache baseme,Eti mutu ya mapene ya duka ya dolali baliteswa sawa si wamewapa mapene na duka zao,sasa madolali yameenda wapi? Batuambie? Eti madolali yamekauka huko kwabo ulongo mtupu mi najua batalokota kunyavu mapedejee bana kula maraha tu.
Na sasa lazima bajue Dunia ya Leo batamudanganya Nani?
 
ALIYOYAFANYA MAGUFULI KWA WAPINZANI HAKIKA N CHUKIZO KWA MUNGU NAWAPONGEZA CHADEMA KWA KUANZA NA SALA KILA WANAPOKUTANA NA KUMKABIDHI MUNGU MALALAMIKO YAO DHIDI YA UONEVU WALIOTENDEWA.
 
Magufuli hakuwahi kuwa mwenzetu, lile lilikuwa ni shetani halisi
Jisemee wewe na mafisadi,vyeti feki na wapenda magendo wenzako.acha mtaani,walishafanya utafiti humu watu zaidi ya asilimia 70 wanampenda Magufuli.
 
Salaam Wakuu,

Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi

Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.

Watu wenye maduka ya kubadilisha fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.

Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.

Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia Nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.

Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.

Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya kubambikiza ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.

Magufuli alitabasamu Maalim seif wa ACT alipokufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.

Sababu Mzilankende alikufa bila kutubu dhambi, kwa sasa yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
View attachment 2418769View attachment 2418770
Pole sana Tundu Lissu, Watesi wako hatutawasahu wao na vizazi vyao. Watanzania cheo dhamana, usimtendee ubaya binadamu kisa cheo chako. Hili ni fundisho
Pia soma;
Shinyanga: Viongozi wa CHADEMA Simiyu waliofungwa maisha waachiwa huru
View attachment 2418776
Asante Mungu kwa kumuongezea Uhai Tundu Lissu, sasa yu mzima anatabasamu
View attachment 2418790
Wananchi wakimuombea Tundu Lissu apone baada ya kukatazwa kwenda kuchangia damu alipo pigwa risasi bila kosa, kisa kakataa kujiunga CCM. Sijaona picha ya Wananchi wakimuombea jamaa yule Magufuli apone.
View attachment 2418796
Polisi walielekezwa kuwazuia watu wanaomuombea Tundu Lissu apone. Wakileta jeuri wabambikiziwe kesi. Hata walioenda kuchangia damu walikamatwa. Hii thread ni kumbukumbu kwa miaka mingi ijayo kwa vizazi vya Tanzania kwamba tulikuwa na Magufuli na wafuasi wake wenye vitendo kama vyake
View attachment 2419094
Huyu ndo Hayati John Pombe Magufuli ambaye Wafuasi wake wanadai hajafa. Eti atafufuka[emoji1787][emoji1787]. Wengine wanadai eti ameuliwa wengine wanadai eti hakuwa Fisadi, Mbaguzi na alikuwa hapendelei kwao Usukumani. Wengjne wanasema hajanyang'anya watu pesa zao, wengine wanadai aliwapenda matajiri. Hakika Mungu ni Mkuu, hakuna asilo liweza. Ukiomba kwa bidii yote yanawezekana
Taifa sasa limetulia angalau
 
Back
Top Bottom