Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

Tokea JPM atangulie siku hizi mbwembwe hakuna tena hata Mudawote ni kama anajitafuta
Tunapitia wakati mgumu kidogo, ni ngumu sana kumshawishi mtanzania uzuri wa CCM ikiwa hajaoga wiki nzima au umeme unakatika kila siku ukilinganisha na kipindi cha awamu ya Dkt Magufuli. Nadhani hata wenzetu wapinzani wanajitafuta je watapike matamshi yao ya kuupiga mwingi au ….??? Kwa ujumla hari ni tete. Ila nia ya uongozi bora wenye tija CCM chini ya Rais Samia wanayo ila kinachoendelea hata sisi wana CCM hatujui hasa wakumlaumu maana mtaji aliotuachia Dkt Magufuli ni mkubwa mno na kadri siku zinavyoenda tunaelekea kwenye kipindi cha kuzomewa cha 2015. Ndiyo maana hata sura zetu wakati mwingine tunajificha maana utawaambia nini wananchi ambao wanaona mfumuko wa bei ni mkubwa na serikali haichukui hatua.
 
Wakulaumiwa ni CCM ambao hawana ilani na muongozo thabiti wa namna rais ajaye anapaswa kuongoza.
Ilani yenu ni sawa na karatasi isiyo na maana pindi rais anaposhika madaraka

JPM alikuwa na vipaumbele vyake na SSH ana vyakwake hivyo tatizo lipo kwenye chama cha CCM.
 
Salaam Wakuu,

Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi

Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.

Watu wenye maduka ya kubafilishia fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.

Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.

Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.

Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.

Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.

Magufuli alihakikisha Maalim seif wa ACT anakufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.
Sababu alikufa bila kutubu dhambi, kwa sada yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
View attachment 2418769View attachment 2418770
Pole sana Tundu Lissu, Watesi wako hatutawasahu wao na vizazi vyao. Watanzania cheo dhamana, usimtendee ubaya binadamu kisa cheo chako. Hili ni fundisho
Pia soma;
Shinyanga: Viongozi wa CHADEMA Simiyu waliofungwa maisha waachiwa huru
View attachment 2418776
Asante Mungu kwa kumuongezea Uhai Tundu Lissu, sasa yu mzima anatabasamu
View attachment 2418790
Wananchi wakimuombea Tundu Lissu apone baada ya kukatazwa kwenda kuchangia damu alipo pigwa risasi bila kosa, kisa kakataa kujiunga CCM. Sijaona picha ya Wananchi wakimuombea jamaa yule Magufuli apone.
View attachment 2418796
Polisi walielekezwa kuwazuia watu wanaomuombea Tundu Lissu apone. Wakileta jeuri wabambikiziwe kesi
Chizi kashika keyboard ndio utumbo gani umeandika hapo
 
Wakulaumiwa ni CCM ambao hawana ilani na muongozo thabiti wa namna rais ajaye anapaswa kuongoza.
Ilani yenu ni sawa na karatasi isiyo na maana pindi rais anaposhika madaraka

JPM alikuwa na vipaumbele vyake na SSH ana vyakwake hivyo tatizo lipo kwenye chama cha CCM.
Hapana ilani yetu ya CCM haina Tatizo. Shida ni mifumo yetu ya nchi ya uwajibikaji. Tungekuwa na sheria ya kufukuzwa kazi Waziri umeme ukikatika ovyo au mfumuko wa bei ukizidi kiwango fulani Waziri anafukuzwa, nina uhakika mpaka rais angewajibika. Chukulia tu mfano wa Uingereza waziri wa fedha alifutwa kazi kwa sababu ya mfumuko wa bei wakati huku sisi waziri wa fedha alidhihaki wananchi kwa kuwataka wahamie Burundi na rais alisikia na hakumchukulia hatua na wananchi hata hawakuandamana etc
 
yanayoendelea ndio yanafanya JPM aonekane alikuwa wa muhimu sana katika nchi hii na bila kujua Watawala kwa utendaji wao mbovu wanadhidi kumpa credit marehemu.

Njia rahisi ya kuonyesha marehemu JPM hakuwa lolote wala chochote ni kuonyesha utendaji uliotukuka zaidi yake, lakini kwa huu utopolo unaoendelea tutaendelea kumuona JPM alikuwa wa maana sana.
 
Hapana ilani yetu ya CCM haina Tatizo. Shida ni mifumo yetu ya nchi ya uwajibikaji. Tungekuwa na sheria ya kufukuzwa kazi Waziri umeme ukikatika ovyo au mfumuko wa bei ukizidi kiwango fulani Waziri anafukuzwa, nina uhakika mpaka rais angewajibika. Chukulia tu mfano wa Uingereza waziri wa fedha alifutwa kazi kwa sababu ya mfumuko wa bei wakati huku sisi waziri wa fedha alidhihaki wananchi kwa kuwataka wahamie Burundi na rais alisikia na hakumchukulia hatua na wananchi hata hawakuandamana etc
Tatizo bado lipo kwenye chama chenu, kwa wenzetu wakiona unahatarisha maslahi ya Taifa na chama wanajua namna ya kuwajibishana na haijalishi kuwa wewe ni kiongozi mkuu.

Ila kwa hapa kwetu rais ndiye chama na hata walioko chini yake wakikosea ni maamuzi yake aamue kumwajibisha au amwache aendelee na majukumu yake.

Hata SAVIMBI alivyosema watu wasitaka tozo wahamie Burundi ilikuwa ni kejeli kwenda kwa wananchi, kwani anajua bosi wake na mwenye CCM atamuunga mkono.
 
Pasipo na dictatorship hapana maendelo ndyo maana hta Tanzania ilipopata uhuru chama kimoja kulikua kikiongoza kuepusha migogoro na kupisha maendelo,,hta Magufuli alikua sahihi all the times amefanya mengi mazuri mbona husemi
 
Back
Top Bottom