Empty maisha
Senior Member
- Oct 10, 2020
- 124
- 186
Kuna matumaini ya kupewa maana yule shetani aliapa hatutapewa kamwe na tungejaribu kudai angetufunga jela maisha.Kwani vyeti fake hamjapewa mafao yenu mpaka saa hii?inaonekana mna stress sana

Hivi mawazo wakati anauawa rais alikuwa nani?Jiwe alikuwa shetani, acha Mungu aliulie kwa mbali! Where is Be, Mawazo, Azory, and mamny many others! Andiko lako ndilo la kijinga tangu mwaka uanze. Jiwe hakuna mtu kabisa, aliwatesa wengi! aliwaua wengi etc etc
hII PICHA UNAIFURAHIA?
View attachment 2418781
Lissu ndo kaketa mgao wa umeme na maji? Inatusaidia kwamba acheni kuua watu wenye mawazo mbadala
Vidonda vya huyo mtakatifu wako mbona harudishi maji na umeme.Salaam Wakuu,
Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi
Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.
Watu wenye maduka ya kubafilishia fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.
Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.
Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.
Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.
Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.
Magufuli alihakikisha Maalim seif wa ACT anakufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.
Sababu alikufa bila kutubu dhambi, kwa sada yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
View attachment 2418769View attachment 2418770
Pole sana Tundu Lissu, Watesi wako hatutawasahu wao na vizazi vyao. Watanzania cheo dhamana, usimtendee ubaya binadamu kisa cheo chako. Hili ni fundisho
Pia soma;
Shinyanga: Viongozi wa CHADEMA Simiyu waliofungwa maisha waachiwa huru
View attachment 2418776
Asante Mungu kwa kumuongezea Uhai Tundu Lissu, sasa yu mzima anatabasamu
View attachment 2418790
Wananchi wakimuombea Tundu Lissu apone baada ya kukatazwa kwenda kuchangia damu alipo pigwa risasi bila kosa, kisa kakataa kujiunga CCM. Sijaona picha ya Wananchi wakimuombea jamaa yule Magufuli apone.
View attachment 2418796
Polisi walielekezwa kuwazuia watu wanaomuombea Tundu Lissu apone. Wakileta jeuri wabambikiziwe kesi
Kijana wewe Ni Mtanzania....????????
Nchi yenyewe badala ya kupona imeishia kupata ombwe la uongozi, watu wapo wapo kama masanamu, fedha za umma zinatumiwa hovyo hovyo utafikiri hakuna wenye jukumu la kusimamia matumzi ya hizo pesa, hovyo kabisaaaaa.Salaam Wakuu,
Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi
Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.
Watu wenye maduka ya kubafilishia fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.
Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.
Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.
Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.
Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.
Magufuli alihakikisha Maalim seif wa ACT anakufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.
Sababu alikufa bila kutubu dhambi, kwa sada yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
View attachment 2418769View attachment 2418770
Pole sana Tundu Lissu, Watesi wako hatutawasahu wao na vizazi vyao. Watanzania cheo dhamana, usimtendee ubaya binadamu kisa cheo chako. Hili ni fundisho
Pia soma;
Shinyanga: Viongozi wa CHADEMA Simiyu waliofungwa maisha waachiwa huru
View attachment 2418776
Asante Mungu kwa kumuongezea Uhai Tundu Lissu, sasa yu mzima anatabasamu
View attachment 2418790
Wananchi wakimuombea Tundu Lissu apone baada ya kukatazwa kwenda kuchangia damu alipo pigwa risasi bila kosa, kisa kakataa kujiunga CCM. Sijaona picha ya Wananchi wakimuombea jamaa yule Magufuli apone.
View attachment 2418796
Polisi walielekezwa kuwazuia watu wanaomuombea Tundu Lissu apone. Wakileta jeuri wabambikiziwe kesi
Watanzania jamani tumrudie Mungu. Shida na taabu zilizopo nchini sasa hivi zinaashiria adhabu kutoka kwa Mungu aliyekasirika. Ninahisi hizi hasira zinatokana na kufa kwa Magufuli. Ndio mawazo yangu na nina haki ya kuwa na hayo mawazo. Sina hakika kama kuna mtanzania aliyehusika na kifo chake ila ni kwa nini Mungu atuadhibu hivi? Ukame wa kutisha, shida ya maji, ajali mfululizo, mauaji ya kiajabuajabu, ajali ya ndege hivi kweli hamuoni watu wa Mungu? Na hata haya mashambulizi kwa Magufuli aliyezikwa kitambo yana uhusiano na watu wanaoficha uovu wao ili wasikumbuke makubwa mno sana aliyoyafanya Magufuli. Ila legacy haibomolewi kwa kampeni za.....Endeleeni kupambana na Magufuli mitandaoni. Bahati yako tu Wanaojua umuhimu wake hawana smartphone
Ni kweli.. Maana ndio njia yake ya uponyaji hata Yesu ilibidi afe ili ulimwengu uponeSalaam Wakuu,
Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi
Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.
Watu wenye maduka ya kubafilishia fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.
Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.
Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.
Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.
Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.
Magufuli alihakikisha Maalim seif wa ACT anakufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.
Sababu alikufa bila kutubu dhambi, kwa sada yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
View attachment 2418769View attachment 2418770
Pole sana Tundu Lissu, Watesi wako hatutawasahu wao na vizazi vyao. Watanzania cheo dhamana, usimtendee ubaya binadamu kisa cheo chako. Hili ni fundisho
Pia soma;
Shinyanga: Viongozi wa CHADEMA Simiyu waliofungwa maisha waachiwa huru
View attachment 2418776
Asante Mungu kwa kumuongezea Uhai Tundu Lissu, sasa yu mzima anatabasamu
View attachment 2418790
Wananchi wakimuombea Tundu Lissu apone baada ya kukatazwa kwenda kuchangia damu alipo pigwa risasi bila kosa, kisa kakataa kujiunga CCM. Sijaona picha ya Wananchi wakimuombea jamaa yule Magufuli apone.
View attachment 2418796
Polisi walielekezwa kuwazuia watu wanaomuombea Tundu Lissu apone. Wakileta jeuri wabambikiziwe kesi
ndo mkome,Mungu hataniwiAndiko la kijinga sana hili inawezekana kabisa una upungufu wa akili na 'trauma' ya kupanga njama za kumwua zinakuandama mpaka utakuja kutaja tu.
Kwa hiyo unataka kuwaaminisha wananchi kwamba mliktoa kafara kutengua maagano ya kuvurugikiwa uharifu uliokuwa unaofanya?
Mlikuwa wangapi mlipopanga njama za kumwua?
Nani alitekeleza?
Hata shetani naye hujiita mungu wa kuzimu kama wewe ulivyo wakala
Wanaotenda mema kwa manufaa ya wengi huwa hawadumu kwa sababu maalum na ili matokeo ya kuota mimea yenye afya yatokee ni sharti mbegu izikwe, ioze kisha iote kwa matunda yenye uwezo mpana zaidi.
Mmelamba asali sasa mmeshavimbiwa mnaropoka kufuru.....................
Laiti kama JPM angekuwepo sasa hivi ujinga unaoendelea hapo Tanzania usingekuwepo kabisa na ikiwezekana wewe ungekuwa umeshahukumiwa kunyongwa na wenzako kadhaa
Hii sms yako inaonesha uwezo wako wa kufikiriasawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Salaam Wakuu,
Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi
Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.
Watu wenye maduka ya kubafilishia fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.
Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.
Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.
Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.
Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.
Magufuli alihakikisha Maalim seif wa ACT anakufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.
Sababu alikufa bila kutubu dhambi, kwa sada yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
View attachment 2418769View attachment 2418770
Pole sana Tundu Lissu, Watesi wako hatutawasahu wao na vizazi vyao. Watanzania cheo dhamana, usimtendee ubaya binadamu kisa cheo chako. Hili ni fundisho
Pia soma;
Shinyanga: Viongozi wa CHADEMA Simiyu waliofungwa maisha waachiwa huru
View attachment 2418776
Asante Mungu kwa kumuongezea Uhai Tundu Lissu, sasa yu mzima anatabasamu
View attachment 2418790
Wananchi wakimuombea Tundu Lissu apone baada ya kukatazwa kwenda kuchangia damu alipo pigwa risasi bila kosa, kisa kakataa kujiunga CCM. Sijaona picha ya Wananchi wakimuombea jamaa yule Magufuli apone.
View attachment 2418796
Polisi walielekezwa kuwazuia watu wanaomuombea Tundu Lissu apone. Wakileta jeuri wabambikiziwe kesi
Hana umuhimu wowoteEndeleeni kupambana na Magufuli mitandaoni. Bahati yako tu Wanaojua umuhimu wake hawana smartphone
Kwisha habari yenu chawa nyie !Marehemu Magufuli endelea kuwanyoosha hvy hvy