Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

Ulimwona ameshika bunduki iliyofyatua risasi?
ID yako haiendani na unachokiandika.....intelligence justice sounds like one who has gone to school and can reason out, integrate issues, etc. Rais hashiki bunduki ana majeshi ya kupiga bunduki kwa niaba yake. Come to your senses, please
 
Hawa ni wale nyoka wenye vichwa viwili
Na ni watu ambao wapo kwenye maisha yako yote hapa duniani na watajianika / julikana pale utakapokumbwa na jambo baya au umauti.

Kiufupi ni watu hatari kuliko hatari yenyewe.
 
Na ni watu ambao wapo kwenye maisha yako yote hapa duniani na watajianika / julikana pale utakapokumbwa na jambo baya au umauti.

Kiufupi ni watu hatari kuliko hatari yenyewe.
Umesema kweli na kitu cha maan sana mkuu.
 
Salaam Wakuu,

Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi

Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua.

Watu wenye maduka ya kubadilisha fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi.

Wanyama wa Serengeti na Mikumi wakahamishiwa Chato eti Watalii waende.

Akamtumia Wakala wa Shetani Musiba kuwachafua Kinana na Membe ili wafukuzwe CCM baada ya kuambiwa afuate katiba na kanuzi za CCM. Pia Nape akafuatwa na watu wenye Silaha akaokolewa na kitenge.

Watu wamenyang'anywa hela kwa kesi za kubambikizia ili waombe msamaha waambie toa pesa.

Watu ambao hawakukubakiana naye hasa CHADEMA, walifungwa maisha kwa makosa ya kubambikiza ya wizi, unyang'anyi wa kutumia silaha na ubakaji.

Magufuli alirabasamu Maalim seif wa ACT alipokufa akijua eti Zanzibar ndo itatulia,. Baada ya kifo cha Seif Mungu akaingilia kati.

Sababu Mzilankende alikufa bila kutubu dhambi, kwa sasa yupo na moto ulao
View attachment 2418759
View attachment 2418766
View attachment 2418769View attachment 2418770
Pole sana Tundu Lissu, Watesi wako hatutawasahu wao na vizazi vyao. Watanzania cheo dhamana, usimtendee ubaya binadamu kisa cheo chako. Hili ni fundisho
Pia soma;
Shinyanga: Viongozi wa CHADEMA Simiyu waliofungwa maisha waachiwa huru
View attachment 2418776
Asante Mungu kwa kumuongezea Uhai Tundu Lissu, sasa yu mzima anatabasamu
View attachment 2418790
Wananchi wakimuombea Tundu Lissu apone baada ya kukatazwa kwenda kuchangia damu alipo pigwa risasi bila kosa, kisa kakataa kujiunga CCM. Sijaona picha ya Wananchi wakimuombea jamaa yule Magufuli apone.
View attachment 2418796
Polisi walielekezwa kuwazuia watu wanaomuombea Tundu Lissu apone. Wakileta jeuri wabambikiziwe kesi. Hata walioenda kuchangia damu walikamatwa. Hii thread ni kumbukumbu kwa miaka mingi ijayo kwa vizazi vya Tanzania kwamba tulikuwa na Magufuli na wafuasi wake wenye vitendo kama vyake
View attachment 2419094
Huyu ndo Hayati John Pombe Magufuli ambaye Wafuasi wake wanadai hajafa. Eti atafufuka[emoji1787][emoji1787]. Wengine wanadai eti ameuliwa wengine wanadai eti hakuwa Fisadi, Mbaguzi na alikuwa hapendelei kwao Usukumani. Wengjne wanasema hajanyang'anya watu pesa zao, wengine wanadai aliwapenda matajiri. Hakika Mungu ni Mkuu, hakuna asilo liweza. Ukiomba kwa bidii yote yanawezekana
Mungu fundi sana,yule ibilisi aliivuruga sana nchi hii
 
Naamini una uwezo ya kuandika mambo ya maana. Umepata nini kuandika hivyo? Nipo JamiiForums tangu 2009, unadhani nababaishwa na tusi lolote? Pole yako🤣🤣
Msamehe bure akijitambua atabadili tabia na kujifunza namna bora ya kuchangia.
 
Chawa promax Magufuli ndio kahamishia wamasai Tanga. Magufuli ndio anaekata umeme na maji hadi leo
yeye ndiyo aliyeamuru Tundu lisu apigwe risasi kama jambazi wakati alikuwa anatoa maoni yake juu ya ulaghai wa makinikia
yupo wapi ben sanane? aliuwawa/kupotea baada ya kuhoji PhD fake ya Magufuli. mawaziri wake nao wakamuiga mf mwigulu
anzori Gwanda aliuwawa kwa kuripoti mauaji ya MKIRU alishawahi sema kwann wana riport wa ccm tu?
hakuna uchawa hapo ni ukweli tu
 
Dah Mungu anaingizwaje sehemu kama hii, labda Mungu sio huyu anaefahamika bila shaka kuna mungu mtu hapa anazungumziwa nae hataishi ishi milele mwisho wake utafifika na sote mwisho wetu utafika ila tufanye mema kwaajili ya nchi yetu na vizazi vijavyo.
 
Ukweli magu alikua na mabaya yake mengi tu na wengi waliteseka juu yake ila kashaenda zake hebu tupunguzage kumsema sema mwishoe tutasema na yauongo ilimradi kuonyesha chuki zetu kwake wakati yeye hayupo. Now kupambane kutatua maswala ya bei kupanda kwenye bidhaa na swala la umeme na maji ya uhakika
 
Back
Top Bottom