Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

Upunguani wa aina hii hauwezi kwisha.
 
Mema gani aliyotenda kupita akigawa pesa barabarani kwa watu aliowapanga
 
Imepona sasa?
 
Mtoa mada atuambie tanzania kama imepona au tumerudi nyuma
 
Vipi ushapona au??
 
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli,nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia,

1. UFISADI/MWIZI nataka kujua JPM alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe

2. MUUAJI/SHETANI je alimuua nani?

3. ALIPORA MALI ZA WATU je JPM alipora mali za kina nani na kwa njia gani?tafazal iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke

4. DICTATOR UCHWARA je udictator wake ni upi? Tuwekane sawa iki tujue kwa undani maana kuna watu ukitaja jina la JPM anaweza kukuzaba kibao
 
Mungu aliamua au mlimwua ninyi?

Ushirika wenu ninyi jembe na nyundo na masikio ya sungura kwa kile mbele ya jamii kwa kichaka cha mariadhiano mnaouonesha kwa sasa ni yakini mlimfanyia kitu mbaya ili msiendelee kuteseka kwa kubanwa msiibe
 
Usimuhusishe Mungu na mambo ya kipuuzi.Sema waroho na majambazi wa Mali ya umma waliamua Magufuli auwawe.
Unaweza kutoa ushahidi usiyo na shaka kuwa Magufuli aliuawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…